Kwanini jamii Inawachukulia tofauti wahaya

Kwanini jamii Inawachukulia tofauti wahaya

Wabinafsi sana nimekaa Bukoba miaka miwili kama Ni kabila jingine na umefungua duka wachache Tena wageni ndo watanunua kwako
Ila Wanawake wa kihaya wanna upendo sana wanajua kupenda hasa Ila wanaume loh wanakaroho flani kaukatili hata wao kwa wao
NB: SIO WOTE WENGINE WAKO POA SANA
Wagumaa
😂😂
 
Hahaaa....... Wanacho nichekesha wahaya ni mbwembwe nyingi mjini lkn ukienda kwao bukoba ni km kijiji kilichoendelea....
 
Nafikiri hawana uaminifu sana kwenye mapenzi na unaweza kuta ameolewa lakini akawa anashobokea kila mwanaume, kiufupi hawana heshima hata kwa waume zao, nafikiri ndo tabia ya umalaya hiyo inayoongelewa. Halafu wanawake wa kihaya wana kiburi hatari, kuna jamaa alikomenti humu kwamba tabia zao nyingi ni za kuokoteza kutoka uganda na rwanda. Msije mkaniiga hao akina waitu ni watani zangu...haha..
 
kinachonifurahisha humu ni kuona mtu ana comment kitu alaf anajihoji ...je kweli kabila lake lisilo la kihaya hawana sifa hizo? kifupi tu ni kwamba binadam ataendelea kuwa yeye na tabia zake binafs milele yote.
 
Habari wakuu poleni na tetemeko

Kwanza nikiri waziwazi kuwa Mimi nimezaliwa na nikaambiwa kabila langu ni muhaya, japo sikijui kihaya na sijawahi kwenda bukoba japo nawasiliana na ndugu walioko huko, na ninaamini siku moja nitaenda huko kisalimia ndugu zangu wengi,

Kuna Jambo ambalo akiri yangu imekuwa na ukakasi Sana pale mapokeo ya watu pindi unapojitambulisha kuwa wewe ni muhaya ikitokea umeulizwa kabila, (binafsi sipendi kuulizwa kabila)

Watu watakutafsiri katika makundi tofauti na bila kuona aibu wanakuambia

1. Mpenda sifa
2. Kujifanya umesoma
3. Malaya
4. Kujifanya unapesa or wanakuona unapesa

Mambo haya hutokea hata kama hauna hizo sifa hata moja, unaweza ukaishi kwenye jamii vizur bila kupewa hizo sifa tajwa hapo juu Ila punde jamii inayokuzunguka wakigundua kuwa ww ni muhaya basi utapewa sifa zote hapo juu. Na chochote utakachokifanya hata Kwa Hali ya kawaida au Kwa Hali ya utani watu wataambatanisha sifa zako na kabila,

Najiuliza Kwa nini jamii inamawazo Hasi kuhusu uhaya,

Hata kwenye swala la mahusiano mwenza akigundua kuwa ww ni muhaya anaanza kuondoa Imani na kuanza story Hasi kuhusu wahaya
Kuna nini kimejificha nyuma ya hili kabila
Ni inferiority complex ya jamii husika
 
Utani tu wa makabila Tanzania. Wangoni tunasifiwa kwa sifa mojawapo kati ya hizo hadi kuna usemi "Mngoni mpe pesa atafikisha, ila mkeo.." japo ni sifa zisizo na ukweli wowote bali ni fitna tu za wale watani zetu WASHENZI wanaokula mbwa kule Iringa. Uzinzi wa mtu wala tabia yoyote huwa havina kabisa mahusiano na kabila lake. Kule Sumbawanga wafipa wanasifiwa sana kwa uchawi. Nimekulia kule maana wazazi walikuwa kikazi, sikuwahi hata siku moja kushuhudia vitendo vya ushirikina hadharani achilia mbali kurogwa, zaidi ya stori dhahania tu. Washirikina wa kutupwa nikaja kuwakuta Dar! So ukiona kabila lako lina visifa fulani common basi jua ni kabila maarufu.
 
Ndugu tafuta pesa na fanya unachojisikia atakaesema umefanya kwa kuwa wewe ni mhaya atajua yeye.Wewe angalia kila kukicha makabila mawili lazima yaongelewe ambayo ni wahaya na wachaga.Lakini yote haya ni kwa sababu ya mafanikio yao.Elimu na uchumi walivyo navyo wahaya na wachaga vinafanya waonewee wivu na makabila mengne.Tanzania makabila ni zaidi ya 120 lakini kutwa ni wachaga na wahaya.

Sasa unajiuliza swala la umalaya kila kabila linapenda ngono ,ukianza na warangi,wanyaturu ,nenda Tanga huko yaani makabila yote yanapenda kufanya mapenzi,ukija swala la roho mbaya wanalolisema ,wahaya wanapenda kusaidiana sana hawatupani wakiwa maeneo tofauti na nyumbani.Je wewe ndugu yako wa tumbo moja utakataa kumsaidia uanze na mtoto wa shangazi?

Nadhani tukitaka kuongelea hivi vitu ni vyema tushirikishe ubongo ili tuweze kuongea mambo yanayopimika.
 
Wahaya ni kweli wana izo sifa zote, uku chuo Kuna manzi anauza k nilikuwa namuheshimu sana Sio kwao awajiwezi no Anataka mashindano kwenda na wakati simu mpya ikitoka anayo, siku niliyogundua nikanyosha mikono.
Ninaishi na mademu watatu wa kabila X wanadanga hawa nina hakika. Mark X na Brevis zinazowashusha usiku haziwezi zikawa za kaka zao. Wanapenda Kidimbwi, hata sipajui.
Mwingine wa kabila hilo nina miadi naye leo sema nimeghairi nisikose UEFA, labda nikitoka mechi nikaenda. Mwingine wa kabila hilo hilo nampanga naona anaingia. Hapa ningekuwa na mawazo kama yako ningewaita wadangaji.

Tuache hao, kuna kabila X kutoka hapo juu ya Dar. Hawa sitaki niseme sana maana najua unawapa vyeo vyao.
Ukitaka kutafuta wadangaji chuo utakuta ni kila kabila, ni uwezo wako tu wakufatilia. Sio unasubiri kuambiwa au kujua bahati mbaya.

Angalizo: Sio kila anayependa vitu vizuri anadanga. Kuna girl rafiki yangu hana makuu ila anasema iPhone 12 ikitoka tu anaruka nayo, sahivi anayo 11. Afu toka hostel nenda ghetto ndipo utayaona yasiyoonekana.
 
Kati ya wahaya wote ambao nimewahi kutana nao hakuna mwema hata mmoja hakuna cha mnyambo,mziba,mhaya n.k
 
Kabila lako lipi lisilo la hovyo?.

Huu ndo ujinga na upumbavu sasa.

We unafikiri kuna mtu alichagua kuzaliwa kabila Fulani.

Saaa nyingine ndo maana unafanya mambo hayaendi unahisi umerogwa kumbe mizimu mikali ya kihaya inakusumbua Kwa kucoment vitu kama hiv
Wanatutania wahaya hawa

Ebu waletee zile picha zetu ambazo huwa unazipost humu
 
Yeah! Wana swaga za mambele japo ni weusi na mala nyingi wana time zao, watu wengi hupenda kuwatofautisha na watu wengine kwa kuwaita kwa kabila lao yaani wahaya maana wana kitu cha ziada ambacho wengine hawana
 
Back
Top Bottom