Kwanini jamii Inawachukulia tofauti wahaya

Siku hizi matapeli wengi wa kutafuta bereu de change ni wahaya,mna akili lakini kuzitumia kufanikiwa hamjui,zaidi ya kujikuza tu
 
Yani hata awe fundi viatu au lofa kiasi gani au maamuma lakini atakuwa mjuaji tu na nyodo kama zote [emoji848][emoji848][emoji848]

Yani vyovyote walivyo wenye nacho na wasionacho ujuaji , nyodo, kupendeleana bila aibu wao kwa wao ndo usiseme!

Kwa unafiki sasa ndo usiseme! Yani anko Magu aliwakata kilimilimi lakini bado wapo ambao hawajakoma!

Sijui kwanini?!

Wapo wachache sana ambao hawanaga hayo lakini ni mmoja katika mia labda!
 
Takwimu za hivi karibuni zimeonesha mkoa wa Kagera kuwa wa mwisho kimaendeleo kabla ya mkoa wa Kigoma ambao umekuwa ukishika mkia nazani tangu Uhuru!

Sasa chakujiuliza hawa jamaa wanajiona kitu gani na nyodo wakati kumbe pangu pakavu tia mchuzi?!

Yani sipati picha Kagera imeshindwa kimaendelea na mikoa yote ya bara na Pwani isipokuwa mkoa wa Kigoma?! [emoji87][emoji87][emoji87]

Sasa mashauzi ya nini?!
 
Habari wakuu poleni na tetemeko

Kwanza nikiri waziwazi kuwa Mimi nimezaliwa na nikaambiwa kabila langu ni muhaya, japo sikijui kihaya na sijawahi kwenda bukoba japo nawasiliana na ndugu walioko huko, na ninaamini siku moja nitaenda huko kisalimia ndugu zangu wengi,

Kuna Jambo ambalo akiri yangu imekuwa na ukakasi Sana pale mapokeo ya watu pindi unapojitambulisha kuwa wewe ni muhaya ikitokea umeulizwa kabila, (binafsi sipendi kuulizwa kabila)

Watu watakutafsiri katika makundi tofauti na bila kuona aibu wanakuambia

1. Mpenda sifa
2. Kujifanya umesoma
3. Malaya
4. Kujifanya unapesa or wanakuona unapesa

Mambo haya hutokea hata kama hauna hizo sifa hata moja, unaweza ukaishi kwenye jamii vizur bila kupewa hizo sifa tajwa hapo juu Ila punde jamii inayokuzunguka wakigundua kuwa ww ni muhaya basi utapewa sifa zote hapo juu. Na chochote utakachokifanya hata Kwa Hali ya kawaida au Kwa Hali ya utani watu wataambatanisha sifa zako na kabila,

Najiuliza Kwa nini jamii inamawazo Hasi kuhusu uhaya,

Hata kwenye swala la mahusiano mwenza akigundua kuwa ww ni muhaya anaanza kuondoa Imani na kuanza story Hasi kuhusu wahaya
Kuna nini kimejificha nyuma ya hili kabila
Tena usinipandishe hasira kushea kawaida hii kitu futa kabisa nisije ongea vibaya
 
Hakuna kabila hapa Tanzania wasiyo fanya hayo,mti wenye matunda ndiyo unapigwa mawe. Kwa sababu wahaya wengi ni wasomi ndiyo maana wanaandamwa/ fatiliwa sana. Unawajua Wanyaturu, Wanyiramba,au Wairaki? Sasa ukiwazungumzia watu kama hao hakuna atakayefatilia, lakini ikiwa ni Muhaya kelele zitapigwa sana. So hayo matendo yanafanywa na baadhi ya watu kwenye kila jamii/kabila
Duu ila jamani Wailaki sio wachoyo jamani yaan ukinyimwa na Mmuiraki K wewe katambike,ni warembo hatari mpk unaweza kuogopa kurusha swaga kumbe hamna kitu hapo, Wahaya wanaonewa ktk suala la umalaya yapo makabila yanatisha,kuhusu Elimu hilo ni sawa kabisa wamesoma na wanaendelea kusomesha kwa sana

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu poleni na tetemeko

Kwanza nikiri waziwazi kuwa Mimi nimezaliwa na nikaambiwa kabila langu ni muhaya, japo sikijui kihaya na sijawahi kwenda bukoba japo nawasiliana na ndugu walioko huko, na ninaamini siku moja nitaenda huko kisalimia ndugu zangu wengi,

Kuna Jambo ambalo akiri yangu imekuwa na ukakasi Sana pale mapokeo ya watu pindi unapojitambulisha kuwa wewe ni muhaya ikitokea umeulizwa kabila, (binafsi sipendi kuulizwa kabila)

Watu watakutafsiri katika makundi tofauti na bila kuona aibu wanakuambia

1. Mpenda sifa
2. Kujifanya umesoma
3. Malaya
4. Kujifanya unapesa or wanakuona unapesa

Mambo haya hutokea hata kama hauna hizo sifa hata moja, unaweza ukaishi kwenye jamii vizur bila kupewa hizo sifa tajwa hapo juu Ila punde jamii inayokuzunguka wakigundua kuwa ww ni muhaya basi utapewa sifa zote hapo juu. Na chochote utakachokifanya hata Kwa Hali ya kawaida au Kwa Hali ya utani watu wataambatanisha sifa zako na kabila,

Najiuliza Kwa nini jamii inamawazo Hasi kuhusu uhaya,

Hata kwenye swala la mahusiano mwenza akigundua kuwa ww ni muhaya anaanza kuondoa Imani na kuanza story Hasi kuhusu wahaya
Kuna nini kimejificha nyuma ya hili kabila

Inategemea unaishi wapi na unakutana na akina nani, sifa hasi kwa wanajamii siyo kwa kabila la Wahaya tu, hata ukisema wewe Mchaga utaanza kuhisiwa mwizi, ukisema wewe Mfipa utahisiwa mchawi, ukisema wewe Mngoni utahisiwa mlevi mmbwa (chapombe) na ukisema Mkurya utaonekana katili hata kama umeshika dini vizuri nk. haya mambo mwanzo wake ni kwenye utani. Hivyo ukiyapa uzito sana yatakutesa.

NB: Ubaya ama uzuri hauna kabila, dini wala jinsia na hapa Duniani hakuna jamii isiyokuwa na Wezi,Malaya, Waongo,Wapenda sifa, Makatili na kinyume chake, hivyo chukulia poa na uwe na amani ni sehemu ya utani japo kuna wengine inawaumiza.
 
Hata makabila mengine tabia hizo zipo,ila ni baadhi ya watu sio kabila lote mtakuwa na tabia zote hzo
 
Hakuna kabila linaloonekana Bora zaidi ya lingine ni wewe kuwa kauzu tuu! Mmakonde jamani daaaa! si bora muhaya? Mchaga au mpemba wakiongea lazima watu wacheke!! Mzaramo na ngoma mama weee! kwa chini haooo! wamatumbi wa temeke Ptyuu!

Mkurya mmoja alitaniwa kuwa ndo maana mnatairi wanawake zenu !

akajibu ''Ndiyo zetu hizo hata wewe ukipotelea huko tunakukata, na vikirefuka tunavikata tena mpaka liwe shimo''
 
Bila kusahau kuwa na K zinazorusha maji mpaka kwenye paa
Habari wakuu poleni na tetemeko

Kwanza nikiri waziwazi kuwa Mimi nimezaliwa na nikaambiwa kabila langu ni muhaya, japo sikijui kihaya na sijawahi kwenda bukoba japo nawasiliana na ndugu walioko huko, na ninaamini siku moja nitaenda huko kisalimia ndugu zangu wengi,

Kuna Jambo ambalo akiri yangu imekuwa na ukakasi Sana pale mapokeo ya watu pindi unapojitambulisha kuwa wewe ni muhaya ikitokea umeulizwa kabila, (binafsi sipendi kuulizwa kabila)

Watu watakutafsiri katika makundi tofauti na bila kuona aibu wanakuambia

1. Mpenda sifa
2. Kujifanya umesoma
3. Malaya
4. Kujifanya unapesa or wanakuona unapesa

Mambo haya hutokea hata kama hauna hizo sifa hata moja, unaweza ukaishi kwenye jamii vizur bila kupewa hizo sifa tajwa hapo juu Ila punde jamii inayokuzunguka wakigundua kuwa ww ni muhaya basi utapewa sifa zote hapo juu. Na chochote utakachokifanya hata Kwa Hali ya kawaida au Kwa Hali ya utani watu wataambatanisha sifa zako na kabila,

Najiuliza Kwa nini jamii inamawazo Hasi kuhusu uhaya,

Hata kwenye swala la mahusiano mwenza akigundua kuwa ww ni muhaya anaanza kuondoa Imani na kuanza story Hasi kuhusu wahaya
Kuna nini kimejificha nyuma ya hili kabila
 
Wahaya wengi tumesoma Sana mpaka level za PhD na maendeleo Bukoba ni zaidi ya mataifa ulaya
 
Hakuna kabila hapa Tanzania wasiyo fanya hayo,mti wenye matunda ndiyo unapigwa mawe. Kwa sababu wahaya wengi ni wasomi ndiyo maana wanaandamwa/ fatiliwa sana. Unawajua Wanyaturu, Wanyiramba,au Wairaki? Sasa ukiwazungumzia watu kama hao hakuna atakayefatilia, lakini ikiwa ni Muhaya kelele zitapigwa sana. So hayo matendo yanafanywa na baadhi ya watu kwenye kila jamii/kabila
Wachache watakuelewa mkuu ,na ukweli utabaki kuwa "mtu wenye matunda ndio unapigwa mawe "
 
We jamaa mbona kama ni muhaya hivi ?

Hashim Rungwe: wanipe, kama hawaamini wanipe
 
Hata kwenye swala la mahusiano mwenza akigundua kuwa ww ni muhaya anaanza kuondoa Imani na kuanza story Hasi kuhusu wahaya
Kuna nini kimejificha nyuma ya hili

Nafikiri ndilo kabila duni kuliko yote yaliyopo tanzania
 
Back
Top Bottom