Kwanini kila kesi Tundu Lissu anashinda?

Kwanini kila kesi Tundu Lissu anashinda?

Mkiishiwa hamkosi lakusema
Hata pumba kwenu hoja
Hii ndio News mmeona!!!
Tafuteni habari zinazo msaidia mtanzania
Hata ingelikuwa ni Dk 15 kusmafirisha Mropokoji kutoka Kigoma to Dar
Yote sawa tu
si ndo maana mada anawaeleza ili jitihada nyingi na fedha mnazotumia kwa vitu ambavyo havina maana wakawaidie wananchi
 
Natamani sana huyu mropokaji aishie kizuizin...maana sisi wazalendo tumechoshwa na huu upuuzi usioisha.

Mtu mzima ovyo...
 
Daima Giza haliwezi kushinda Nuru abadani Asilani and SPEED+ POWER WITHOUT BRAIN IS ZERO.
 
Shirikisha ubongo yanayoendelea kwako ni sawa? Katiba inafuatwa?
Tumekwishafanya Cost-benefit analysis, JPM is doing correctly on the correct path with correct velocity. The displacement so far travelled is significant. The end will justify the means. And it is here, when we say history will teach you to learn, apparently the hard way.
 
Tumekwishafanya Cost-benefit analysis, JPM is doing correctly on the correct path with correct velocity. The displacement so far travelled is significant. The end will justify the means. And it is here, when we say history will teach you to learn, apparently the hard way.
Pole sana kama akili yako ndio inakupeleka huko
 
Mie nilijua Mungu tu ndio Hajaribiwi kumbe hata ........
 
Serikali si imesema inahamia dodoma? uko Dar wanampeleka kufanya nini sasa kama si upotezi wa kodi zetu tu
 
Safari hii kama mnadhani kuwa Lissu atatoboa hakika mtalala na njaa. Huwezi kuendelea kumtukana Rais then ukabaki salama. Soon atarejeshwa mirembe
Akili ndogo bwana?amemtukana tusi gani?Hii nchi iko kwa mujibu wa kisheria mkuu
 
Chadema imemtoa sadaka Lissu. Na ninyi mnaomsifia pasipo haja wala sababu ndio mnaomsindikiza safsri yake ya mwisho. Siasa haziendi hivyo. Mkishuhudia mtakumbuka maneno haya siku si nyingi
Kwamba mtamuua au?!
 
Safari hii kama mnadhani kuwa Lissu atatoboa hakika mtalala na njaa. Huwezi kuendelea kumtukana Rais then ukabaki salama. Soon atarejeshwa mirembe
Wewe vipi ulivyowatukana na kuwadharau Mhe. Membe na Mhe. Lukuvi na Mhe Rajabu vipi?Au wewe una haki?Vipi yale mapovu yako?amabyo ni total nonsense
 
Serikali inatumia saa 6 kumkamata na kumsafirisha Tundulissu from Singida to Dar. Polisi wanatumia saa 5 kujadiliana na kurushiana mpira nani amuhoji. Anayeteuliwa anatumia saa 6 kuhoji huku akitamani Lissu amdeseshe maswali. Serikali na Polisi wanatumia saa 3 kumfikisha mahakamani. Wanasheria wa Lissu wanatumia dakika 60 kuipangua kesi. "Mahakama inatoa dhamana ya Shs laki moja" (nawaza tu) na Lissu anarudi mtaani kupambana na "dikteta uchwara". Dikteta uchwara ananuna hadi anatamani kupasuka maana hajaribiwagi na sasa Tundulisu "anamjaribuga". @Hii ndiyo Tanzania ya Viwanda.

Mtatiro J

Huyu Mtatiro si ndiye aliyetiwa suna na yule mdada wa CDM Segerea ambaye yeye chama chake kimemteua ubunge? Hana political charisma, amebakiwa na mashairi tu
 
Rais wetu hajaribiwi. Lazimamwaisome namba
Wewe ndio unaisoma sana namba kuliko mtu mwingine ulipiga propaganda hapa na kila ulichosoma non of them come out to be true, sasa wewe na hao watu nani anaisoma namba, na bado mwaka huu utaandika mpaka vidole vitoke sugu but katafute cheti kwanza as now hakuna cheap popularity
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom