Sio kweli. Hata wewe ukiweza simama kwenye waya wa umeme free standing bila kugusa ardhi au wire mwingine hutadhurika.Ivi sumu aliyonayo ndo inasababisha asinaswe na umeme? Maana namuonaga kwenye nyaya za umeme akiwa anatabasamu!
Sio kweli. Hata wewe ukiweza simama kwenye waya wa umeme free standing bila kugusa ardhi au wire mwingine hutadhurika.Ivi sumu aliyonayo ndo inasababisha asinaswe na umeme? Maana namuonaga kwenye nyaya za umeme akiwa anatabasamu!
Wewe ndo umeleta mambo ya kunguru huenda wamekula nyama yake!!!Naomba mnaogombana kwenye uzi wangu muache mara moja..![]()
![]()
![]()
![]()
220 mkuu uwa tunazishika kila siku iendayo kwa munguBasi hyo ni chini ya volt 100... hapo utashikalakin sio volt 230
Kwahiyo kiongzi kunguru anajua kanun za umeme au umeniacha hapo...????Mkuu Sio kweli, Uwezo wa kutua katika nyaya za Umeme wenye Power sio kwamba ndio ability hata ww unaweza kuninginginia hizo nyanya za umeme tena high voltage bila kudhurika ni namna tu ya kujua kanuni za umeme
Sasa mkuu umeme wa high voltage ukisogea karibu tu ni msala....ndo ushike? Seriously unawashsuri watu ivo....kwl mskuma katia nanga kwny life lakoMkuu Sio kweli, Uwezo wa kutua katika nyaya za Umeme wenye Power sio kwamba ndio ability hata ww unaweza kuninginginia hizo nyanya za umeme tena high voltage bila kudhurika ni namna tu ya kujua kanuni za umeme

Ni kweli, unaeza ushika umeme bila madhara, ila uwe kama ambao tunautumia majumbani yaani low voltage.. Sio ule wa High voltage ambao nguzo zake huwa kubwa sana au za vyuma.. Yaani tower poles.. Ila huu wa matumizi ya ndani ndo unaweza kuushika.. Ni jins tu ya kuelimishwa.. Ila pia ndio unaoongoza kwa kuuaa watu wengi zaidi.. Ni sawa na wanyama na waduu wanaoogopwa sana ni chui simba nk, na upande wa wadudu nni nyuki, tandu nge nk ila anaeongoza kwa kuua idadi kubwa ya watu duniani ni mbu ambae tunaishi nao majumbani kwetu... Wenye akili watanielewaWe uctudanganye umeme hauna mwenyewe shoti lazima
Kweli!!? Na aina ya kobe nasikia wanaishi zaidi ya miaka 300, so kunguru huishi zaidi ya hapo?sio suala la kuoza tu, kunguru huishi pia maisha marefu kuliko kiumbe hai mwengine yeyote.
Kweli laana mbaya sana si unaona hata yule kijana wa lumumba alivyomgeuka yule mama et alikuwa anaigiza... Yaani kitu kiko open kabisa afu anasema hakumaanisha, huyu nae atakuwa kama kunguru tu hatooza akifa aisee.. Laana ya kunguru iko kwa wengilaana ni jambo baya...mzoga usipooza jambo hili linawezaje kuitwa laana??
Ai lavu yualitumwa na nuhu akacheki kama maji yameisha hakurudi tena kwa nuhu akanogewa na mapochopocho aloyakuta yanaeleaelea
Ivi sumu aliyonayo ndo inasababisha asinaswe na umeme? Maana namuonaga kwenye nyaya za umeme akiwa anatabasamu!
akiwa anatabasamu

Kwaiyo kunguru wanajua kanuni za umemMkuu Sio kweli, Uwezo wa kutua katika nyaya za Umeme wenye Power sio kwamba ndio ability hata ww unaweza kuninginginia hizo nyanya za umeme tena high voltage bila kudhurika ni namna tu ya kujua kanuni za umeme
Nadhani kwa mbali nilianza kukuelewa lakini baadae ukaniacha. Nilitegemea utaeleza kuwa kutokana na hali ya miili yao kutokuwa rafiki kwa viumbe wengi hasa 'parasites'....basi huchukua muda mrefu kwa agents hao kufanya kazi ya kuharibu mwili wake. Ni hadi hali hiyo ya sumu itakapotoweka na si mara baada ya kufa. Ndio maana ni hadi mwili wake unakauka kwa muda mrefu wale wadudu(deteriorating microbes na decomposers) wanakuwa hawana bado uwezo wa kuuharibu waoKila mymana anashambuliwa na parasite mbalimbali ktotokana na bio composition ya mwili wake. Parasite wengi huweza kubadilika wakati ukiwa hai wanaishi na wewe bila madara ( symbiotic relation) lakini ukifa tuu wanabadilika kuwa decomposes wengi ni wale waitwao ( facultative parasites). Hoja kwamba kunguru hashambuliwi na decomposers si ya kweli kwani ingekuwa hivyo wakifa miili yao ingekuwa inadumu kama plastic au mifuko ya rambo ambayo ni non biodegradable, kwa kuwa niili yao huisha baada ya kufa, basi kuna parasite wanaowashambulia ambao sii lazima waonekane kwa macho. KILA MKUU ANA MKUU WAKE NA KILA MBABE KUNA MBABE ZAIDI YAKE.
Hapa mkuu umechemsha kuna ndege wengi sana hutua kwenye nyaya za umee na wakifa huoza kama kawaida.Na sio kunguru tu, hata ndege yeyote anayetua juu ya nyaya za umeme bila kupata madhara yayoye hawezi kuoza!
Kama jamaa anabisha mlete kwenye maabara yangu,Nina ndege aina tofauti tofauti waliokufa natural death. Hawajanuka wala kutoa hivyo anavyo visema.Na sio kunguru tu, hata ndege yeyote anayetua juu ya nyaya za umeme bila kupata madhara yayoye hawezi kuoza!