Kwanini Josephat Mwingira ana ulinzi wa kufuru?

Nimeshangazwa sana na ulinzi ambao kiongozi wa kanisa la Efatha Ministry alivyokuwa na ulinzi wa kutisha. Amekuja hapa songea kwenye msiba wa dadake na walinzi lukuki wenye miwani nyeusi kama wale wa Obama.Najiuliza kwanini ulinzi huu,kuna tatizo la usalama nchini kwa sasa?Mbona Kardinali Pengo hana?Mbona sheikh mkuu hana?Kwanini huyu?Gari lake ni la gharama kubwa.
MOD MSINIPIGE BAN WALA SINA HILA NAE BALI KUJUA TU MAMBO HAYA

Anawindwa! Alimbebesha mimba mke wa mzungu
 
Hahaha is that for real. ..weka makalio yako chini??? Injili imeingiliwa na wasanii aisee. .this is shit...kweli siku ya hukumu kuna watu tutawashangaa hawaingii kwenye ufalme

Ataingia tuu, dhambi zoote kabeba Yesu !
 
Nani kakwambia Pengo Hana walinzi. Kwa taarifa yako, pengo safari zake zote yupo na masister . Wale masister ni balaa, ukiwakagua mifukoni utakimbia. Wanavifaa vyote. Huwa wanatembea na silaha. Fanya uchunguzi umuone Pengo, Masister wapo nae sambamba. Tena masister wawili, inavyosemekana hao masister wamepitia jeshi na usalama wa taifa.

Mmoja ni Dada yangu, lol!
 
Nasikia nyie mna walinzi wasioonekana a.k.a M.A.J.I.N.I

'Na ikiwa Mwenyezi Mungu akikugusisha madhara, basi hapana wa kukuondolea hayo ila Yeye. Na ikiwa akikugusisha kheri basi Yeye ndiye Mwenye uweza wa kila kitu'
Naye ndiye Mwenye nguvu juu ya waja wake na ndiye Mwenye hekima na Mwenye habari zote.
Qur'an: 6: 17-18. BekaNurdin
 
Last edited by a moderator:
Mungu anawalinda dhidi ya maadui wakiroho mabodigadi dhidi ya maadui wa kimwili

nadhani huzijui bafo nguvu za mungu ndo mana umempangia yeye kulinda maadui wa kiroho na wa kimwili ukawapa bodyguards kwa akili zako binafsi wakati hao bodyguards wenyewe wanamuomba mungu awalinde.
soma dini na utajua mlinzi mkuu wa vyote ni nani.
just to help you

"2:255 Allah—there is no god except Him—is the Living One, the All-sustainer. Neither drowsiness befalls Him nor sleep. To Him belongs whatever is in the heavens and whatever is on the earth. Who is it that may intercede with Him except with His permission? He knows what is before them and what is behind them, and they do not comprehend anything of His knowledge except what He wishes. His seat embraces the heavens and the earth and He is not wearied by their preservation, and He is the All-exalted, the All-supreme."
 
Utashangaa wakuu wa imani wanalindwa na walinzi lukuki lkn majambazi sijui wanalindwa na nini,hata hvyo kuiba wake za watu na ufisadi wanaoufanya ndio maana wanaogopa
 
180844_192650627426212_192638987427376_607718_5802413_n.jpg

G4.jpg

Huyu jamaa ana redio yake, kutwa kusifiwa yeye miujiza yake..........ati. nabii !
 
Nimeshangazwa sana na ulinzi ambao kiongozi wa kanisa la Efatha Ministry alivyokuwa na ulinzi wa kutisha. Amekuja hapa songea kwenye msiba wa dadake na walinzi lukuki wenye miwani nyeusi kama wale wa Obama.Najiuliza kwanini ulinzi huu,kuna tatizo la usalama nchini kwa sasa?Mbona Kardinali Pengo hana?Mbona sheikh mkuu hana?Kwanini huyu?Gari lake ni la gharama kubwa.
MOD MSINIPIGE BAN WALA SINA HILA NAE BALI KUJUA TU MAMBO HAYA

Anaogopa Hao ANAOWANYONYA KWA KUWADANGANYA WASIJE MBADILIKIA NA HATIMAE KULIANZISHA.
 
Sasa hapo unashangaa nini? We ulidhani Mwamedi tu ndo mwenye uwezo wa kufanya ngono?

Hata Mapadre na Maaskofu wana uwezo wa kufanya ngono, Mapadre wanawalawiti watoto wabeba mishumaa Kanisani na Maaskofu wanaolewa !
Wananuka mavii ! IKWETE
 
Last edited by a moderator:
Hata Mapadre na Maaskofu wana uwezo wa kufanya ngono, Mapadre wanawalawiti watoto wabeba mishumaa Kanisani na Maaskofu wanaolewa !
Wananuka mavii ! IKWETE

Usishangae basi. Ndo dunia hiyo. Si unaona wale mashehe wamepigwa mti nyama wakiwa mahabusu wakaona hawaridhiki wakawaambia wanyapara wawasokomeze mijiti?
 
Last edited by a moderator:
Nimeshangazwa sana na ulinzi ambao kiongozi wa kanisa la Efatha Ministry alivyokuwa na ulinzi wa kutisha. Amekuja hapa songea kwenye msiba wa dadake na walinzi lukuki wenye miwani nyeusi kama wale wa Obama.Najiuliza kwanini ulinzi huu,kuna tatizo la usalama nchini kwa sasa?Mbona Kardinali Pengo hana?Mbona sheikh mkuu hana?Kwanini huyu?Gari lake ni la gharama kubwa.
MOD MSINIPIGE BAN WALA SINA HILA NAE BALI KUJUA TU MAMBO HAYA
Huyo ni trilionea. Anamiliki kanisa lenye aelfu ya waumini, kituo cha TV na benki. Hao kina Pengo wao ni watumishi wasio na mshara mali zote ni za waumini katika makanisa wanayoyaongoza. Watu kama akina Mzee wa upako, Gwajima, Kakobe, na manabii, wachungaji na mitume wengi walioanzisha makanisa yao ni kama wakurugenzi wa makanisa hayo kwa hiyo kimsingi wao ndio wamiliki. Niliwahi kumsikia mzee wa upako akisema eti watu wanahoji kwanini michango anayoitisha ipitie kwenye akaunti yake binafsi badala ya kanisa. Akasema yeye ndiye mwanzilishi na kuwa akifa yeye na huduma inaishia hapo. Kuna waumini walimfungulia Kakobe kesi eti anatumia ovyo mali za kanisa. Mahakama ilisema Kakobe hana kosa kwani kanisa ni lake na yeye ndiye mwanzilishi hivyo ni mali yake wao walijiunga wakati limeashaanzishwa na kuwa kama hawaridhiki waende na wao wakaanzishe la kwao
 
Back
Top Bottom