Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,577
- 10,244
Ni kweliIle sio mbwembwe ile ni physics Mkuu, Henry's law,the solubility of a gas in a liquid is proportional to the partial pressure of that gas above the liquid.
Ile paaah!, inafanya inakuwa rahisi zaidi kukifungua kifuniko kwa zenye mifuniko ile. Kumbuka.sio chupa zote zinafanana viuniko ndio maana bado sio zote zinapigwa chini.
Hiyo ni worldwide sio bongo tu.
Umeeongea vema ila kuna kitu hakijagusiwa. Kwanini inapigwa kitakoni kwa Kofi wakati wa kuifungua.Kulazwa kwa Konyagi mezani ni tamaduni ya mtaani iliyojaa maana ya kiheshima, ukali wa kinywaji, au ubabe wa wanywaji.
Ni style tu ya kuonyesha upekee kwamba msije mkamuangusha huyu mwamba ngoja tumlaze - Ni street culture, si lazima iwe na maana rasmi.
Ukitaka kujua ulevi ni ugonjwa some AA pombe ni kitu kibaya sana ni vile tu kimehalalishwa. Embu angalia vijana wa Arusha wale wadudu walivyo."Si kila anywapo amelegea, wala si kila mnywaji amepotea; maana kuna wanaokunywa kwa akili kama vile mto upitavyo maji bila mafuriko". - Mstoiki5:3 😅
Yamekupata au shoboUlevi ni matatizo Mkuu
Bado hujui matatizo ya pombeUkitaka kujua ulevi ni ugonjwa some AA pombe ni kitu kibaya sana ni vile tu kimehalalishwa. Embu angalia vijana wa Arusha wale wadudu walivyo.
Ile sio bangi sababu bang haileweshi mtu akayumba zile ni pombe zimewafanya watu wanaongea ujinga na kufanya mambo ya ajabu ajabu tu.
Ni shobo tu kiongozi, ume mind kwani?Yamekupata au shobo
Usiniquote vibaya Sijasema kwamba kinywaji cha kulaza ni konyagi tu, Nimejibu hoja iliyoulizwa, nisingeweza kuzungumzia vinywaji vingine ambavyo havijaulizwa!!Sawa.
Kwahiyo kinywaji cha Kulaza tu ni Konyagi , na inakubid kwakuwa sio maamuzi yako binafsi?.
Hard Liquors nying hulazwa kwasababu ya Muundo wa chupa, hakuna cha ubabe , utamaduni wala ukali wa Kinywaji.
Pombe imeua marafiki zangu zaidi ya watatu na mmoja aliponea kamba nyembamba sana unataka niyajue matatizo gani tena ya pombe?Bado hujui matatizo ya pombe
Huaminika kusaidia ifunguke kirahisi [Sijajua kitaalamu imekaaje].Umeeongea vema ila kuna kitu hakijagusiwa. Kwanini inapigwa kitakoni kwa Kofi wakati wa kuifungua.
Na nadhani watu wakikuona unakunywa konyagi sijui wanakutafsiri vipi maana unaonekana umekubuhu
kitovu cha mvutano kipo chini, kwahiyo ni rahisi chupa kuanguka.Kwa sababu chupa yake haiko stable
Ni kweli ulevi ni ugonjwa, lakini si kila unywaji ni ulevi, Kuna tofauti kati ya mnywaji wa kawaida na mlevi sugu.Ukitaka kujua ulevi ni ugonjwa some AA pombe ni kitu kibaya sana ni vile tu kimehalalishwa. Embu angalia vijana wa Arusha wale wadudu walivyo.
Ile sio bangi sababu bang haileweshi mtu akayumba zile ni pombe zimewafanya watu wanaongea ujinga na kufanya mambo ya ajabu ajabu tu.
hujui kwa nn inaitwaga 'Kasichana' au 'kisichana'?Salaam alyekum,
wakati sosho media zimejaa taarifa zisizo na tija sijui gwaji boy, sijui gen z binafsi naona ni kama kelele za chura ambazo hazimzuiii kuendelea na kazi huo ulikuwa utangulizi lakini swali langu ni kwanini konyagi huwa inalazwa? …..ukizingia kwenye comment principle yangu ni ile ile “ntakutafuta ntakupata na nitakufurahisha”
Kiasi nakubaliana na wewe kiongozi, ila kwa wadudu niamini mimi ule ni ulevi unawawehusha vijana. Fikiria hii kombo (mirungi+visungura+bangi+ugoro/pariki) alafu ni mtu anajidunga muda wote.Ni kweli ulevi ni ugonjwa, lakini si kila unywaji ni ulevi, Kuna tofauti kati ya mnywaji wa kawaida na mlevi sugu.
Pombe ina madhara ikizidi, lakini sasa kwanini ipo? mbona imehalalishwa? Mbona hutumika kihalali katika matukio ya kijamii kama Sherehe na vikao?
Si kila kinachotumika vibaya ni kibaya kiasili — anayetumia vibaya ndiye mbaya mwenyewe.
Wadudu wa Arusha wame develop tabia mbovu, Tabia hutokana na mazingira na watu waliokuzunguka na si kileo maana Ulevi ni tabia pia.
Bangi na pombe zote huathiri fahamu. Bangi haijidhihirishi kwa kuonekana wazi kama pombe — zote ni addiction zatakiwa kuepukwa.
Waitre niletee nyingine 😇😅
Hatari sana mkuu, Unafikiri ni hatua ipi inatakuwa ichukuliwe?Kiasi nakubaliana na wewe kiongozi, ila kwa wadudu niamini mimi ule ni ulevi unawawehusha vijana. Fikiria hii kombo (mirungi+visungura+bangi+ugoro/pariki) alafu ni mtu anajidunga muda wote.
Kuna siku wamepata ajali kama pikipiki 4 kwa mpigo vijana 8 wakakata moto palepale hao wawili ukiwaona ni swala la muda tu alafu wanayoongea unaona.hawa washapagawa.