asante africa
Member
- Jul 10, 2015
- 51
- 103
Salam
Katika soma soma zangu na kutafuta ukweli na kumtafuta Mungu wa kweli nikagundua kuna vitabu viliondolewa kwenye biblia i.e non canonical books mfano ni book of Enoch na rest of Ester
Sababu zinazotolewa ni kwamba eti kina verses ambazo wao wanaamini hazikuongozwa na roho mtakatifu.
Nilichojifunza katika kitabu cha Enoch ni juu ya origin ya mtu mweupe (kina eleza Mungu aliumba mtu mweusi ila mtu mweupe alitokana na malaika wenye tamaa i.e fallen angels waliokuwa wakiwaingilia kimwili binadamu). Vile vile kinaeleza juu ya mpinga kristo na siku za mwisho.
Swali langu:
Nini kinachowafanya wajue kama ni hekima za binadamu ukilinganisha na vitabu vingine?
Ni kwanini kilitolewa ikiwa kama hekima za Enoch i.e great grandfather of Noah zilitambuliwa na kutajwa waziwazi na waandishi wa agano jipya mfano Jude?