nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,370
Nachotaka kusema ni kuwa mimi kama NK siwezi kupata stress kwa kuchangia uzi wa mtu ambaye yuko stressed.
Unlike kwenye jukwaa la siasa, nikifuatilia siku mbili nakuwa na hasira kwa nini nimekuwa mtanzania; kwa kuwa issues za hii nchi zinanihusu na zinanikatisha tamaa.
Unlike kwenye jukwaa la siasa, nikifuatilia siku mbili nakuwa na hasira kwa nini nimekuwa mtanzania; kwa kuwa issues za hii nchi zinanihusu na zinanikatisha tamaa.
Mkuu NK nitakupa mfano mmoja wa hapa jamvini ambayo nadhani naukumbuka vizuri. Kuna njemba mmoja alikuwa mwanachama hapa siku hizi simuoni si ajabu kabadilisha ID yake. Huyu na mkewe wote walikuwa wana laptop zao. Njemba kakaa kipande hii na Mama chanja kakaa kipande ile kila mtu anafanya vitu vyake kwenye LT. Siku moja mama akatoka pale living room kwa dakika chache na kuacha LT ikiwa wazi. Njemba ikaona ichungulie mwenzie anafanya nini. Akaona amelog hapa jamvini, alikuwa hajui mwenzie kama ni mwanachama hapa hivyo akagundua na ID yake. Akaamua kuminya hadi nafasi ilipomruhusu nadhani kesho yake akataka aangalie michango ya mwenzie. Akagundua mwenzie michango yake mingi hapa ilikuwa ni ya raha ya kuliwa Tigo. Jamaa alichanganyikiwa sana maana hawakuwahi hata siku moja kuzungumza mambo ya Tigo na mkewe, sasa kama anasifia utamu wa kuliwa Tigo je kaujulia wapi? na ni nani anamla Tigo? Jamaa akaandika hapa huku akidai kachanganyikiwa kupita kiasi hajui hata pa kuanzia mjadala huo mzito na mkewe kuhusu mambo ya Tigo. Kama nilivyosema huyo jamaa sijamuona tena au aliamua kudabilisha ID.
Na kwa maoni yangu nadhani haya maswali mengi yanayoulizwa hapa asilimia kubwa yanawahusu waulizaji ila wanaandika kuonyesha kama wanaandika kwa niaba ya 3rd party.