Kwanini infidelity imeongezeka sana kwa jamii yetu?

Kwanini infidelity imeongezeka sana kwa jamii yetu?

sina maana hiyo ila nataka kujua kwanini manake leo nilikaa mahali watu fulan wakaelezea as if ni kitu klicho halalishwa kabisa sasa nataka kujua why this?

Is that so?.....bishanga wonders.......
 
Kongosho we ka mie siamin katika kucheat na nahate kuchitiwa ,yani akicheat nikajua its over hakuna discusn LARA1 mwanaume hata awe loaded vip cwez kumshare najitenga pemben kuepusha msongamano,by the way vip mkwe hakununa jana kisago mlompa?
 
Last edited by a moderator:
Huo ni ubinafsi tu wenu kina dada wa siku hizi (kugoma kuolewa uke wenza kama bibi zenu zamani) otherwise kusingekuwa na sababu ya mwanaume ku-cheat! Sitaki na siwezi kuzungumzia sababu za kina dada ku-cheat maana sizijui!

Btw: Wewe Kongosho, tena nina hasira na wewe mpaka basi! Ulikuwa unafanya nini siku zote hizo kwa Bishanga kama. sio kuni-cheat?
Kha!!!!!!!
 
shostito kama ni swala la kubanana abasi wagomvi wanawake ila pia kuna wanaume wanaganda usipime sasa hawa wote mie huwaga nawaita mafungu ya kukosa.

but usijaribu kuchambana na mwizi wako manake huji silaha yake cha msingi muinamisha uliye nae kwishaa habari yake.

Wanaume wagandaji ni MIZOMBIIII! Na Nimeipiga vita sanaaaa! Huyo bi dada mi na yeye tu, nikikaa kimya ATAPINDUA SERIKALI YANGU NAMTIZAMA TUUU! Thubutuuuuuu! Niangalie wapi MPIRA??? Na ligi ndo imeanza? DAWA YAKE INACHEMKA!!!!!!
 
Cheating bana imechochewa na tekelinalotujia! Leo nawetetea wanaume kwa hisani ya BF!!!!( For once!!!) Ujue wanawake siku hizi tunapenda KUBANANA HAPO HAPO!!!!! Haswaaa bwana akiwa loaded! Sio kwamba wanaume hatoshi!!! Noooo! Unaemtaka wewe na mie namtaka huyo huyo! Wewe umfaidi una nini? Na mie nimkose nina nini? TUTABANANA HAPA HAPA!!!!! Alafu na utandawazi umemake things WORSE KABISA! U cant imagine nimeingia BBM ya BF (Toka nimpate mtakoma humu ndaniiii mbona! kutajwa kutwa mara 3) nimekuta kuna jitu bayaaaa limemtongoza BF + kumtumia mipicha yake limevaa kihasara hasara hadi BIKINI!!! Alafu linamuinvite Zanzibar, her treat! Hapo hajakubaliwa!!!!! Biashara matangazo ila yamezidi siku hizi! HAPA NAMVUTIA KASI!!! Anahamu nimchambe wkt nikimchamba atazimia!!!!!
Mama toboaaaaaaaaaaaaaa bishanga atazibaaaaa ccm hoyeeeeeee!!!!!!!!!
 
lakini wanaume wengine wenye mitala nao pia wanatabia ya kucheat sijui wewe unasema mitala ya wake wangapi.

Mwanaume mwenye mitala na aka-cheat huyo ni mgonjwa kama walevi! Iweje a-cheat huku ana mitala?
 
kwani Bishanga huwa tunagonganisha manati?

Yee ni story tu.

Bishanga kachumbari, wewe Wine, main course ? ? ?

Huo ni ubinafsi tu wenu kina dada wa siku hizi (kugoma kuolewa uke wenza kama bibi zenu zamani) otherwise kusingekuwa na sababu ya mwanaume ku-cheat! Sitaki na siwezi kuzungumzia sababu za kina dada ku-cheat maana sizijui!

Btw: Wewe Kongosho, tena nina hasira na wewe mpaka basi! Ulikuwa unafanya nini siku zote hizo kwa Bishanga kama. sio kuni-cheat?
 
Last edited by a moderator:
Utanisamehe mimi kwa kweli
threads zoote humu zinazotaka kujadili cheating nimeamua sitachangia
why?
sababu nilitoa mchango mwingi mno kwenye threads za zamani
hasa zile mbili za nyumba ndogo,ya kwangu na ya Roulete..
na zingine za Mwanajamii one nimezisahau title

kingine ni pili sioni kama kwa kuponda sana cheating inasaidia watu kubadilika
sanasana watu weengi wanaoponda cheating hadharani ni macheaters wakubwa in private
so why waste my energy?
Mkuu ndo umechangia hivo,tena sana tu!
 
hili nalo neno shosti.....
Wanawake wengine wamekubaliana na cheating, tena huko fesibuku ndo wanaambia mwanaume kucheat kawaida...... Loh wallllllllahiiiiii akicheat nisijue..... Nikijua namnyofoa gololi moja....

Wataka kuniua BT,
Yule si wako,
Na mimi si wangu,
Wivu wa nini kati yetu,
Mimi na wewe,
Nasema sina makosa,
Wee bwana....
Source: Les wanyika.
 
kwani Bishanga huwa tunagonganisha manati?

Yee ni story tu.

Bishanga kachumbari, wewe Wine, main course ? ? ?

Ngoja nimcheke Bishanga hadharani hata kama nami nimepewa za uso); hiloooo Bishanga limeitwa kachumbari; hiloooo!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa! Gololi moja unayoibakiza ya kuchezea mwenyewe? Hahahahaaaaa! Tena tukijua ana GOLOLI MOJA itabidi tufanye juu chini tumpe ili KUPROVE!!!!! Upo hapo? TUTABANANA HAPO HAPO!!!!! LOL!

hahahaha loh!
 
unajua wanaume wengi tamaa za mwil zinawasumbua kwasababu kwann a2mie gharama kibao kucheat then akipata alichotaka anasepa,kama cyo tamaa za mwil ni nini?@lara 1 usitumie nguvu kupambana na huyo shosti mwache shemej aonyeshe msimamo wake kwako
 
Life is a continous learning process,ulichokijua leo jana ulikuwa hukijui,kila siku tunapata ma experience mapya yanayotubadili perception yetu ya maisha. In other words mtazamo kuhusu cheating jana,juzi,mwaka uliopita si lazima uwe mtizamo wako leo. Mathalan bishanga mwaka jana nilikuwa cheater mkubuhu,could be leo nimeacha,why,labda dunia imenifundisha ubaya na madhara ya cheating.
To sum up😡The Boss na AshaDii achane na historia changieni uzi kwa muono wenu wa leo.
 
Last edited by a moderator:
Cheating bana imechochewa na tekelinalotujia! Leo nawetetea wanaume kwa hisani ya BF!!!!( For once!!!) Ujue wanawake siku hizi tunapenda KUBANANA HAPO HAPO!!!!! Haswaaa bwana akiwa loaded! Sio kwamba wanaume hatoshi!!! Noooo! Unaemtaka wewe na mie namtaka huyo huyo! Wewe umfaidi una nini? Na mie nimkose nina nini? TUTABANANA HAPA HAPA!!!!! Alafu na utandawazi umemake things WORSE KABISA! U cant imagine nimeingia BBM ya BF (Toka nimpate mtakoma humu ndaniiii mbona! kutajwa kutwa mara 3) nimekuta kuna jitu bayaaaa limemtongoza BF + kumtumia mipicha yake limevaa kihasara hasara hadi BIKINI!!! Alafu linamuinvite Zanzibar, her treat! Hapo hajakubaliwa!!!!! Biashara matangazo ila yamezidi siku hizi! HAPA NAMVUTIA KASI!!! Anahamu nimchambe wkt nikimchamba atazimia!!!!!

huyu bf wako ni member hapa sio?
na huyo mwanamke ni member pia hapa?
na unataka umchambe hapahapa?
 
Back
Top Bottom