PesaNdogo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 1,995
- 1,291
Uchanga wa kimawazo na ujuaji wako vyote sio factor za kufikia lengo kuu la kujua neno ambalo ni kuingia katika uzima wa milele na kutawala na Mungu.Ha ha ha ha
Hizo Ni Kauli Za Wajuaji wanaposhindwa kutetea hoja Hakuna Kubishana Hapa tunaeleweshana tu.
Napingana sana na kauli kama hizo zinaonnyesha uchanga wakimawazo maana jambo la kujadiliana halafu mtu unaseama anapenda kubishana ni kauli za ujuaji maana yake lolote utakaloongea likubalike.
hakuna maisha kama hayo face the challenge and be more wisely
Wewe ulikataa na kusema nalazimisha kusema asiyeamini amekwisha kuhukumiwa nimekuonesha mstari upo straight unataka kubishia nini? Nini kimekaririshwa?
Sijakuelewa hoja yako unataka nini hasa inabidi nikuache labda kuna watakaokuelewa muendelee, binafsi hunidhuru kwa lolote sina haja ya kubishana nawe. Mimi ni msomaji wa biblia na ninasali na ninauwezo wa kuchambua na maana nimesoma tokea ikiwa kama theolojia na katika namna na kujifunza kiimani.
Kuna vitu huwezi kupindua wala kumanuva