Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

hahaha, umemchana mno aisee, hata mkewe atakuwa anamuwaza lowasa....hahaha

Nikikuambia wewe ni sawa na huyo Kyuma mwenzio anaejiita Kilorit je nitakua nimekosea?
Lipi la maana aliloandika km sio yale yale ya kujitekenya na kucheka mwenyewe?

Hoja hapa ni kwanini Lowassa hazungumzii swala la Rushwa na Ufisadi unaoitafuna nchi? Km mnataka tuwaunge mkono ktk kumsafisha Lowassa basi mshaurini asiwe anaimba wimbo mmoja tu kila siku wa "maamuzi"magumu huku akiacha kuzungumzia swala la Rushwa na Ufisadi ambao umekuwa kidonda ndugu!
Kutujia hapa na Ngonjera za sijui unamuota Lowassa,mzee haitasaidia kumsafisha na uchafu wa Ufisadi alionao!!
 
i am not going to reply with the same offensive words like you did, because i am not a person of that kind. kumchana mtu sio kwamba nasapoti au sisapoti anachoongea. unachotakiwa kufanya ni kuleta hoja safi na kuijenga ili kuwaconvince watu wakubaliane na unachoongea. ukiwa unaongea kwa matusi na ukiwa na mahasira ya ajabu kama hayo uliyoandika hapa, haufaidiki kitu na mtu anaweza kudharau kile unachoongea hata kama ulikuwa unaongea cha maana. however, what you speak or write is what defines you! have a nice day ndugu.
 
Ulimsapot aliponijibu upumbavu! Ukija na hoja tunakujibu kwa hoja! Ukija na Kashfa na Matusi basi na mimi nakujia na matusi.

Wewe uliona majibu ya Kilorit ndio sahihi ila yangu ndio sio sahihi? Swala la mke lina uhusiano gani na mada hii hata ukamsaport kwenye hoja yake ya mwanzo?
Nimeamua kuwajibu ujinga km ambavyo wewe na yeye pia mlijibu hoja yangu kwa ujinga!

Siku mkijitambua na kuwacha kukubali kutumika km Mipira ya kiume isiyokidhi viwango vya ubora,basi ndipo siku hiyo mtakapoweza kujibu hoja kwa hoja na sio kwa matusi,kejeli nk.
 
Kweli KALIO NI KALIO[----]tu!! Kipi sasa cha maana ulichokizungumza hapa? Kwani sio kweli Lowassa hajawahi kuzungumzia Mafisadi na Ufisadi hapa nchini?
Mbona usitueleze kwanini hazungumzii hayo zaidi ya kuimba kila siku kale kanyimbo kake ka "Maamuzi" Magumu?

Shida yako Eroo,wewe unatumika km Kondom zile za sh 250/= zisizo na ubora. Swala la mke hapa linaingiaje au umesahau kuwa mke wangu ni Mama yako?

bs hata mi ndo hawara ya mama yako!!labd tu nikupe siri ingine,jarib kukagua chupi za mkeo,utakuta zimeandkw mbele ''Lowassa karibu ikulu''
 
Huna hoja wewe Mong'oo! Umebakia kumsifia tu Mwanaume mwenzio.
Waswahili husema AISIFIAE MVUA,basi ujue IMEMNYEA!!!
Nina mashaka sana juu yako yawezekana unaemsifia kila siku ameshakusokomezea nanihii huko nyuma kwenye Makalio!!

Badala ya kujenga hoja eti unajidai kumtetea Mumeo kwa Matusi? Kweli nimeamini kuwa wajinga hawataisha hata siku moja!!

Unapata wapi ujasiri wa kumsemea mtu ambae hata mtoto mdogo wa Chekechea anamjua kuwa ni Fisadi na alijiuzulu kwa kashfa ya Ufisadi? Wewe endelea kujipendekeza tu ipo siku utakuja shangaa una Mimba yake.shauri lako!!
 
wakat mwingne uwe unaficha upambavu wako,usipende kuanika hapa jamvi,ila inajidhihirisha kam una akili ndogo kias hichi hata walio kuzaa watakuw hvyhvyo.Ila nafikir hao waliokuzaa wao wanatambuw kuw rais atakaye fuata baada ya jk ni lowassa tatzo lako wivu tu unakusumbua.umebakia kulia lia na hela za wanaume!!umebaki na wimbo wa ufisadi,hela za wanaume unalilia?walaumu wazaz wako walio kuzaa wakati wanaume wanatafuta hela
yeye alikuwa ananyoa panki na kumuhonga mama yako uliye naye sasah.Jitahid ufny kaz uache kulia lia mwisho wa ciku watakubinua
 
Narudia kukuambia wewe Mong'oo huna hoja! Inaeleweka wazi kuwa Lowassa kazi yake kubwa anayoifanya sasa ni kuwanunua baadhi ya viongozi wa Dini na Misukule km wewe ili kumsafisha na DOA la ufisadi uliomngangania.
Hatushangai wewe kujitahidi kumtetea ktk kila hoja inayomtaja au muhusu.

Mimi sio wa saizi yako,by the way who are you hata niendelee kukuelimisha? Mjinga ni mjinga tu hata ukimtwanga kwenye Kinu ujinga haumuishi!

Tafuta kazi ya kufanya wacha kujidanganya kuwa kuendelea kushinda kwenye mitandao ukimsifia Mwanaume mwenzio labda itakubadilisha kimaisha,other wise basi nenda kakae kwake uwe haouse boy wake ili ajue kuwa unajua kumsifia sana.

Mtu mzima kila siku unakaa tu kumsifia Mwanaume mwenzio au hujui kuwa yule baba anae mke? Km unataka mume si uwende Lamu Mombasa huko ukajichagulie wako!?
 
sasa tuwekee ushaidi wa lowassa kuw ni fisadi,ukishindwa tutaamin chuki uluzo nazo ni kwasabu mama yako atakuw amebandaluwa na lowassa huwez ukawa na chuki za kipuuz na hoja za kipuuzi!!hela za wanaume unalilia!!ukiona maisha yamekuwia vigum ruka ukuta!mtoto wa kiume fny kaz acha kuwa mvivu wa akili!!Lowassa ndo rais ajaye muulize hata mama yako mzazi
 
Wakuu hii mipasho yote ya nini? Hoja ni hii hapa:

[h=2]LOWASSA Shujaa wa Maamuzi magumu lakini asiezungumzia "Ufisadi"huu sio unafiki??[/h]
Tuanze na ufisadi ulioanzia kwenye sakata la Richmonduli lililomnyofoa uwaziri mkuu ...
 
siku Lowasa akithubutu kuuzungumzia ufisadi , haitaisha nusu saa ATAPINDA MDOMO !mdomo wake utahamia mbavuni .
 
Bila shaka wewe ndio yule kuli unayesambaza na kuwalisha watu nyama za pori na gongo wakati wa sherehe ya kutambikia mwizi mkuu wa mali za umma, hatushangai maana ndio kazi ya misukule kama wewe. Nyie endeleeni na wehu wenu endeleeni ila mujue hamna lolote zaidi ya kujiabisha kwa mnafiki wenu eti maamuzi magumu ya kuwaibia watu.
SHAME UPON YOU. UMEKUWA ISHARA YA AIBU NA FEDHEA KWA KUMTETEA FISADI KAMA LOWASSA
mkuu umelala unamuwaza lowassa,kila utakacho gusa nchi hii ni lowassa,lowassa!hata mkeo atakuwa anamuwaza lowassa
 
Alisema serikali inapaswa kukiri kwamba, kuna Watanzania wengi waliomaliza darasa la saba, kidato cha nne na cha sita, walioko mitaani hawana ajira. Tusipoangalia watakuja kula sahani moja na sisi. Tusipowashughulikia," alitahadharisha Lowassa. (Ina maana hawa vijana hawasitaili kula sahani moja na yeye au na viongozi wa CCM? na kwa hiyo wanastahili kushughulikiwa ili wasije jaribu kula sahani moja na moja?)
Waziri mkuu wa zamani aliejizulu kwa kashfa ya Rushwa na mbunge wa Monduli mh Edward Ngoyai Lowassa,ni mmoja wa viongozi waandamizi na wenye ushawishi mkubwa ndani ya Chama chama Mapinduzi.

Mh Lowassa amekuwa akitajwa sana kuwa ni miongoni mwa wana CCM ambao wanatarajiwa kujitosa ktk uchaguzi mkuu wa rais 2015. Mh Lowassa amekuwa akizunguka nchi nzima ktk makanisa,misikiti na taasisi mbalimbali za kijamii akitoa michango mikubwa ya pesa pale anapokua amehudhuria km Mgeni rasmi.

Mh Lowassa pia amekuwa akitoa kauli nzito nzito pale anapohutubia,mfano kauli aliyowahi kuitoa kuwa Ajira kwa vijana ni Bomu linalosubiriwa kulipuka muda wowote endapo serikali haitatafuta njia mbadala ya kukabiliana nayo.

Mh Lowassa aliwahi pia kuikosoa serikali ya Jakaya Kikwete kwa kutokua na uwezo wa kuchukua Maamuzi magumu kwa maswala mbalimbali ya kijamii.

Ni hapo jana tu akizungumza ndani ya Bunge kwa mara ya tatu tangia alipojiuzulu mh Lowassa aliikosoa serikali ya Ccn kwa kile alichodai kuwa viongozi wake hawana vipaumbele maalum ktk mambo mbalimbali kwa kuyainisha vipaumbele vichache na badala yake wamekuwa wakifanya mambo Kiswahili kwa kuzungumza mambo mengi na yasiyotekelezeka.

Mh Lowassa amekuwa mkosoaji mkubwa wa serikali iliyoko madarakani,lakini ktk kukosoa kwake pamoja na kuwa anajua kwamba RUSHWA ndio ugonjwa mkubwa unaoitafuna nchi,,binafsi sikuwahi kumsikia mh Lowassa akizungumzia UFISADI NA RUSHWA ambao umeshamiri sana ktk sekta mbalimbali za serikali huku ikifanya watu wa chini hususan vijana anaowapigia (yeye Lowassa) debe kukosa haki zao na maisha yao yakizidi kukosa mwelekeo.

Mh Lowassa amekuwa shujaa anaetaka viongozi kuchukua maamuzi magumu bila kuogopa ktk maswala mbalimbali ya nchi,lakini ni kwanini Mh Lowassa amekuwa hazungumzii swala la Rushwa na Ufisadi ulioshamiri ktk serikali na taasisi zake huku akijua kuwa Rushwa ndio adui mkubwa wa maendeleo na maamuzi magumu anayatoka viongozi kuchukua?
Kiongozi anaechukua Rushwa atawezaje kuchukua maamuzi magumu?
 
i am not going to reply with the same offensive words like you did, because i am not a person of that kind. kumchana mtu sio kwamba nasapoti au sisapoti anachoongea. unachotakiwa kufanya ni kuleta hoja safi na kuijenga ili kuwaconvince watu wakubaliane na unachoongea. ukiwa unaongea kwa matusi na ukiwa na mahasira ya ajabu kama hayo uliyoandika hapa, haufaidiki kitu na mtu anaweza kudharau kile unachoongea hata kama ulikuwa unaongea cha maana. however, what you speak or write is what defines you! have a nice day ndugu.

nakupongeza kwa kutokuwa mtu wa jino kwa jino. shida watu mmeelimika mnashindwa kujibu hoja kwa hoja. Mkuu Idunda mimi nadhani wewe ungemuuliza mtoa uzi kuwa ana uhakika kama hajawahi kusikia mheshimiwa anazungumzia rushwa na ufisadi? then wewe na wengineo you could prove him/her wrong? kwa nini? kwa sababu labda nyie mlishawahi kusikia anazungumzia. shida watu siasa zimewakaa hadi kwenye damu mnashindwa kuangalia mambo ya msingi. mimi sishabikii hoja ila najalibu kuweka sawa sisi tuliobahatika kwenda shule tunavyojibu hoja.
 
Waziri mkuu wa zamani aliejizulu kwa kashfa ya Rushwa na mbunge wa Monduli mh Edward Ngoyai Lowassa,ni mmoja wa viongozi waandamizi na wenye ushawishi mkubwa ndani ya Chama chama Mapinduzi.

Mh Lowassa amekuwa akitajwa sana kuwa ni miongoni mwa wana CCM ambao wanatarajiwa kujitosa ktk uchaguzi mkuu wa rais 2015. Mh Lowassa amekuwa akizunguka nchi nzima ktk makanisa,misikiti na taasisi mbalimbali za kijamii akitoa michango mikubwa ya pesa pale anapokua amehudhuria km Mgeni rasmi.

Mh Lowassa pia amekuwa akitoa kauli nzito nzito pale anapohutubia,mfano kauli aliyowahi kuitoa kuwa Ajira kwa vijana ni Bomu linalosubiriwa kulipuka muda wowote endapo serikali haitatafuta njia mbadala ya kukabiliana nayo.

Mh Lowassa aliwahi pia kuikosoa serikali ya Jakaya Kikwete kwa kutokua na uwezo wa kuchukua Maamuzi magumu kwa maswala mbalimbali ya kijamii.

Ni hapo jana tu akizungumza ndani ya Bunge kwa mara ya tatu tangia alipojiuzulu mh Lowassa aliikosoa serikali ya Ccn kwa kile alichodai kuwa viongozi wake hawana vipaumbele maalum ktk mambo mbalimbali kwa kuyainisha vipaumbele vichache na badala yake wamekuwa wakifanya mambo Kiswahili kwa kuzungumza mambo mengi na yasiyotekelezeka.

Mh Lowassa amekuwa mkosoaji mkubwa wa serikali iliyoko madarakani,lakini ktk kukosoa kwake pamoja na kuwa anajua kwamba RUSHWA ndio ugonjwa mkubwa unaoitafuna nchi,,binafsi sikuwahi kumsikia mh Lowassa akizungumzia UFISADI NA RUSHWA ambao umeshamiri sana ktk sekta mbalimbali za serikali huku ikifanya watu wa chini hususan vijana anaowapigia (yeye Lowassa) debe kukosa haki zao na maisha yao yakizidi kukosa mwelekeo.

Mh Lowassa amekuwa shujaa anaetaka viongozi kuchukua maamuzi magumu bila kuogopa ktk maswala mbalimbali ya nchi,lakini ni kwanini Mh Lowassa amekuwa hazungumzii swala la Rushwa na Ufisadi ulioshamiri ktk serikali na taasisi zake huku akijua kuwa Rushwa ndio adui mkubwa wa maendeleo na maamuzi magumu anayatoka viongozi kuchukua?
Kiongozi anaechukua Rushwa atawezaje kuchukua maamuzi magumu?

kwa mtizamo wangu naona kuwa Huyu lowasa anaupinga sana ufisadi na rushwa kwa vitendo, na hicho ndicho kilichomsababisha akaondolewa kwenye uPM, mwenzake (sokoine) Aliuwa kabisa. Nadhani kiapo kinambana ndio maana anashindwa kuuweka ukweli hadharani (kwa vyovyote vile sitatoa siri ya baraza la mawaziri Mungu nisaidie) jaribuni kumkumbuka hata mzee wa Kilalacha. Naamini kuna mambo mengi anayoyafahamu lakini anashindwa kusema, mfano, wahusika wakuu wa madawa ya kulevya, Majangili wakubwa na wanaohujumu maendeleo ya taifa ikiwemo bandari na reli. Naamini akipata nafasi (endapo Mungu atampa maisha marefu) atafanya mambo makubwa na ukweli kuhusu ufisadi utajulikana.
 
sasa tuwekee ushaidi wa lowassa kuw ni fisadi,ukishindwa tutaamin chuki uluzo nazo ni kwasabu mama yako atakuw amebandaluwa na lowassa huwez ukawa na chuki za kipuuz na hoja za kipuuzi!!hela za wanaume unalilia!!ukiona maisha yamekuwia vigum ruka ukuta!mtoto wa kiume fny kaz acha kuwa mvivu wa akili!!Lowassa ndo rais ajaye muulize hata mama yako mzazi

Ero Mong'oo! Yaani Matusi yote haya ni ktk kumtetea tu Fisadi? Eti ndio Rais ajae! Labda rais wa TFF.Umelishwa yamini na Lowassa na huku ukiendelea kunufaika na pesa alizoiba halafu leo unataka tukuunge mkono ktk kumtetea Fisadi!

Huna hata haya kuniambia niweke ushahidi wa ufisadi alioufanya!?
Kwani hujui kuwa nini kilimfukuzisha Uwaziri mkuu? Km hujui basi nina mashaka na Uwezo wako wa kichwa kutunza kumbukumbu.

Mimi ninajua tu lazima una Mimba yake ndio maana huishi kumsifia! AISIFIAE MVUA, UJUE LAZIMA ILIMNYEA!!
Mimi sina mtu ninae mtetea hapa zaidi ya nchi yangu Tanzania kwa ajili ya watoto na wajukuu wangu baadae.
Wewe umeishia kumtetea Mwanaume mwenzio,je hakuna sababu hapo?
 
kwa mtizamo wangu naona kuwa Huyu lowasa anaupinga sana ufisadi na rushwa kwa vitendo, na hicho ndicho kilichomsababisha akaondolewa kwenye uPM, mwenzake (sokoine) Aliuwa kabisa. Nadhani kiapo kinambana ndio maana anashindwa kuuweka ukweli hadharani (kwa vyovyote vile sitatoa siri ya baraza la mawaziri Mungu nisaidie) jaribuni kumkumbuka hata mzee wa Kilalacha. Naamini kuna mambo mengi anayoyafahamu lakini anashindwa kusema, mfano, wahusika wakuu wa madawa ya kulevya, Majangili wakubwa na wanaohujumu maendeleo ya taifa ikiwemo bandari na reli. Naamini akipata nafasi (endapo Mungu atampa maisha marefu) atafanya mambo makubwa na ukweli kuhusu ufisadi utajulikana.

Hizi ndizo tunazoita hoja. Umejaribu kupambanuwa kwanini wewe unahisi Lowassa hawezi kutaja au kuwataja Mafisadi.
Bado sikubaliani na hoja yako hii lakini kwa kiasi kikubwa unaonyesha uwezo wa kujenga hoja na sio sawa na huyu anaejiita Kilorit!!
Swala la kumpa nafasi kwa kuwa anaweza kufanya mambo makubwa na ukweli kuhusu ufisadi utajulikana,sio kweli!
Tulishampa nafasi ya kuwa kiongozi mkuu wa mambo ya serikali lakini tulichoshuhudia ni kuingiza nchi ktk mikataba ya Kifisadi na kusababisha matatizo lukuki.

Lowassa ni mtendaji sawa! Lakini ni Fisadi na Dikteta,ambae hafai kuwa ndie kiongozi mkuu wa nchi mwenye maamuzi ya mwisho!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom