Kwanini kila kesi Tundu Lissu anashinda?

Kwanini kila kesi Tundu Lissu anashinda?

Tatizo ni kuchanganya taaluma(sheria) na siasa. Utasikia maagizo kutoka juu, juu wapi? kwa nani? Huyo juu ipo siku yake
 
Tatizo ni kuchanganya taaluma(sheria) na siasa. Utasikia maagizo kutoka juu, juu wapi? kwa nani? Huyo juu ipo siku yake
Siku ipi? Yaani maagizo toka juu yatamfunga kienyeji? au siku yake watamwekea Sumu afe? ipo siku yake ipi au jaji atajitoa fahamu amtandike miaka? iseme hiyo njama yenu watu wajue siku yake maana hata hao watoa Amri toka juu ipo Siku yao mungu atatoa malipo hapa hapa Duniani, hata wewe ipo Siku yako Dua zako mbaya kwa Lisu zitakurudia mabaya yako yatabumburuka utakamatwa na kufungwa ingawa unajidai ni Malaika.
 
Povu
 
Rudia wanaomshataki ni kina nani afu checks utafiti wa twaweza afu uwaache wapambane na buku saba zao

sent from my iPhone 6
 
Kuna Siku atanyea ndoo
Hata wewe ipo Siku yako utabambwa kwa njama zako na madhambi yako Dua zako ipo siku zitakurudia mwenyewe, ICC ikipamba moto hata hao watoa Amri toka juu watanyea ndoo Udikteta haujawahi kumwacha Dikteta salama.
 
Malipo ni hapa hapa Duniani na huko Dsm mpo Duniani humo humo na ICC hawapo mbali wameshatuma wapelelezi wao kitambo wapo huko wanakusanya ushahidi wote ili nyie wala njama za uovu kesi zikianza muunganishwe pia mpate fundisho.
 
Tulia soma kwa makini uelewe. Anayetoa maagizo toka juu ni lisu?? Toka lini? Soma uelewe sio unaenda mbio ingali huna break we funza
 
Sio kweli kwamba wanasheria wa serikali ni vilaza.

Tuheshimu state attorney's wanafanya kazi kwa mazingira magumu na mishahara midogo.
Kesi nyingi thidi ya upinzani zinatokana na mashinikizo ya kisiasa na amri kutoka juu.
Ni bonge la vila.za kwa sababuu wanajua mshahara ni mdogo bado wanaendeelea kung'ang'ania huko huko ili iweje?
 
PHD za kuhonga tena za maganda ya dengu hazina uwezo wa fikra pevu. Ni mwendo wa maguvu badala ya akili.
 
Hata Mandela alipata kunyea ndoo na wala hakuna mwenye uhakika na kesho yake. Wapo watawala mwisho wa siku walifikwa mambo ambayo hawakuyatarajia na wako makapuku waliopanda kufikia ngazi ambazo hawakutarajia. Hakuna anaeijua kesho yake.
Ndio maana "wapambe wa bwana" huwa wanapewa pole.
Usimfananishe Mandela na mambo ya kijinga! Acha ulofa
 
Hata wewe ipo Siku yako utabambwa kwa njama zako na madhambi yako Dua zako ipo siku zitakurudia mwenyewe, ICC ikipamba moto hata hao watoa Amri toka juu watanyea ndoo Udikteta haujawahi kumwacha Dikteta salama.
Mawazo ya kijinga sana. Unajua ICC wewe? Ije Tanzania kwa ajili ya mambo ya kipuuzi? Eti imewakata Watu wasivae fulana na UKUTA au kutoonesha live Waropokaji Bungeni? Acha ulofa wewe!
 
Nijiuliza huyu Lissu anakamatwa kila siku na kesi anawashinda si bora wamuache tu kwakuwa anawazidi kwa kila kitu wafungua kesi dhidi yake
Kwa kuwa kesi zenyewe ni za maagizo toka juu.....

Kwa hiyo ni kesi ambazo hazina kichwa wala miguu.....
 
UTAFITI UNAONYESHA KWAMBA MH TUNDU LISSU NDIYE MWANASHERIA BORA KABISA KUWAHI KUWEPO KWENYE UKANDA WA MAZIWA MAKUU TANGU MUNGU AUMBE MBINGU NA ARDHI .

Na ndio sababu Polisi wanapenda kukaa nae kwa sababu ni Mtu muhimu kwa sasa ,hasa enzi hii ya Mtukufu sana wa Inji..
 
Nijiuliza huyu Lissu anakamatwa kila siku na kesi anawashinda si bora wamuache tu kwakuwa anawazidi kwa kila kitu wafungua kesi dhidi yake

ha ha ha, lakini serikali si ni ya kidikteta??
 
Toa data, kashtakiwa kesi ngapi?
Na kashinda kesi ngapi?
na kesi ngapi? Bado ziko mahakamani.
 
Back
Top Bottom