MASELE
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 796
- 479
basi kutakuwa na namna unayofanya kujilizishaheri mimi niko peke yangu swezi kujicheat mwenyewe wazoefu waseme
basi kutakuwa na namna unayofanya kujilizishaheri mimi niko peke yangu swezi kujicheat mwenyewe wazoefu waseme
Kumekuwa na hoja mbali mabali kuhusu marital infidelity wengine tukipinga na wengine kutetea na pengine hata kufikia kutoa guidelines ya jinsi ya kumcheat mkeo/mumeo/mpenzio. Huwa najiuliza kuwa hakuna binadamu hata mmoja ambaye yeye anapenda kufanyiwa hivi, Je kwa nini sasa mtu unaendeleza tabia hii hali wewe mwenyewe hupendi kufanyiwa mchezo huu?
Kuna uwezekana wa wana JF walio wengi ni infidelists?
Mkulu upo..?Over the years i have learnt not to become frustrated with people and things you can't control instead learn what the rules are and use them to your own benefit..
I'm back mkuu..Mkulu upo..?
Halafu kuna walugaluga wanaothubutu kusema eti MMU hakuna stress. Hakuna stress my azz! Jukwaa lisilo na stress ni lile la utani na udaku.
Usiusemee moyo ndugu yanguheri mimi niko peke yangu swezi kujicheat mwenyewe wazoefu waseme
heri mimi niko peke yangu swezi kujicheat mwenyewe wazoefu waseme
NN unanichekesha; utapata stress kwa matatizo ya nyumba ya jirani au kwa sababu ya guidelines?
heri mimi niko peke yangu swezi kujicheat mwenyewe wazoefu waseme
Hivi unadhani wale wote wanaolia kutendwa hapa hawako stressed?
Hivi unadhani kuwa na extra-marital affair siyo stressful?
Hivi unadhani infidelity ni stress-free?
Ni wazi drama za wengine haziwezi kunipa stress lakini watu wengi drama wanazozipitia kwenye mapenzi ni stressful. Unabisha?
Kuna mtu kaja na mada humu inayosema "Nyumba ndogo inanitesa". Hivi unadhani hayo mateso siyo stressful?
Sasa watu kama hao watasema stress zao zimesababishwa na MMU au wamekuja kubwaga stress zao hapa MMU kama njia ya kuzipunguza?
Na kwa maoni yangu nadhani haya maswali mengi yanayoulizwa hapa asilimia kubwa yanawahusu waulizaji ila wanaandika kuonyesha kama wanaandika kwa niaba ya 3rd party.
Sasa watu kama hao watasema stress zao zimesababishwa na MMU au wamekuja kubwaga stress zao hapa MMU kama njia ya kuzipunguza?
Nilichokuwa namaanisha ni kwamba dhana ya kwamba MMU ni jukwaa la stress-free ukilinganisha ma majukwaa mengine kama ya siasa na dini ni dhana potofu. MMU nayo ina stress zake na nyingi ziko dominated na heartbreaks. Watu kila leo wanalia maumivu tu.
Mapenzi ni moja ya mambo yaliyo stressful sana katika maisha. Na ndiyo maana humu utasikia kauli kama za 'usipekue simu ya mwenza wako kama hutaki kupatwa ma ugonjwa wa moyo.'
Jukwaa stress-free ni lile la vichekesho na udaku. Lakini humu MMU...hell no!
Haiishi hapa kwasababu imetawala huko mitaani.
Kuhusu wanaJF wengi kuwa kwenye kundi la hao cheaters siwezi kubali au kataa kwa uhakika maana wengine wanasema wengine wanapita tu kimya kimya kwahiyo sio rahisi kujua ni kwa kiasi gani memberwa JF ni washiriki. Besides... wengine hua wanaongea tu kufurahisha jamvi na kutafuta sifa japo inreality sivyo walivyo.