Halaf wakitoa mahubirii utawasikiaa kua na amani ya bwana, Mungu yupo pamoja nawe usiogope chochote"" wakati kwanza wao wanatembea na walinzii haa uongo huuu
Bunch of lunate na ngono tu matapeli wasaka tonge wanahitaji ulinzi
Halaf wakitoa mahubirii utawasikiaa kua na amani ya bwana, Mungu yupo pamoja nawe usiogope chochote"" wakati kwanza wao wanatembea na walinzii haa uongo huuu
Sio yeye tu....hata Gwajima
Geodarvie
Anyway sababu yao kuu unapokuwa kwenye kusanyiko kama Hilo wanadhani kuna chochote chaweza tokea hivyo wanachukua tahadhari. .
Halaf wakitoa mahubirii utawasikiaa kua na amani ya bwana, Mungu yupo pamoja nawe usiogope chochote"" wakati kwanza wao wanatembea na walinzii haa uongo huuu
Kwa walokole, adui wa kiroho tunajilinda na kupambana naye kwenye maombi. Adui katika mwili tunajilinda kwa ulinzi wa kimwili (bodyguards) kama unajihisi hauko salama.
Huwezi jua wanaomzunguka Pengo au sheikh mkuu ni akina nani, au kwa vile hawavai combat au miwani myeusi ndiyo maana unasema hawana walinzi? Jaribu siku moja uwasogelee uone mambo!
Nasikia nyie mna walinzi wasioonekana a.k.a M.A.J.I.N.I
Mbona pope paul alishakula risasi za tumbo?.mtu akikuamlia bodyguard anasaidia nini?.Kwa walokole, adui wa kiroho tunajilinda na kupambana naye kwenye maombi. Adui katika mwili tunajilinda kwa ulinzi wa kimwili (bodyguards) kama unajihisi hauko salama.
Huwezi jua wanaomzunguka Pengo au sheikh mkuu ni akina nani, au kwa vile hawavai combat au miwani myeusi ndiyo maana unasema hawana walinzi? Jaribu siku moja uwasogelee uone mambo!
Nimeshangazwa sana na ulinzi ambao kiongozi wa kanisa la Efatha Ministry alivyokuwa na ulinzi wa kutisha. Amekuja hapa songea kwenye msiba wa dadake na walinzi lukuki wenye miwani nyeusi kama wale wa Obama.Najiuliza kwanini ulinzi huu,kuna tatizo la usalama nchini kwa sasa?Mbona Kardinali Pengo hana?Mbona sheikh mkuu hana?Kwanini huyu?Gari lake ni la gharama kubwa.
MOD MSINIPIGE BAN WALA SINA HILA NAE BALI KUJUA TU MAMBO HAYA
katika wachungaji ambao siwa amini huyu ni wa kwanza eti "yesu oyee" ndio nini? halafu uta msikia ana waambia waumini wake "weka makalio yako chini" lugha gani hii iliyokosa ustaarabu ndani ya nyumba ya bwana!
Mwingira ni fake pastor hilo halina ubishi.