Hao wote si wachungaji wa watu, ni mbweha wala watu, ndio maana inabidi wajihami.Sio yeye tu....hata Gwajima
Geodarvie
Anyway sababu yao kuu unapokuwa kwenye kusanyiko kama Hilo wanadhani kuna chochote chaweza tokea hivyo wanachukua tahadhari. .
Ni kweli wanatafutwa mno kwa ajili ya tabia zao hizo kuna tetesi kuwa akiwa kwenye kambi yake kule Kibaha aliita wasichana wenye bikra awafundishe jinsi ya kuzilinda!!Mmmh jamaa hakufanya ajizi.Unategemea asitembee na walinzimtu kama huyu?Tabia zao za kufanya ngono na waumini wao wa kike na wake za watu makanisani mwao ndiyo sababu kuu,wanahisi watakutana na watu waliowakosea adabu kwa wake zao hivyo hujihami na mabodigadi...
Kuchukua wake za watu kunamgalimuNimeshangazwa sana na ulinzi ambao kiongozi wa kanisa la Efatha Ministry alivyokuwa na ulinzi wa kutisha. Amekuja hapa songea kwenye msiba wa dadake na walinzi lukuki wenye miwani nyeusi kama wale wa Obama.Najiuliza kwanini ulinzi huu,kuna tatizo la usalama nchini kwa sasa?Mbona Kardinali Pengo hana?Mbona sheikh mkuu hana?Kwanini huyu?Gari lake ni la gharama kubwa.
MOD MSINIPIGE BAN WALA SINA HILA NAE BALI KUJUA TU MAMBO HAYA
Ni kwl kabisa hata mimi simuamini kbsa huyu mwingira akifuatiwa na mzee wa upako na mlima wa moto hao sitaki kabisa kuwasikiliza..kwangu ninaelewa mafundisho yake ni mwalimu mwakesege peke yake na the late mosses kulola..over
What makes him special!hapo kwa mwakasege 2ko pa1 mkuu wang
Mbona pope paul alishakula risasi za tumbo?.mtu akikuamlia bodyguard anasaidia nini?.
ndo maana pope amegoma ulinzi wa kupita kiasi ni ubishoo tu.
Hakuna shirika kati ya giza na nuru. It is either kati ya nuru na nuru AU giza na giza! Naamini unajua mwenyewe uko upande gani. Kazi yetu (walokle) ni kufukuza majini kwa Jina la Yesu! Nguruwe waliona ni afadhali kufa kuliko kuwa makao ya majini pale Bwana Yesu alipoyatoa nduki (fukuza) kutoka kwa mtu. Nashangaa nyie mnayafuga!Naweza kukugawia moja likuoe na uwe kibopa
Kardinali Pengo hana walinzi kwa kuwa anakula halali lakini Gwajima na Mwingila wanahitaji walinzi kwa kuwa wamezoea kula haramu
Ni kweli wanatafutwa mno kwa ajili ya tabia zao hizo kuna tetesi kuwa akiwa kwenye kambi yake kule Kibaha aliita wasichana wenye bikra awafundishe jinsi ya kuzilinda!!Mmmh jamaa hakufanya ajizi.Unategemea asitembee na walinzimtu kama huyu?
Kuna huyu Mzee mwenye namba ya simu 0656005556 anaitwa Ngonyani yupo kawe amedhulumiwa kiwanja chake na Mchungaji Rwakatare na Rushwa imetumika kila kona alipokwenda ameshindwa ! Sasa jiulize hv Mzee Kama huyu akiwa na uwezo Mama Rwakatare hatahitaji Ulinzi?Ni kweli wanatafutwa mno kwa ajili ya tabia zao hizo kuna tetesi kuwa akiwa kwenye kambi yake kule Kibaha aliita wasichana wenye bikra awafundishe jinsi ya kuzilinda!!Mmmh jamaa hakufanya ajizi.Unategemea asitembee na walinzimtu kama huyu?
Mungu anawalinda dhidi ya maadui wakiroho mabodigadi dhidi ya maadui wa kimwili
Unalitaja jina la Yesu na tindikali inageuka juice !