Kwanini jamii Inawachukulia tofauti wahaya

Habari wakuu poleni na tetemeko

Kwanza nikiri waziwazi kuwa Mimi nimezaliwa na nikaambiwa kabila langu ni muhaya, japo sikijui kihaya na sijawahi kwenda bukoba japo nawasiliana na ndugu walioko huko, na ninaamini siku moja nitaenda huko kisalimia ndugu zangu wengi,

Kuna Jambo ambalo akiri yangu imekuwa na ukakasi Sana pale mapokeo ya watu pindi unapojitambulisha kuwa wewe ni muhaya ikitokea umeulizwa kabila, (binafsi sipendi kuulizwa kabila)

Watu watakutafsiri katika makundi tofauti na bila kuona aibu wanakuambia

1. Mpenda sifa
2. Kujifanya umesoma
3. Malaya
4. Kujifanya unapesa or wanakuona unapesa

Mambo haya hutokea hata kama hauna hizo sifa hata moja, unaweza ukaishi kwenye jamii vizur bila kupewa hizo sifa tajwa hapo juu Ila punde jamii inayokuzunguka wakigundua kuwa ww ni muhaya basi utapewa sifa zote hapo juu. Na chochote utakachokifanya hata Kwa Hali ya kawaida au Kwa Hali ya utani watu wataambatanisha sifa zako na kabila,

Najiuliza Kwa nini jamii inamawazo Hasi kuhusu uhaya,

Hata kwenye swala la mahusiano mwenza akigundua kuwa ww ni muhaya anaanza kuondoa Imani na kuanza story Hasi kuhusu wahaya
Kuna nini kimejificha nyuma ya hili kabila
Achana nao. Songa mbele.
 
Wahaya ni kweli wana izo sifa zote, uku chuo Kuna manzi anauza k nilikuwa namuheshimu sana Sio kwao awajiwezi no Anataka mashindano kwenda na wakati simu mpya ikitoka anayo, siku niliyogundua nikanyosha mikono.
 
Habari wakuu poleni na tetemeko

Kwanza nikiri waziwazi kuwa Mimi nimezaliwa na nikaambiwa kabila langu ni muhaya, japo sikijui kihaya na sijawahi kwenda bukoba japo nawasiliana na ndugu walioko huko, na ninaamini siku moja nitaenda huko kisalimia ndugu zangu wengi,

Kuna Jambo ambalo akiri yangu imekuwa na ukakasi Sana pale mapokeo ya watu pindi unapojitambulisha kuwa wewe ni muhaya ikitokea umeulizwa kabila, (binafsi sipendi kuulizwa kabila)

Watu watakutafsiri katika makundi tofauti na bila kuona aibu wanakuambia

1. Mpenda sifa
2. Kujifanya umesoma
3. Malaya
4. Kujifanya unapesa or wanakuona unapesa

Mambo haya hutokea hata kama hauna hizo sifa hata moja, unaweza ukaishi kwenye jamii vizur bila kupewa hizo sifa tajwa hapo juu Ila punde jamii inayokuzunguka wakigundua kuwa ww ni muhaya basi utapewa sifa zote hapo juu. Na chochote utakachokifanya hata Kwa Hali ya kawaida au Kwa Hali ya utani watu wataambatanisha sifa zako na kabila,

Najiuliza Kwa nini jamii inamawazo Hasi kuhusu uhaya,

Hata kwenye swala la mahusiano mwenza akigundua kuwa ww ni muhaya anaanza kuondoa Imani na kuanza story Hasi kuhusu wahaya
Kuna nini kimejificha nyuma ya hili kabila
Nikuswalike mtoamada, ni sifa ipi unaona wahaya mnasingiziwa kati ya hizo ulizotaja mwenyewe apo?
 
Back
Top Bottom