Polisi jamii
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 2,604
- 1,385
lissu ni nouma sana
Rudia kusoma post ya mleta hoja!Acha uongo wewe. Mbona kesi ya kakaang Kafulila ilimshinda?+ kesi ya Wenje kule Mwanza. Yuko vizur kwenye sheria but sometime anaangukia pua especially akipambanishwa na TULIA
Nijiuliza huyu Lissu anakamatwa kila siku na kesi anawashinda si bora wamuache tu kwakuwa anawazidi kwa kila kitu wafungua kesi dhidi yake
Mkuu umeandika nini ? Kuna mtu amenidokeza kwamba tafsiri ya jina lako ni MCHUMIA TUMBO , je ni kweli ?La saba alipita kwa mbinde!!
Muulize aliyekuambia!Mkuu umeandika nini ? Kuna mtu amenidokeza kwamba tafsiri ya jina lako ni MCHUMIA TUMBO , je ni kweli ?
Haya nitamuuliza .Muulize aliyekuambia!
Wewe utakuwa mgeni nchii hiiNijiuliza huyu Lissu anakamatwa kila siku na kesi anawashinda si bora wamuache tu kwakuwa anawazidi kwa kila kitu wafungua kesi dhidi yake
Hivi hizo case kumbe zilishatolewa hukumu?yaani juzi juzi tu katoka kukamatwa na kesi kashinda na leo anakamatwa tena kesho anashinda kesi daah! napata shaka na maafisa polisi
La saba alipita kwa mbinde!!
Case gani kashinda hivi karibuni?Mkuu hili swali lako limekaa kichochezi.
Unataka tujibu majibu ambayo kesho yake yatatugharimu.
Lakini ngoja nikujibu tu, Mfano mwanao kila swali unalompa afanye halafu anakosa huyo mtoto ni kilazer.
Hivyo wale wanaopewa kazi ya kumshtaki Lissu halafu wanashindwa kumtia hatiani kila siku sijui tuwaitaje?
Rejea mfano hapo juu.
Na case Jamaa zako wameshinda recently ?Case gani kashinda hivi karibuni?
Case ya uchaguzi ya Wenje!Na case Jamaa zako wameshinda recently ?
Imefanyeje ?Case ya uchaguzi ya Wenje!
Ivi kwa nini wapinzani wasitafute ushindi kwa njia za usalama haki na utii wa chama au kiongozi tawala labda watafanikiwa kuliko kutaka kushindana na kujitia kifua mbele kwa kutaka kupambana kama kunabaadhi ya vitu vimezuiliwa kwa nini wasipoe na kuwa wapole kwa kutumia taratibu stahiki ili waweze kuendelea na shughuli zao za majukumu bila mtu kufikishwa mahakamani mimi naamini zipo njia sahihi kabisa huku wakiendelea na majukumu yao mengine ebu wafuate taratibu za chama na kiongozi tawala tuone kama tutasikia tundu lissu amekatwa wafuate taratibu na masharti tuone kama hato fanya mikutano ya adhala mbona mwenzao ameruhusiwa kapewa masharti na hakuna kilicho tokea kuna kitu wana kosea hapa ebu tuchunguze kwanza.