Kwanini infidelity imeongezeka sana kwa jamii yetu?

Cheating bana imechochewa na tekelinalotujia! Leo nawetetea wanaume kwa hisani ya BF!!!!( For once!!!) Ujue wanawake siku hizi tunapenda KUBANANA HAPO HAPO!!!!! Haswaaa bwana akiwa loaded! Sio kwamba wanaume hatoshi!!! Noooo! Unaemtaka wewe na mie namtaka huyo huyo! Wewe umfaidi una nini? Na mie nimkose nina nini? TUTABANANA HAPA HAPA!!!!! Alafu na utandawazi umemake things WORSE KABISA! U cant imagine nimeingia BBM ya BF (Toka nimpate mtakoma humu ndaniiii mbona! kutajwa kutwa mara 3) nimekuta kuna jitu bayaaaa limemtongoza BF + kumtumia mipicha yake limevaa kihasara hasara hadi BIKINI!!! Alafu linamuinvite Zanzibar, her treat! Hapo hajakubaliwa!!!!! Biashara matangazo ila yamezidi siku hizi! HAPA NAMVUTIA KASI!!! Anahamu nimchambe wkt nikimchamba atazimia!!!!!
 
Utanisamehe mimi kwa kweli
threads zoote humu zinazotaka kujadili cheating nimeamua sitachangia
why?
sababu nilitoa mchango mwingi mno kwenye threads za zamani
hasa zile mbili za nyumba ndogo,ya kwangu na ya Roulete..
na zingine za Mwanajamii one nimezisahau title

kingine ni pili sioni kama kwa kuponda sana cheating inasaidia watu kubadilika
sanasana watu weengi wanaoponda cheating hadharani ni macheaters wakubwa in private
so why waste my energy?
 
kwa hiyo wewe wataka faraja je wadhani wa3 watakupa faraja uitakayo?

kwenye hali kama iyo nakua na mmoja ambae ndio nafuture nae, wengine wanakua wapembeni tu.. uyo mmoja akinichanganyia mambo basi najimpumzisha na wengine kimyakimya! (just saying)
 
Cheating bana imechochewa na tekelinalotujia! Leo nawetetea wanaume kwa hisani ya BF!!!!( For once!!!) Ujue wanawake siku hizi tunapenda KUBANANA HAPO HAPO!!!!! Haswaaa bwana akiwa loaded! Sio kwamba wanaume hatoshi!!! Noooo! Unaemtaka wewe na mie namtaka huyo huyo! Wewe umfaidi una nini? Na mie nimkose nina nini? TUTABANANA HAPA HAPA!!!!! Alafu na utandawazi umemake things WORSE KABISA! U cant imagine nimeingia BBM ya BF (Toka nimpate mtakoma humu ndaniiii mbona! kutajwa kutwa mara 3) nimekuta kuna jitu bayaaaa limemtongoza BF + kumtumia mipicha yake limevaa kihasara hasara hadi BIKINI!!! Alafu linamuinvite Zanzibar, her treat! Hapo hajakubaliwa!!!!! Biashara matangazo ila yamezidi siku hizi! HAPA NAMVUTIA KASI!!! Anahamu nimchambe wkt nikimchamba atazimia!!!!!

hili nalo neno shosti.....
Wanawake wengine wamekubaliana na cheating, tena huko fesibuku ndo wanaambia mwanaume kucheat kawaida...... Loh wallllllllahiiiiii akicheat nisijue..... Nikijua namnyofoa gololi moja....
 
nataka uhalisia bana sio porojo lol!
 
Kana madhereu sana haka ka Kongosho, wacha nikatie adabu!

Kujibu swali lako; Anao wengi anako-alternate freely a-cheat kwa ajili gani?

lakini wanaume wengine wenye mitala nao pia wanatabia ya kucheat sijui wewe unasema mitala ya wake wangapi.
 
Cheating bana imechochewa na tekelinalotujia! Leo nawetetea wanaume kwa hisani ya BF!!!!( For once!!!) Ujue wanawake siku hizi tunapenda KUBANANA HAPO HAPO!!!!! Haswaaa bwana akiwa loaded! Sio kwamba wanaume hatoshi!!! Noooo! Unaemtaka wewe na mie namtaka huyo huyo! Wewe umfaidi una nini? Na mie nimkose nina nini? TUTABANANA HAPA HAPA!!!!! Alafu na utandawazi umemake things WORSE KABISA! U cant imagine nimeingia BBM ya BF (Toka nimpate mtakoma humu ndaniiii mbona! kutajwa kutwa mara 3) nimekuta kuna jitu bayaaaa limemtongoza BF + kumtumia mipicha yake limevaa kihasara hasara hadi BIKINI!!! Alafu linamuinvite Zanzibar, her treat! Hapo hajakubaliwa!!!!! Biashara matangazo ila yamezidi siku hizi! HAPA NAMVUTIA KASI!!! Anahamu nimchambe wkt nikimchamba atazimia!!!!!

Ni kweli lara 1 tekinolojia inaharibu aya mambo.. for instance MAX kuanzisha ili li-JF naona anapelekea um-cheat BF wako! is that what u mean?
 
Last edited by a moderator:
hili nalo neno shosti.....
Wanawake wengine wamekubaliana na cheating, tena huko fesibuku ndo wanaambia mwanaume kucheat kawaida...... Loh wallllllllahiiiiii akicheat nisijue..... Nikijua namnyofoa gololi moja....

Hahahaaaaa! Gololi moja unayoibakiza ya kuchezea mwenyewe? Hahahahaaaaa! Tena tukijua ana GOLOLI MOJA itabidi tufanye juu chini tumpe ili KUPROVE!!!!! Upo hapo? TUTABANANA HAPO HAPO!!!!! LOL!
 
Cheating bana imechochewa na tekelinalotujia! Leo nawetetea wanaume kwa hisani ya BF!!!!( For once!!!) Ujue wanawake siku hizi tunapenda KUBANANA HAPO HAPO!!!!! Haswaaa bwana akiwa loaded! Sio kwamba wanaume hatoshi!!! Noooo! Unaemtaka wewe na mie namtaka huyo huyo! Wewe umfaidi una nini? Na mie nimkose nina nini? TUTABANANA HAPA HAPA!!!!! Alafu na utandawazi umemake things WORSE KABISA! U cant imagine nimeingia BBM ya BF (Toka nimpate mtakoma humu ndaniiii mbona! kutajwa kutwa mara 3) nimekuta kuna jitu bayaaaa limemtongoza BF + kumtumia mipicha yake limevaa kihasara hasara hadi BIKINI!!! Alafu linamuinvite Zanzibar, her treat! Hapo hajakubaliwa!!!!! Biashara matangazo ila yamezidi siku hizi! HAPA NAMVUTIA KASI!!! Anahamu nimchambe wkt nikimchamba atazimia!!!!!
shostito kama ni swala la kubanana abasi wagomvi wanawake ila pia kuna wanaume wanaganda usipime sasa hawa wote mie huwaga nawaita mafungu ya kukosa.

but usijaribu kuchambana na mwizi wako manake huji silaha yake cha msingi muinamisha uliye nae kwishaa habari yake.
 
leo napenda kujua kwanini watu huwa wanacheat wenzi wao? na je kwanini cheating imetoholewa kuwa kitu cha kawaida kabisa katika maisha ya siku hizi kiasi kwamba watu kama Asprin na DARKCITY wanasema ni inevitable?

Nani kaku cheat nimchape?
Halafu wewe mada ya kitaifa hii kwa nini hukuni tag?
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli lara 1 tekinolojia inaharibu aya mambo.. for instance MAX kuanzisha ili li-JF naona anapelekea um-cheat BF wako! is that what u mean?

Unahamu Nikusemeeee!!!!!! Nikikusemaaaa Utaliaaaa! Unahamu Nikuchambeeeeee!!! Nikikuchambaaa Utazimiaaaaa!!!!

Yatakushinda na wewe, kujifanya Shabiki MAANDAZI, Umetiwa amira kijiko kimoja Umeumuka Beseni Zima!!!!! We nichokoze tu,

NANI KANUNA? LARA 1 NIMEMUNA, NIMEVIMBA KAMA PUTO, UKINIGUSA NA SINDANO NAPASUKAAAAAA! LOLESH!!!!
 
Cheating inategemea nadhani na mazingira yalivyo, kama yupo mbali mara moja moja kushtua sio mbaya, ila kama unaishi nae then nadhani itakuwa vibaya
 
Watu wan-cheat ili kujifariji endapo mambo yakibadilika gafla!

kwa mwanaume, mf. mimi naona kama nikiwa na wapenzi kama wa3 ndio inakuwa vizuri yoyote akizingua na-shift to substitute!

Na miwaya?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom