Kwanini jamii Inawachukulia tofauti wahaya

Kwanini jamii Inawachukulia tofauti wahaya

Binafsi siwezi kuamini kuwa ni Wahaya wote wapo hivyo.

Kuna washkaji zangu wawili ni wahaya niliishi nao Arusha hawakuwa na dharau, wanajichanganya katika shughuli mbalimbali na hata sasahv wakienda Arusha wanashukia nyumbani kama kwao kifupi tumekuwa ndugu kabisa

Hata ukienda nao mahali mtu hawezi kujua kuwa ni Wahaya...hawana mbwembwe

Kasoro zingine ni za kawaida tu hata kwenye makabila mengine
Endelea kukaribisha mbwa Koko nyumbani. Utakuja juta
 
Back
Top Bottom