Kwanini kila kesi Tundu Lissu anashinda?

Kwanini kila kesi Tundu Lissu anashinda?

Mbona wema sepetu anasota na kajikesi ka bhange?
 
inamaana wafunguaji kesi watakuwa malofa kwakuwa wanafungua kesi zisizo na mashiko
Maagizo kutoka juu ndicho kinachowaponza wanasheria na watendaji wengi badala ya weledi wa kazi zao na mwisho wa siku wakishatumika wanafukuwa kazi kana kwamba hawakupata kuwepo.
 
Mbona wema anasota na kajikesi ka bhange? Wakili wake Lissu hana habari na hajui kataisha lini!
 
Kuna Siku atanyea ndoo
Hata Mandela alipata kunyea ndoo na wala hakuna mwenye uhakika na kesho yake. Wapo watawala mwisho wa siku walifikwa mambo ambayo hawakuyatarajia na wako makapuku waliopanda kufikia ngazi ambazo hawakutarajia. Hakuna anaeijua kesho yake.
Ndio maana "wapambe wa bwana" huwa wanapewa pole.
 
Kwasababu anapambana na wanasheria v.ilaza.
Sio kweli kwamba wanasheria wa serikali ni vilaza.

Tuheshimu state attorney's wanafanya kazi kwa mazingira magumu na mishahara midogo.
Kesi nyingi thidi ya upinzani zinatokana na mashinikizo ya kisiasa na amri kutoka juu.
 
Kwasababu anaijua sheria ukiijua sheria bana unachomoka tu labda iwe maamuzi kutoka juu

Heavy Weight
 
Mbona wema anasota na kajikesi ka bhange? Wakili wake Lissu hana habari na hajui kataisha lini!
Sasa lissu ndo hakimu.
Mahakama haiendeshwi kama kikao cha family kinaanza asubuhi kinaisha jioni.
Kesi bado inaendelea
 
Sasa lissu ndo hakimu.
Mahakama haiendeshwi kama kikao cha family kinaanza asubuhi kinaisha jioni.
Kesi bado inaendelea
Mara nyingi mahakama huingiliwa na Amri toka juu mfano juzi magufuli kazuia asitolewe apelekwe Segerea badala ya keko ili akomolewe pia asikutane na viongozi wengine huko lakini kwa kuwa kesi iliendeshwa wazi wazi na sheria zipo wazi yule jaji akaona Aibu kubwa akaenda chemba akampigia Simu magufuli na kumwambia kuwa endapo wataendelea kumkomoa lisu ICC haitawaacha salama baadae ndipo magufuli akatoa Amri aachiwe kwa sasa mahakamani hawapo huru kwa kesi inayomhusu Magufuli
 
Kwasababu anaijua sheria ukiijua sheria bana unachomoka tu labda iwe maamuzi kutoka juu

Heavy Weight
Juzi Amri toka juu ilitumika kumkomoa ndipo akapelekwa segerea ambapo amekuta Uozo mwingi anatafuta nafasi ili aweze kuanika A-Z watanzania wajue yanayoendelea huko.
 
Hata Mandela alipata kunyea ndoo na wala hakuna mwenye uhakika na kesho yake. Wapo watawala mwisho wa siku walifikwa mambo ambayo hawakuyatarajia na wako makapuku waliopanda kufikia ngazi ambazo hawakutarajia. Hakuna anaeijua kesho yake.
Ndio maana "wapambe wa bwana" huwa wanapewa pole.
hasa Makonda sijui atajificha wapi ilitokea magufuli augue aamue kustaafu Urais mapema sijui atakimbilia South Africa ambapo kanunua nyumba kubwa ya kujificha? yaani Bashite huwa na mawazo sana hasa akiwaza kuwa huwa kuna mwisho wa maisha fulani na mifano ya Zambia Malawi, Ghana nk yy kawa kinara wa kumchochea magufuli awafanyizie ubaya watu wenye visasi nae kasahau kuwa malipo ni hapa hapa Duniani.
 
Back
Top Bottom