Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

Pole kwa kuwa bado hujajitambua! Hoja ipi iliyokua sio ya kistaarabu,au na wewe ndio wale wale ambao hawana tofauti na Sindano inayowekwa Uzi kwa nyuma halafu inashona kwa mbele?
Huwa nashangaa na kujiuliza hivi watu km nyie mnalipwa bei gani kushinda humu kwenye mitandao kutetea Upuuzi?
Maana km ni ajira kweli imepata waajiriwa!

mkuu tatzo lang liko wap?nilicho jaribu kukuelez tu nikwamba ukileta uzi wa kistaarabu utajibiwa kistaarau,sasa tatzo ww umetumika kuleta uzi usiyo wa kistaarab kwasab umejikita zaid kweny kumshambulia mtu,majibu uliyopata kwa kiloriti ni hzki yako,ukishaona jina la lowassa humu jamvin makalio yko hayatulii kabs muda wote nikuwasha,ndio hilo tu mkuu siwez kukutukana nimekushauri kama usibadilika bs tutakupa mme humu jamvin
 
Sikiliza wewe Ng'ombe wa Kienyeji! Matusi huwa siogopi wala kupigwa ban siwazii!
Tunajuwa kuwa siku zote Unachimbwa kwa nyuma. Umekuwa kama Sindano inayowekwa "Uzi"kwa nyuma halafu inashona kwa mbele!!

Situmiki na mtu yeyote km wewe na ndio maana umeona kuwa hoja zangu siku zote hazijikiti ktk kumsifia mtu awaye yote. Kwa kifupi tu labda uwaombe uongozi wa JF wakupe mada zote ambazo niliwahi kupost humu km kuna hata moja ambayo niliwahi msifia mtu.

Wewe unajulikana kuwa kazi yako kubwa ni kumsifia Mwanaume mwenzio siku zote! Lowassa mwenyewe unaejaribu kumtetea ni sawa na unafanya kazi bure kwani uchafu uliomgandia haubanduki hata kwa Msasa wa Chuma.

Nilipost hoja na hata km nilimtaja Lowassa kwani kuna shida gani hadi wewe ufikie mahali badala ya kujibu kwa hoja unaniambia eti hata Mke wangu akilala anamuota Lowassa!
Km unadhani wewe mke wa Lowassa unamuota kila mara ni kila mtu anamuota? Lazima wewe umuote kwa kuwa tayari kuna unalofaidika nalo kutoka kwake.
Wenzako huwa hatuwatetei wanaume wenzetu,na ukiona mtu mwenye tabia km zako basi tambua kuwa huyo anatumika km Condom!
Huna mamlaka wewe ya kukataza watu kumjadili Lowassa. Wewe ni nani hata uwe kimbelembele kiasi hiki kumtetea Mwanaume mwenzio? Je wewe kweli ni Riziki?
Wacha ujinga km unataka kumtetea Mumeo basi mtetee kwa hoja.halafu kuwatusi Wazazi huo sio ujanja ni Usengelenyuma. Wewe mwenyewe umezaliwa na hao hao unaowatusi nashangaa!!

tatzo lako huelewi ninacho kiandka,nilikuambia mapema cijakutukana ni ukweli usio na shaka hata chembe,mimi kukuambia ww ukilala unamuwaza lowassa siyo tusi,na mkeo akilala anamuwaz lowassa syo tus!!nili liko waz kabsa yule unamwamini nakukutunzia siri zako na id yako fake,na anayekusaidia kulea watoto wako anamuwaza lowassa!sasa cijaona kama umetusiwa!!ila nilichojiuliza nikwamba hiz hasira zako kwa lowassa zimetoka wap?au mama yako mzaz alikudanganya kuwa lowassa ndo baba yako?na alimtelekeza mama yako ukiwa mdogo?mpaka sahv cijaelewa kwnn mkeo anamkubali lowassa kwa asilimia mia kwa mia,ungekuw hujanywa maji yaliyofuliwa vyupi ugekuwa unanielewa tatzo ndio hilo,kaa na mama yako vizur akuambie baba yako ni nan!huwez jua hata baba ni nape,mbembeleze atakuambia vizur,manake lowassa hawez akawa na mtoto kiraka kama ww.hata hvyo wazaz walikosea ulivyo zaliwa bora wange kubadilisha wapewe mawe manake bora nata jiwe utajengea!
 
Nikikuambia wewe ni sawa na huyo Kyuma mwenzio anaejiita Kilorit je nitakua nimekosea?
Lipi la maana aliloandika km sio yale yale ya kujitekenya na kucheka mwenyewe?

Hoja hapa ni kwanini Lowassa hazungumzii swala la Rushwa na Ufisadi unaoitafuna nchi? Km mnataka tuwaunge mkono ktk kumsafisha Lowassa basi mshaurini asiwe anaimba wimbo mmoja tu kila siku wa "maamuzi"magumu huku akiacha kuzungumzia swala la Rushwa na Ufisadi ambao umekuwa kidonda ndugu!
Kutujia hapa na Ngonjera za sijui unamuota Lowassa,mzee haitasaidia kumsafisha na uchafu wa Ufisadi alionao!!

Mmh nilitaka kuchangia ila baada ya kupitia "replies" kadhaa nikaona niishie kuedit ili waelewane vizuri, maana tayari nilishabonyeza kidude cha reply! Looh
Et nanii..sokoinei, hilo hapo juu jekundu napaswa niondoe _y_ _ _ sio?:confused2:
 
Nakukubali Kamanda!! Unajua huyu Msukule wa Lowassa anaejiita Kilorit ni kiumbe cha ajabu sana? Mimi nimepost mada badala ya kukosoa kwa hoja anaanza kunishambulia kwa matusi. Soma koment yake ya kwanza kabisa kwenye ukurasa wa kwanza uone alichoandika wakati anachangia.

Mimi huwa siwalei hawa Ng'ombe.akija kichwa kichwa basi na mimi nampokea hivyo hivyo. Watu wanakaa kumtetea Fisadi asie na haya halafu bado wanataka kutuingiza na wengine ktk ujinga wao huo. Nasema hatukubali!!!!!

Mkuu umesomeka sana, inatia uchungu wakati mambo yote na maovu yake yapo wazi,

Yani hapo ni sawa na mtu kakupa magonjwa ambayo yanakupelekea kuga, halafu anakuletea Panadol nawe kwa uzuzu na njaa zako unampongeza,

Kwa hoja yako nimekuunga alama, hivi mkuu Sokoinei baada ya sifa ya ujinga kushuka chini,
Sifa inayofuata ni ipi?
 
Nakukubali Kamanda!! Unajua huyu Msukule wa Lowassa anaejiita Kilorit ni kiumbe cha ajabu sana? Mimi nimepost mada badala ya kukosoa kwa hoja anaanza kunishambulia kwa matusi. Soma koment yake ya kwanza kabisa kwenye ukurasa wa kwanza uone alichoandika wakati anachangia.

Mimi huwa siwalei hawa Ng'ombe.akija kichwa kichwa basi na mimi nampokea hivyo hivyo. Watu wanakaa kumtetea Fisadi asie na haya halafu bado wanataka kutuingiza na wengine ktk ujinga wao huo. Nasema hatukubali!!!!!

Hv mbna nyie mabavicha jina la lowassa aliwatoki kinywani?hv mmekosa kaz za kufnya?mmeshindwa kusuluhisha mgogoro wa zitto na lema kaz ni lowassa tu?mkuu ww binafsi huna kaz yakufny nyumban kwako umsaidie huyo mkeo anaye muwaza lowassa?hoja yako uliileta vizur sna ulipofika katikat ukaanza kushambulia mtu badala ya kubalance
 
Nilichogundua JF kuna teenagers wengi sna kama FB vile nandio wanaopotosha mambo mengi. Hawako FOCUSED katika kuchambua mambo yao hata kidogo..sidhani kama tukiendelea hivi tutakuwa msaada wowote kwa jamii. Hebu mkue na mkomae kihoja mipasho matusi ya nini!! Try to be Great Thinker please!!
 
tatzo lako huelewi ninacho kiandka,nilikuambia mapema cijakutukana ni ukweli usio na shaka hata chembe,mimi kukuambia ww ukilala unamuwaza lowassa siyo tusi,na mkeo akilala anamuwaz lowassa syo tus!!nili liko waz kabsa yule unamwamini nakukutunzia siri zako na id yako fake,na anayekusaidia kulea watoto wako anamuwaza lowassa!sasa cijaona kama umetusiwa!!ila nilichojiuliza nikwamba hiz hasira zako kwa lowassa zimetoka wap?au mama yako mzaz alikudanganya kuwa lowassa ndo baba yako?na alimtelekeza mama yako ukiwa mdogo?mpaka sahv cijaelewa kwnn mkeo anamkubali lowassa kwa asilimia mia kwa mia,ungekuw hujanywa maji yaliyofuliwa vyupi ugekuwa unanielewa tatzo ndio hilo,kaa na mama yako vizur akuambie baba yako ni nan!huwez jua hata baba ni nape,mbembeleze atakuambia vizur,manake lowassa hawez akawa na mtoto kiraka kama ww.hata hvyo wazaz walikosea ulivyo zaliwa bora wange kubadilisha wapewe mawe manake bora nata jiwe utajengea!

Nilishasema kuwa kuendelea kubishana na KYUMA yenye maji km wewe ni hasara, zaidi sana nitaishia kusikia ikipiga makofi.
Nani anaemngangania Lowassa kati yangu na wewe?
Wapi nilipost neno lolote la kusema Lowasa ni baba yangu? Wewe si ndio unaengangana kumtetea kwa kuwa Anakubanduaga?
Wewe unatumika tu km Sindano inayowekwa uzi kwa nyuma halafu inashona kwa mbele!! Tafakari.

Mongooo! Huna hoja ktk kumtetea Fisadi zaidi ya matusi. Lowassa ni Fisadi na huyo Kyuma mwenzio anaekupa kiburi ipo siku yake.
 
Nilisha kuambia mi sitakutukana,ila nimlaumu tu mama yako aliyekuhadaa akakuambia lowassa ndiye baba yakomzazi,hasira ndizo zinazokusukuma kumchafua lowassa,jitand uwe unajenga hoja kuliko kulilia hela za wanaume,umesema lowasa ni fisadi nikzkuambia weka ushaid unajiuma uma kama shoga,huna lolote ni sisimiz mdogo sna ww,mlaumu sna mkeo aliyekulisha ile damu yake ya mwezi umeifnya supu kila asubuhi,mpaka umejisahau unaimba wimbo lowassa lowasa lowasa,nayeye anaimbo wimbo huhuo,
 
Siku hiyo nitakuwa mfuasi wake lakini kwa sharti moja -- kwanza kabisa aeleze ule ukweli wa uhusika wake Richmond.
 
Akate tawi amekalia, I don't think so. Yaani aseme neno ufisadi Tanzania ...... may be next planet
 
rais_Lowasa
waziri mkuu_karamagi
waziri wa fedha mtemi_chenge
waziri wa utalii na mali ya asili_kinana
mchawi mpe mwana alee
 
Ni bora aukose uraisi kuliko aongelee UFISADI. Wewe unafikiri hajipendi?
 
Rushwa kwenye chaguzi, ufisadi vyamchukiza Sumaye

sumaye.jpg

“Ningefarijika sana kama tunaojiandaa kugombea nafasi mbalimbali hasa nafasi ya urais tungekemea rushwa na ufisadi hadharani.” Frederick Sumaye

Na Daniel Mjema,Mwananchi

Posted Jumapili,Decemba29 2013 saa 15:34 PM
Kwa ufupi

  • Sumaye alitoa kauli hiyo jana katika harambee ya kuchangia ujenzi wa ukumbi wa Parokia ya Mawela ya Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi iliyohudhuriwa pia na Mbunge wa Moshi Vijijini, Dk Cyril Chami.

Moshi. Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amesema angefarijika kama wanasiasa wanaojiandaa kugombea Urais mwaka 2015, wangekemea vitendo vya rushwa na ufisadi hadharani.

“Zamani uongozi ulikuwa hautafutwi kwa udi na uvumba wala kwa rushwa, bali anayefaa kuwa kiongozi hutafutwa na jamii husika kutokana na ubora wake na siyo vishawishi vyake,” alisema Sumaye.

Sumaye alitoa kauli hiyo jana katika harambee ya kuchangia ujenzi wa ukumbi wa Parokia ya Mawela ya Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi iliyohudhuriwa pia na Mbunge wa Moshi Vijijini, Dk Cyril Chami

“Ni ukweli uliowazi kuwa, leo chaguzi zetu zimegubikwa na rushwa na vishawishi vingi na siyo ubora, uhodari wala tabia ya anayetaka nafsi hiyo ya uongozi,” alisema Sumaye na kuongeza kusema:

“Hivi sasa rushwa na matumizi makubwa ya fedha za kuwanunua wapiga kura vinataka kuwa utaratibu halali wa kuwapata viongozi wetu kuanzia ngazi za vijiji na mitaa hadi ngazi ya urais.”

Sumaye alisema Tanzania hivi sasa inaingia katika nyakati za uchaguzi hivyo, inahitaji viongozi watakaowaletea Watanzania maendeleo ya kweli na kuondokana na umasikini na udhalimu.

“Lakini kama tutakiuka taratibu sahihi za kuwapata viongozi na badala yake wapiga kura tukanunuliwa kwa kupewa rushwa, basi tujue tutawapata viongozi wala rushwa,” alisema Sumaye.

“Fadhila zimeanza kuwa nyingi, wapiga kura tayari wameanza kupigwa mnada na kupangiwa bei kulingana na uhodari au umuhimu wa nafasi aliyonayo mhusika,” alisisitiza Sumaye.

Sumaye alisema Jamii inapaswa kuyapiga vita mambo hayo kwa nguvu zote na kusema: “Vita hii ni kali na tusipoangalia sauti ya wanaopigana inaweza ikafifishwa na kelele za wanaonufaika na rushwa hizi za nyakati za chaguzi. Inaelekea fedha zinazotumika ni nyingi sana”.

“Ukikemea tu rushwa basi utapachikwa sababu nyingi zisizohusika ikiwemo ya kugombea urais mwaka 2015…nasema katika hili, suala la kugombea au kutogombea urais mwaka 2015 siyo sababu,” alisema.
 
Ndie mmojawapo wa wale panya wakuu! 'CCM ni ukoo wa panya baba mwizi,mama mwizi, mtoto mwizi, babu mwizi, bibi mwizi, kaka mwizi, dada mwizi, mkwe mwizi' By Mh. Nassari.:A S cry:
 
Muulizeni enzi akiwa madarakani kama waziri mkuu, helikopta yake ilkuwa inaenda kufuata nini ktk migodi ya tanzanite?

Nampongeza maana hoja yake ni msingi sana.
 
:eek::eek:
Mmmmh!!!!

GM kila mtu yu-akerwa na ufisadi, na kukereka na ufisadi sio kivile kwamba mtu apande jukwaani aropoke audanganye umma halafu akishuka jukwaani apelekwe baa ya jirani kwa mbuzi choma. Ilivyo ni kuwa ndani ya chama ndiko mkakati wa kupiga vita ufisadi unasukwa na kuanza utekelezaji kimya kimya na sio kama ninyi CDM ambao kwenu kila issue maandamano...
 
Back
Top Bottom