Goooood kabisaaaa umepataalitumwa na nuhu akacheki kama maji yameisha hakurudi tena kwa nuhu akanogewa na mapochopocho aloyakuta yanaeleaelea
Mkuu Sio kweli, Uwezo wa kutua katika nyaya za Umeme wenye Power sio kwamba ndio ability hata ww unaweza kuninginginia hizo nyanya za umeme tena high voltage bila kudhurika ni namna tu ya kujua kanuni za umemeNa sio kunguru tu, hata ndege yeyote anayetua juu ya nyaya za umeme bila kupata madhara yayoye hawezi kuoza!
We uctudanganye umeme hauna mwenyewe shoti lazimaMkuu Sio kweli, Uwezo wa kutua katika nyaya za Umeme wenye Power sio kwamba ndio ability hata ww unaweza kuninginginia hizo nyanya za umeme tena high voltage bila kudhurika ni namna tu ya kujua kanuni za umeme
Tupe dondoo mkuuUkisoma ile habar ya ghalika la nuhu ndio utajua kwann kunguru haozi akifa
Kila mymana anashambuliwa na parasite mbalimbali ktotokana na bio composition ya mwili wake. Parasite wengi huweza kubadilika wakati ukiwa hai wanaishi na wewe bila madara ( symbiotic relation) lakini ukifa tuu wanabadilika kuwa decomposes wengi ni wale waitwao ( facultative parasites). Hoja kwamba kunguru hashambuliwi na decomposers si ya kweli kwani ingekuwa hivyo wakifa miili yao ingekuwa inadumu kama plastic au mifuko ya rambo ambayo ni non biodegradable, kwa kuwa niili yao huisha baada ya kufa, basi kuna parasite wanaowashambulia ambao sii lazima waonekane kwa macho. KILA MKUU ANA MKUU WAKE NA KILA MBABE KUNA MBABE ZAIDI YAKE.
Kweli mm nilishuhudia fundi anashika waya live bila wasi nikachoka nikamuuliza akanijibu something to do with conductivity au Earthing sikumbuki vzr.We uctudanganye umeme hauna mwenyewe shoti lazima
kwel kuhusu elimu ya umeme unaweza kushika waya wa live wa umeme na usipigwe shot inatakiwa usitetemeahe mkono endapo utatetemesha ulivyo ushika usipo kufa utazimia.kunguru anapigwa shot kwenye mabawa yake akiruka vibaya analambwa shot.We uctudanganye umeme hauna mwenyewe shoti lazima
ila ndio ukweli huoHii mpya kwangu
Hapo haupo sawaNa sio kunguru tu, hata ndege yeyote anayetua juu ya nyaya za umeme bila kupata madhara yayoye hawezi kuoza!
ExactlyNasikia kunguru damu yake.ni acid. Na wala katika maisha yao huwa hawaugui kwasababu ya damu yao kuwa sumu na hakuna mdudu anayeweza kuishi kwenye miili yao. Nasikia wanaishi zaidi ya miaka 100 hao.
Nasikia binadamu eti ana umeme ndani yake!kwel kuhusu elimu ya umeme unaweza kushika waya wa live wa umeme na usipigwe shot inatakiwa usitetemeahe mkono endapo utatetemesha ulivyo ushika usipo kufa utazimia.kunguru anapigwa shot kwenye mabawa yake akiruka vibaya analambwa shot.
Asante kwa elimu nimekuelewa zaidiMkuu chaUkucha
Sio kweli Kunguru hapigwi shoti ya umeme coz ya sumu iliyopo ndani ya damu yake,
Unajua hakuna shoti kama hakuna "potential difference" katika terminals za kifaa chochote kile,
Kunguru anapokanyaga waya mmoja kunakua hakuna "Partial discharde ( p.d ) lakini kama akitanua miguu yake na kukanyaga waya mbili atapigwa na shoti na kugeuka majivu in a seconds!
Chukulia mfano wa binaadamu,yeye anatengeneza partial discharge (p.d) kati ya waya na "earth"
Yani binaadamu anapokuwa kasimama ardhini, lakini kama akining'inia kwenye waya kwa mkono mmoja au hata kwa mikono yake yote miwili ikiwa karibukaribu hakuna madhara mradi hagusi chochote kinachogusana na ardhi. Lakini kama akitanua mikono yake itakua anatengeneza partial discharge na lazima apigwe na shoti,
Kitu kingine,Kunguru miguu yake ina magamba ambayo ni "Insulation" hii humsaidia asipigwe na shoti hata akigusa miguu yote hatapata shoti,ila hiyo insulation yake ni kwa umeme mdogo tu kama vile 1V to 450V kwa umeme mkubwa hiyo insulation yake miguuni haitomsaidia kitu.
Mkuu Kunguru haozi bali hukauka tu,suala la kwanini haozi nimelitolea maelezo huko juu,ni kweli atakauka ila "atapotea" kwa nature,hata chuma ukikiweka ardhini for so long,mwisho wake kitabadilika na kua udongo tu na kupotea,hiyo haina maana eti chuma kimeshambuliwa na bacteria!Kila mymana anashambuliwa na parasite mbalimbali ktotokana na bio composition ya mwili wake. Parasite wengi huweza kubadilika wakati ukiwa hai wanaishi na wewe bila madara ( symbiotic relation) lakini ukifa tuu wanabadilika kuwa decomposes wengi ni wale waitwao ( facultative parasites). Hoja kwamba kunguru hashambuliwi na decomposers si ya kweli kwani ingekuwa hivyo wakifa miili yao ingekuwa inadumu kama plastic au mifuko ya rambo ambayo ni non biodegradable, kwa kuwa niili yao huisha baada ya kufa, basi kuna parasite wanaowashambulia ambao sii lazima waonekane kwa macho. KILA MKUU ANA MKUU WAKE NA KILA MBABE KUNA MBABE ZAIDI YAKE.
Ni kweli binadamu ana umeme ndani yake lakini sio umeme huu wa kuwasha taa na radioNasikia binadamu eti ana umeme ndani yake!
NyambaaaaaaafuuuMkuu Sio kweli, Uwezo wa kutua katika nyaya za Umeme wenye Power sio kwamba ndio ability hata ww unaweza kuninginginia hizo nyanya za umeme tena high voltage bila kudhurika ni namna tu ya kujua kanuni za umeme