Kwanini kunguru akifa hatoki funza?

kuna haja ya kupata somo la umeme
Yeye hapigwi shoti kwa sababu anakua haja complete circuit ila binadamu anaposhika nyaya anakua kama vile kajifanya waya wa kupitisha huo umeme kwenda ardhini(Niko tayari kusahihishwa)
 
Ivi sumu aliyonayo ndo inasababisha asinaswe na umeme? Maana namuonaga kwenye nyaya za umeme akiwa anatabasamu!
Kunguru hana damu nyingi na damu yake hiyo kidogo ni nyeusi na nyepesi. Akifa inakauka haraka saña. Kwenye nyaya za umeme hapati shoti kwa sababu ngozi yake ya miguuni ni kavu kama mti mkavu.
 
kipindi cha nuhu alitumwa atoke nje ya safina akaangalie hali ipoje akatokomea kwa kunogewa na mizoga akalaaniwa vivyo hivyo firauni nayy mzoga wake ulilaaniwa hata wadudu wasiusogelee kama ilivyo kwa kunguru na hadi leo mzoga wake upo kamili gado....naweza kusahihishwa
Kwahiyo nuhu alikuwa tarzan eeeh.
 
Damu yake ina sumu kali sana kiasi akifa hakuna bacteria ambaye anamsogelea na hivyo kutooza zaidi,

Kunguru hukauka tu na huwezi kuona INZI akimsogelea kunguru hata siku moja, kwani ana sumu kali sana akiwa mzoga.
kuna jamaa alikua anawawinda na manati kilikua kitoweo chake maana kwa siku hakosi wawili
 
Inawezekana damu yake ni tiba ya magonjwa mengi ya binadamu.......so next time ukimpata chukua damu yake ujidunge....Magonjwa magonjwa we sahau kabisa......Hata ngoma...
 
Damu yake ina sumu kali sana kiasi akifa hakuna bacteria ambaye anamsogelea na hivyo kutooza zaidi,

Kunguru hukauka tu na huwezi kuona INZI akimsogelea kunguru hata siku moja, kwani ana sumu kali sana akiwa mzoga.
Le ornithologost
 
kwel kuhusu elimu ya umeme unaweza kushika waya wa live wa umeme na usipigwe shot inatakiwa usitetemeahe mkono endapo utatetemesha ulivyo ushika usipo kufa utazimia.kunguru anapigwa shot kwenye mabawa yake akiruka vibaya analambwa shot.
Sio ramli hii....? Mmmhh!!..
 
Mkuu chaUkucha

Sio kweli Kunguru hapigwi shoti ya umeme coz ya sumu iliyopo ndani ya damu yake,

Unajua hakuna shoti kama hakuna "potential difference" katika terminals za kifaa chochote kile,

Kunguru anapokanyaga waya mmoja kunakua hakuna "Partial discharde ( p.d ) lakini kama akitanua miguu yake na kukanyaga waya mbili atapigwa na shoti na kugeuka majivu in a seconds!

Chukulia mfano wa binaadamu,yeye anatengeneza partial discharge (p.d) kati ya waya na "earth"
Yani binaadamu anapokuwa kasimama ardhini, lakini kama akining'inia kwenye waya kwa mkono mmoja au hata kwa mikono yake yote miwili ikiwa karibukaribu hakuna madhara mradi hagusi chochote kinachogusana na ardhi. Lakini kama akitanua mikono yake itakua anatengeneza partial discharge na lazima apigwe na shoti,

Kitu kingine,Kunguru miguu yake ina magamba ambayo ni "Insulation" hii humsaidia asipigwe na shoti hata akigusa miguu yote hatapata shoti,ila hiyo insulation yake ni kwa umeme mdogo tu kama vile 1V to 450V kwa umeme mkubwa hiyo insulation yake miguuni haitomsaidia kitu.
Nimekuelewa sana mkuu! Vp waweza fanya jaribio hilo la kubembea staili ya non conduct kwenye waya wa umeme?
 
Mkuu hawa vijana wa siku hizi anaweza kukubishia jambo sio kwamba ana ujuzi nalo au ana ufahamu nalo bali wameshakua na ile mentality kua kuchangia hoja jf ni "kubishana" au "kumkejeli" mchangiaji!!

Yaani unakuta mtu anabisha kitu bila hata yeye kuweka ukweli wake?! Hoja hupingwa kwa hoja.
Muda mwingine sio kwamba tunapiga,tunapata udadisi kwa mambo tusiyoyajua tunayofifunza humu .hasa hilo la ukibembea kwe waya mikono ikiwa karibu bila kugusa chochote hupigwi shoti,limenishangaza sana,nashukuru nimejifunza kitu,but siwezi jaribu aisee..hahahaaa!
 
NAuliza kwa hio hafai kwa kitoweo, nina hofu nikimla nisije mtoa mzima.
 
Kingine hawa kunguru tuwawinde tutengenezee sumu za ma nyinzi ili kupunguza kero za ma nyinzi/inzi/nzi
 
Back
Top Bottom