cerengeti
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,879
- 1,634
Hizi ni kesi uchwara.inamaana wafunguaji kesi watakuwa malofa kwakuwa wanafungua kesi zisizo na mashiko
Hizi ni kesi uchwara.inamaana wafunguaji kesi watakuwa malofa kwakuwa wanafungua kesi zisizo na mashiko
Acha uongo wewe. Mbona kesi ya kakaang Kafulila ilimshinda?+ kesi ya Wenje kule Mwanza. Yuko vizur kwenye sheria but sometime anaangukia pua especially akipambanishwa na TULIANijiuliza huyu Lissu anakamatwa kila siku na kesi anawashinda si bora wamuache tu kwakuwa anawazidi kwa kila kitu wafungua kesi dhidi yake
PointNa watamkamata mpaka lini maana kesi nyingi anazofunguliwa hazina mashiko kabisa Tanzania demokrasia bado ni vile tu mashinikizo kutoka nje.Ila kila mwanzo una mwisho aidha mzuri au mbaya pia yupo msemaji wa mwisho ambae ni mungu muweza yote .
Nijiuliza huyu Lissu anakamatwa kila siku na kesi anawashinda si bora wamuache tu kwakuwa anawazidi kwa kila kitu wafungua kesi dhidi yake
UNABISHA KUWA LISSU HATOWASHINDA JAMAAMkuu hili swali lako limekaa kichochezi.
Unataka tujibu majibu ambayo kesho yake yatatugharimu.
Lakini ngoja nikujibu tu, Mfano mwanao kila swali unalompa afanye halafu anakosa huyo mtoto ni kilazer.
Hivyo wale wanaopewa kazi ya kumshtaki Lissu halafu wanashindwa kumtia hatiani kila siku sijui tuwaitaje?
Rejea mfano hapo juu.
SI WANAPOTEZA GHARAMA ZA KUMFUATA NAKUMLETA MJINI KUHOJIWAKwa sababu ni kesi za kubambikiwa hakuna ushahidi wowote zaidi ya kutaka kumkomoa tu. Wanachosahau TL ni mwanasheria mzuri sana hivyo kamwe hawawezi kumkuta na hatia kwenye kesi ya kumbambikia kutokana na uwezo wake mkubwa aliokuwa nao wa kujenga hoja na kutumia vifungu vya sheria kupangua hoja za wabambikaji wa sharia.
Kwa huyu dikteta uchwara ambaye tayari ameshakuwa na kitengo kingine ndani ya CCM kinachoitwa Polisiccn anaweza kabisa kutumia udikteta wake ili kulazimisha TL akutwe na hatia hata kama hakuna kifungu cha sheria ambacho kitamuona ana hatia. Si tunaona sasa hivi pamoja na katiba kuvipa vyama vya upinzani haki ya kuandamana na kufanya mikutano mahali popote nchini dikteta uchwara kishasigina haki hiyo ya kikatiba hivyo tusishangae kwamba mahakama nayo ikaongezwa kama kitengo kingine cha ccm hivyo kumuona TL ana hatia za kubambikiwa ili kumfunga kwa uonevu.
Hiyo kadi ni ya onyo au ni ya kutolewa nje ?[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] View attachment 375567
Tumeona heka heka na nguvu kubwa zinazotumika katika kumshughulikia Mwanasheria Nguli nchi hii Kamanda Tundu Antipas Lissu.
Ni kituko kama siyo comedy kucheza na mtu anayejua kuisoma sheria, kuitafsiri na kuifuata.
Hizi gharama kubwa ambazo wanatumia katika kupambana na Mtu moja ni dhahiri wanakiri Tundu Lissu ni Jemedari. Mimi nadhani gharama wanazotumia kumsumbua Tundu Lissu ambaye wanajua kabisa ni kupoteza muda wangezielekeza katika kujenga vyumba vya madarasa, na ninaamini fedha ambazo zinatumika kupambana naye zingetosha kujenga shule za sekondari zaidi ya tano na watoto wetu wakasoma vizuri.
Nina mashaka kama kweli hii kamata kamata kwa Tundu Lissu ni tamko la magogoni, na kama ni tamko la magogoni basi kuna tatizo mahali.
Jamaa anatumia akili nyingi nguvu kidogo, wakati wao wanatumia Nguvu nyingi akili mfukoni dah!
Ipo siku Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa Jamhuri ya Tanzania
Ya Onyo ni njanoHiyo kadi ni ya onyo au ni ya kutolewa nje ?
Mkuu, we are in 2016 by now..... speak of 2025/30How will it sound in the year 2012: Tundu Antipas Lissu, The president of United Republic of Tanzania