AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,117
Life is a continous learning process,ulichokijua leo jana ulikuwa hukijui,kila siku tunapata ma experience mapya yanayotubadili perception yetu ya maisha. In other words mtazamo kuhusu cheating jana,juzi,mwaka uliopita si lazima uwe mtizamo wako leo. Mathalan bishanga mwaka jana nilikuwa cheater mkubuhu,could be leo nimeacha,why,labda dunia imenifundisha ubaya na madhara ya cheating.
To sum up😡The Boss na AshaDii achane na historia changieni uzi kwa muono wenu wa leo.
Kwa mtazamo wangu B', it was complicated then... It is still complicated now. God willing nikipata mawazo mapya nayaleta.