Ngalikivembu
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,959
- 876
Nimeshangazwa sana na ulinzi ambao kiongozi wa kanisa la Efatha Ministry alivyokuwa na ulinzi wa kutisha. Amekuja hapa songea kwenye msiba wa dadake na walinzi lukuki wenye miwani nyeusi kama wale wa Obama.Najiuliza kwanini ulinzi huu,kuna tatizo la usalama nchini kwa sasa?Mbona Kardinali Pengo hana?Mbona sheikh mkuu hana?Kwanini huyu?Gari lake ni la gharama kubwa.
Kuna hili lilinishangaza zaidi.Wakati amekuja hapa songea alitanguzana na vibinti vyenye umri kati ya 18 hadi 22 hivi visivyopungua 7. Vyote amevivisha suruali na shati nyeusi na kuviweka kwenye gari moja. Sijui malengo yalikuwa nini.
MOD MSINIPIGE BAN WALA SINA HILA NAE BALI KUJUA TU MAMBO HAYA