Kwanini infidelity imeongezeka sana kwa jamii yetu?

bishanga ana mikungu ya ndizi kisukari.
Mie natafuta ndizi mshare.


Basi bwana Kongosho...naomba niishie hapa kwa kuwa issue zenu na Bishanga ni nzito...

Na uzee huu...naomba nisitie mguu huko!

Bado una mpango wa kujiua ukiota unapiga lap/strip dance uwanja wa ugenini?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo kuna uhaba wa wanaume ulimwenguni shurti tubanane hapo hapo....na atakae ona kabanwa atasogea lol

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Jana tu jioni,(kwa wale wa Tanzania) nilivyotoka ofisini nikiwa natafakari ishu ya mwana jamii one nikapitia mitaa flani ya kati. nikakutana na dada mmoja ana duka la nguo, alikuwa very upset kwamba hana mood ya kukaa dukani kabisa hiyo siku. Nikamuuliza kulikoni? Akaniambia, mdogo wangu niliyoyaacha huko nyumbani hata sitaki kuyawaza, maana hayavumiliki na huyu mume mi ntamwacha.

HOW interesing nikazidi kuprobe, aksema, juzi nimetoka dukani nikakuta simu ya mume wangu inachajiwa, ina misscall kama saba, na meseji, nikasoma mesji, kumbe ni mdada analalamika eti "ooh darling ujue mi naumwa hivyo usinikatishe tamaa, nachotaka ni mapenzi yako na kubembelezwa" mama watu akachanganyikiwa, akachukua namba ya yule dada akaenda hewani, akamuuliza meseji gani umemtumia mume wangu, akastuka, kumbe hajui kama jamaa ana mke na watoto, akasema kwa ustaarabu mi sijui kama kaoa, mi nilikutana naye wakati naenda kigoma kwenye treni tukatongozana na kupeana namba, tulivyorudi mjini tukatafutana na kuanza uhusiano na sasanina mimba ya miezi mitano.

Mama hadi hapo akawa hana la kusema akamuuliza mumewe kakataa katakata hadi leo, sas anasema hawezi kuendelea na yule mume na bla bla nyingi. sijui itakuwaje nikipata update ntazileta.

Lakini swali langu la msingi ni kwamba, kwa nini haya mambo ya kucheat yanaongezeka sana kizazi hiki? Yani wanaume hawakosi nyumba ndogo why?

Kwa wadada sijui sana maana sijasikia sana malalamiko toka kwa wakaka. Tufanyeje tuwaokoe waume zetu na nyumba ndogo?

Tatizo wadada wa siku hizi ss sio wavumilivu kabisa hapo mi sijaona cha kumpa headache aisee kwanza anabidi afikirie kuna watu wapo kwa ajili ya kuvunja nyumba za watu kama huyo dada wengine hata mtu humjui anasetiwa ili akurushe roho mke halali uachie ngazi wafaidi kwa uhuru zaidi....mm binafsi nina wivu sana na mume wangu lakin simu yake kwangu kuishika ni mwiko aisee maana ni kujitafutia magonjwa ya moyo..JIBU la swali lako ni hivi watu wengi siku hizi hatuna hofu na Mungu hata kidogo shetan ametutawala sana na kufuata mkumbo na tamaa zisizo na mbele wala nyuma ndo maana usaliti upo kwa kasi ya ajabu hasa wanaume wamemuhasi sana Mungu..tufanyeje wadada ni kua wavumilivu,kudumu katika ibada,kua watiifu kwa waume zenu,kujituma ndani ya uwezo wetu,kujijengea uaminifu na kutomfuatilia sana mumeo walaahi ukiweza hivi mume mwenyewe ataona aibu kwann namtendea hivi mke wangu.....
 
Ukisoma maoni na maelezo ya wadau wa MMU...wengi wanadai kuwa hawa-cheat...

Ndo maana nikasema kuwa inashangaza kwani ni tofauti na hali halisi kwenye uwanja wa mapambano!!

May be wadau wa JF MMU ni watu wazuri sana...huwa hawafanyi mambo hayo!

Babu DC!!

skiliza babu DC labda niseme hivi mie ni mmoja wa watu waliowah kucheat and real niliregret sana why so na mpaka leo sijajua what was the motive behind. na mpaka nauliza hivi niliwaza sana juu ya mtu mmoja hapa ofcn anafanya as if ni jambo la kawaida nikajiuliza kama mie nilicheat tena pasi kuwa na sababu na nikarudi nikatubu nafsini mwangu pasi kumwambia muhusika na nikasema sitarudia tena na Mungu anisamehe. sasa kama niliumia kiasi kile mimi yawezekanaje mtu mwingine aone ni kawaida?
 
skiliza babu DC labda niseme hivi mie ni mmoja wa watu waliowah kucheat and real niliregret sana why so na mpaka leo sijajua what was the motive behind. na mpaka nauliza hivi niliwaza sana juu ya mtu mmoja hapa ofcn anafanya as if ni jambo la kawaida nikajiuliza kama mie nilicheat tena pasi kuwa na sababu na nikarudi nikatubu nafsini mwangu pasi kumwambia muhusika na nikasema sitarudia tena na Mungu anisamehe. sasa kama niliumia kiasi kile mimi yawezekanaje mtu mwingine aone ni kawaida?

Duuuuuuuuuuuuhhhhh,

Wewe gfsonwin ni kiboko.....Si wanawake wengi wanaweza kutoa maelezo binfsi kama hayo...you are very special katika haya mambo....my hat off..lol!!

Siwezi kuwasemea watu ila tuna tofauti kubwa sana..siyo kwenu nyie wanawake bali hata kwetu wanaume. Ndiyo maana wengine hawaoni shida au haya kusema kuwa wanabanjua nje kwa kwenda mbele wakati wengina hata hatujui kama tulishawahi kufanya kitu kama hicho!!

Hebu kwanza ongea na Mods warudishe thread yako mahali pake ili tuendelee kupeana uzoefu...Wameimix na hii ya miaka mingi kiasi kwamba watu wanaweza kuipotezea halafu tukashindwa kupata conclusion!

Halafu naomba ubadilishe kwenye post yako ya kwanza...Mimi sijawahi kusema popote kwamba uzinzi ni inevitable ila naamini kwamba upo kama vitu vingine vinavyotuzunguka...magari, piki piki, bajaj au hata vyombo vya ndani!!

Umeniewa mdogo wangu??

Babu DC!!
 
mkuu saragossa mbona waongelea upande mmoja?vip na mwanaume akiweka jiko ndan inakuweje?wengi wakishaingia kwenye ndoa wanabweteka,mau2ndu ya enz wanaanza mahusiano yanatoweka hapo ndo problem inapoanzia lov is a2 way traffic mkishindwa kubalance imekula kwenu.kwan mwadhan wanawake huwa hawavutiwi na other men after marriage?au hawataki adventures with new persons?they do bt wanacompromise why cant you guys do the same?ofcourse c wanawake wote


Nimekusoma Cielo, usitoke povu basi
 
Kwa wadada sijui sana maana sijasikia sana malalamiko toka kwa wakaka. Tufanyeje tuwaokoe waume zetu na nyumba ndogo?

Ndo maana wanawake wengi hawapendi kusikia maswala ya vina saba (DNA), wanajua kidume cha mbegu kilikuwa naniiiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom