Kwanini jamii Inawachukulia tofauti wahaya

Kwanini jamii Inawachukulia tofauti wahaya

Kabila lako lipi lisilo la hovyo?.

Huu ndo ujinga na upumbavu sasa.

We unafikiri kuna mtu alichagua kuzaliwa kabila Fulani.

Saaa nyingine ndo maana unafanya mambo hayaendi unahisi umerogwa kumbe mizimu mikali ya kihaya inakusumbua Kwa kucoment vitu kama hiv

Oops kumbe unajutia!! [emoji87]

Pole sana mlamu.
 
Oops kumbe unajutia!! [emoji87]

Pole sana mlamu.
Sijawahi ona kabila lililostaarabika kama wahaya Tanzania nzima.

Ukiona mtu hawapendi wahaya atakuwa ana mambo yake yeye mwenyew na bila Shaka atakuwa mpumbavu na watu kama hawa watadharauliwa Tu na wahaya.
Ndo maana upaogopa hata kuishi bukoba.

Lakin mtu aliyekuzidi kakuzidi Tu huwezi shindana naye hata siku moja.

NB. Ukiona mtu anaona negative Tu kwako ujue ana wivu mwingi Sana.
 
ushawahi kwenda bukoba?
 
Ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni.Ukistaajabu ya wahaya utayaona ya wanyakyusa.
nyakyusa wanasifika kwa sifa nzuri sana ila mitandao imewapachika majina ya kihuni ambayo kwa miaka ya mbele jamii itaamini kuwa wanaofanya mambo ya kienyeji na ushamba ndani yake ni wanyakyusa wakati haiku hivo...tujenge tamaduni bora kwenye jamii zetu
 
kwahiyo unataka kusema sifa hizo wanasingiziwa?
Hakuna kabila hapa Tanzania wasiyo fanya hayo,mti wenye matunda ndiyo unapigwa mawe. Kwa sababu wahaya wengi ni wasomi ndiyo maana wanaandamwa/ fatiliwa sana. Unawajua Wanyaturu, Wanyiramba,au Wairaki? Sasa ukiwazungumzia watu kama hao hakuna atakayefatilia, lakini ikiwa ni Muhaya kelele zitapigwa sana. So hayo matendo yanafanywa na baadhi ya watu kwenye kila jamii/kabila
 
Back
Top Bottom