Kwanini Josephat Mwingira ana ulinzi wa kufuru?

Kwanini Josephat Mwingira ana ulinzi wa kufuru?

Wanatembea na sadaka nyingi za waumini labda?

Halafu mtu wa dini kuhubiri ulinzi wa Mungu, kisha una walinzi kibao kama dikteta uchwara, unaniambia humuamini huyo Mungu wako kukulinda.
 
Mmmmmmh,pengo mfipa wa laela,sumbawanga kama mapadri anawongoza wameoa,na kuzaaaaaa ,sana tu,itakuwa yeye?mtakatifu niWewe tu,ulivyo usimsemeeeeee,MTU,
 
Mbwebwe tu nilifatilia hao Jamaa wa Gwajima basi nikagundua VIP Trainer apo ni mmoja au wawili wengine wote ni mbwembe tu
 
Nimeshangazwa sana na ulinzi ambao kiongozi wa kanisa la Efatha Ministry alivyokuwa na ulinzi wa kutisha. Amekuja hapa songea kwenye msiba wa dadake na walinzi lukuki wenye miwani nyeusi kama wale wa Obama.Najiuliza kwanini ulinzi huu,kuna tatizo la usalama nchini kwa sasa?Mbona Kardinali Pengo hana?Mbona sheikh mkuu hana?Kwanini huyu?Gari lake ni la gharama kubwa.

Kuna hili lilinishangaza zaidi.Wakati amekuja hapa songea alitanguzana na vibinti vyenye umri kati ya 18 hadi 22 hivi visivyopungua 7. Vyote amevivisha suruali na shati nyeusi na kuviweka kwenye gari moja. Sijui malengo yalikuwa nini.

MOD MSINIPIGE BAN WALA SINA HILA NAE BALI KUJUA TU MAMBO HAYA
Wanajihami na kutundulisiwa
 
Hata ww unaweza kuwaajiri ma- BordGuards hata 100 mpunga wako tu.
 
Kwa sababu akina gwajima ,geordavie,mwingira,mzee wa upako ,kakobe ni watakatifu watumishi wa mungu,wenye kutembea na nguvu za kuponya,miujiza na kuondoa mapepo kama Yesu,watu watataka kuwagusa ata suti zao ili wapone,'ili kutoharibu maana ya makusanyiko ya watu huamua kuwa na walinzi. Makanisa hayo mengine viongozi wenu huwa wanaeshimiwa lakini watu hawatarajii miujiza toka kwao,hawatachafua majoho yao. Mi uwa najiulizaa,ata papa huwa anaishia kubusu tu wagonjwa,sijawahi ona akitenda tendo la muujiza kama yesu.Bali watu huamini wameguswa na mtakatifu. Na unajua hujimix ,wanaita baba mtakatifu, lakini akifa wanakaaa baadae wanasema baada ya jopo la maaskofu kusali ,wameoneshwa amekubalika kuwa mtakatifu mbinguni,hapo humtangaza rasmi,,sasa kwa nini alijiita baba mtakatifu akiwa hana uhakika!
Mtakatifu Mwingira kagoma kupima DNA.
 
Back
Top Bottom