Kwanini Josephat Mwingira ana ulinzi wa kufuru?

Kwanini Josephat Mwingira ana ulinzi wa kufuru?

Ulokole ni uendawazimu tu, mtu mzima analia kama zuzu eti kaokoka, lakini hao hao wanachukua wake za watu hawa majamaa ni matapeli tu hawana lolote..
 
Ukishakuwa wewe ni bingwa wa wake za watu na dhuluma ni lazima ulindwe.
 
Kwa sababu akina gwajima ,geordavie,mwingira,mzee wa upako ,kakobe ni watakatifu watumishi wa mungu,wenye kutembea na nguvu za kuponya,miujiza na kuondoa mapepo kama Yesu,watu watataka kuwagusa ata suti zao ili wapone,'ili kutoharibu maana ya makusanyiko ya watu huamua kuwa na walinzi. Makanisa hayo mengine viongozi wenu huwa wanaeshimiwa lakini watu hawatarajii miujiza toka kwao,hawatachafua majoho yao. Mi uwa najiulizaa,ata papa huwa anaishia kubusu tu wagonjwa,sijawahi ona akitenda tendo la muujiza kama yesu.Bali watu huamini wameguswa na mtakatifu. Na unajua hujimix ,wanaita baba mtakatifu, lakini akifa wanakaaa baadae wanasema baada ya jopo la maaskofu kusali ,wameoneshwa amekubalika kuwa mtakatifu mbinguni,hapo humtangaza rasmi,,sasa kwa nini alijiita baba mtakatifu akiwa hana uhakika!
 
Wakuu BAOBAO sina ndoto kuwa muumini wa Mwingira;ila natetea kuwa ulinzi ni haki yake kama ilivo kwa Papa wa katoliki !
 
Last edited by a moderator:
Acha kutudanganya wewe unaye jiita mlokole,maandiko gani yanasema adui katika mwili mjilinde kwa body guards,,utapeli wenu na dhuluma ndio zinawafanya mtembee na body guard,kama wewe ni Mtume na Nabii utaogopaje walimwengu?
 
Nani kakwambia Pengo Hana walinzi. Kwa taarifa yako, pengo safari zake zote yupo na masister . Wale masister ni balaa, ukiwakagua mifukoni utakimbia. Wanavifaa vyote. Huwa wanatembea na silaha. Fanya uchunguzi umuone Pengo, Masister wapo nae sambamba. Tena masister wawili, inavyosemekana hao masister wamepitia jeshi na usalama wa taifa.
Hizi ni stori tu kama zile za Kawawa...
 
Nimeshangazwa sana na ulinzi ambao kiongozi wa kanisa la Efatha Ministry alivyokuwa na ulinzi wa kutisha. Amekuja hapa songea kwenye msiba wa dadake na walinzi lukuki wenye miwani nyeusi kama wale wa Obama.Najiuliza kwanini ulinzi huu,kuna tatizo la usalama nchini kwa sasa?Mbona Kardinali Pengo hana?Mbona sheikh mkuu hana?Kwanini huyu?Gari lake ni la gharama kubwa.

Kuna hili lilinishangaza zaidi.Wakati amekuja hapa songea alitanguzana na vibinti vyenye umri kati ya 18 hadi 22 hivi visivyopungua 7. Vyote amevivisha suruali na shati nyeusi na kuviweka kwenye gari moja. Sijui malengo yalikuwa nini.

MOD MSINIPIGE BAN WALA SINA HILA NAE BALI KUJUA TU MAMBO HAYA
nashangaaa kadinali pengo nimtu mkubwa kidini duniani maisha yake ya kawaida tu shekhe mkuu kawaida tu ,sasa huyu kwanza sio nabiii,nadhani ni mojawapo wa nguvu za shetani
 
nashangaaa kadinali pengo nimtu mkubwa kidini duniani maisha yake ya kawaida tu shekhe mkuu kawaida tu ,sasa huyu kwanza sio nabiii,nadhani ni mojawapo wa nguvu za shetani

Hawana shinda na watu..huwa hawajivuni..hawajigambi..hawasengenyi watu..kwa hiyo maadui watatoka apii??ila hawa viongoz wa makanisa ya kilokole baadh yao hujifanya mungu watu kwa kuwakebehi wengine..kupitia hili wanajipatia maadui wengi..wacha tu waendelee kulindwa maana bila hili wangeshamwagwa ubongo...!
 
Acha kutudanganya wewe unaye jiita mlokole,maandiko gani yanasema adui katika mwili mjilinde kwa body guards,,utapeli wenu na dhuluma ndio zinawafanya mtembee na body guard,kama wewe ni Mtume na Nabii utaogopaje walimwengu?

Uko sawa mkuu,mwingira ni jizi moja hivi kama wengine lina ugomvi hadi na wananchi maskini linawadhulumu ardhi,ni jambazi na uza unga,dini ni kichaka cha kuficha uchafu wake,kama alivyo gwajima.
 
Mbona viongozi wa katoliki hawana vitu kama hivyo??
 
Back
Top Bottom