Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,940
- 23,214
Mkuu umejibu social sana!Hakuna kabila hapa Tanzania wasiyo fanya hayo,mti wenye matunda ndiyo unapigwa mawe. Kwa sababu wahaya wengi ni wasomi ndiyo maana wanaandamwa/ fatiliwa sana. Unawajua Wanyaturu, Wanyiramba,au Wairaki? Sasa ukiwazungumzia watu kama hao hakuna atakayefatilia, lakini ikiwa ni Muhaya kelele zitapigwa sana. So hayo matendo yanafanywa na baadhi ya watu kwenye kila jamii/kabila
Inaonekana wewe ni kizazi kipya, kizazi cha kileo, mengi ya miaka ya nyuma kuhusu tamaduni za makabila mbalimbali hauyajui.
Iko hivii? Kabla ya gonjwa la ukimwi kufumuka miaka ya 80', miji mbali mbali hapa nchini kulikuwa na mitaa ama maeneo yanaitwa 'kwawahaya'.
'Kwawahaya' ilikuwa ni sehemu official ya biashara ya ngono na ukiambiwa huyu mwanamke kama mhaya, basi ni tusi kubwa sana kuashiria umalaya.
Ni wao tu, ni kabila hilo tu waanzilishi wa biashara hiyo rasmi ya ngono maeneo mbalimbali hapa nchini, sijawahi kusikia kabila jingine lolote kabla wakifanya hiyo biashara kwa namna walivyoifanya wahaya.
Umalaya kwa kila kabila ulikuwepo, lakini haukurasmishwa kama ule wa 'kwawahaya'.
'Kwawahaya' ilikuwa ni kwa wahaya kweli, maana walijikusanya kabila hilo tu, hawakujichanganya na wanawake wa makabila mengine kufanya hiyo biashara.
maelezo niliyoyatoa si ya kihisia, bali ni ya kihistoria,yalikuwepo na yalitokea.
Yapo mengi lakini hata hicho kifupi nimetoa mwanga.
Hayo mengine sijui ya ubinafsi, hila na fitina makazini ninayajua lakini siwezi kuyathibitisha.
Sent using Jamii Forums mobile app