zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,211
- 29,022
Wapi imeandikwa kuwa wati weupe wametoka kwa malaika.... Au kitabu cha Henoko kimemuongelea Nuhu kama Nuhu kuhusu issue ya weupe!!! Kma ni hivyo kwanini usiamini Nuhu alikuwa albino ila sio mzungu au mweusi??Nilichojifunza katika kitabu cha Enoch ni juu ya origin ya mtu mweupe (kina eleza Mungu aliumba mtu mweusi ila mtu mweupe alitokana na malaika wenye tamaa i.e fallen angels waliokuwa wakiwaingilia kimwili binadamu)
Aliumba mtu mweusi sasa kwanini manabii aliokua akiwatuma walikua ni weupe au baada ya kutokea akawa hana jinsi ikabidi awahalalishe tu?
Yaani hoja yako kuwa watu weupe wametokana na malaika unatoa mstari gani ili twende pamoja