Amekudanganya huyo.. Nenda kashike waya wa gridi ya taifa bila kugusa chini uone kama hujageuka majivuUkishika wire halafu umekanyaga chini basi utakula shoti ila kama umeshika wire juu kwa juu hutapigwa shoti kwa kuwa hujacomplete circuit haya ni kwa mujibu wa mwl wangu wa physics a level (nisahihishe)
Na sababu nyingine, nyaya za umeme zina maganda juu, kwa hiyo akitua sehemu yenye ganda hawezi kunaswa na shoti ya umemeMkuu chaUkucha
Sio kweli Kunguru hapigwi shoti ya umeme coz ya sumu iliyopo ndani ya damu yake,
Unajua hakuna shoti kama hakuna "potential difference" katika terminals za kifaa chochote kile,
Kunguru anapokanyaga waya mmoja kunakua hakuna "Partial discharde ( p.d ) lakini kama akitanua miguu yake na kukanyaga waya mbili atapigwa na shoti na kugeuka majivu in a seconds!
Chukulia mfano wa binaadamu,yeye anatengeneza partial discharge (p.d) kati ya waya na "earth"
Yani binaadamu anapokuwa kasimama ardhini, lakini kama akining'inia kwenye waya kwa mkono mmoja au hata kwa mikono yake yote miwili ikiwa karibukaribu hakuna madhara mradi hagusi chochote kinachogusana na ardhi. Lakini kama akitanua mikono yake itakua anatengeneza partial discharge na lazima apigwe na shoti,
Kitu kingine,Kunguru miguu yake ina magamba ambayo ni "Insulation" hii humsaidia asipigwe na shoti hata akigusa miguu yote hatapata shoti,ila hiyo insulation yake ni kwa umeme mdogo tu kama vile 1V to 450V kwa umeme mkubwa hiyo insulation yake miguuni haitomsaidia kitu.
Za gridi ya taifa hazina magandaNa sababu nyingine, nyaya za umeme zina maganda juu, kwa hiyo akitua sehemu yenye ganda hawezi kunaswa na shoti ya umeme
na hapo ndipo ulipomuona kunguru katua?Za gridi ya taifa hazina maganda
UmedataIvi sumu aliyonayo ndo inasababisha asinaswe na umeme? Maana namuonaga kwenye nyaya za umeme akiwa anatabasamu!
Hahahaa! Mkuu hii elimu ulifundishwa na nani? Na ilikua wapi?Kwasababu Kunguru mwenyewe ni funza mwenye mabawa,funza anakula mizoga na kunguru hivyo hivyo
Ubongo wako ni mdogo alafu hauna oxygen hauwezi kuhimili vitu vikubwa....Nyambaaaaaaafuuu
Hahahaa! ras jeff bora utusaidie na wewe.Ubongo wako ni mdogo alafu hauna oxygen hauwezi kuhimili vitu vikubwa....
Ivi sumu aliyonayo ndo inasababisha asinaswe na umeme? Maana namuonaga kwenye nyaya za umeme akiwa anatabasamu!
aiseee umenichekesha sana!!!Inasemaje hiyo habari tushirikishe na sisiUkisoma ile habar ya ghalika la nuhu ndio utajua kwann kunguru haozi akifa
Mkuu umezidisha jaman ulimuona akitabasamu kwel wew unamachoIvi sumu aliyonayo ndo inasababisha asinaswe na umeme? Maana namuonaga kwenye nyaya za umeme akiwa anatabasamu!
Si kweli kwamba alinogewa na mapochopocho ndiyo maana hakurudi,ila sababu ni kuwa alipata pa kutua na hilo ndiyo lillomjulisha nuhu kuwa maji yamekauka!!!alitumwa na nuhu akacheki kama maji yameisha hakurudi tena kwa nuhu akanogewa na mapochopocho aloyakuta yanaeleaelea
mkuu kwani kinacho decompose chuma nnn kama si baadhi ya viumbe visivyoonekana? the same applied to Kunguru nao wanaoza kwa sababu kwenye eco-sestem kuna decomposers hukooMkuu Kunguru haozi bali hukauka tu,suala la kwanini haozi nimelitolea maelezo huko juu,ni kweli atakauka ila "atapotea" kwa nature,hata chuma ukikiweka ardhini for so long,mwisho wake kitabadilika na kua udongo tu na kupotea,hiyo haina maana eti chuma kimeshambuliwa na bacteria!
Kuna mtu kasha isema hapa itafuteInasemaje hiyo habari tushirikishe na sisi
wana insulator mkuu kuna watu walikimbia biology ya form 3 hukuNdege wote miguu yao imefunikwa na magamba yasiyopitisha umeme ndio maana hawawezi kudhurika na umeme