Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,465
usijali upako uko bure ni wewe tu siku ukiamua ujichotee kadiri upendavyo,
kama uko tayar naweza kukusaidia upate huo upako.
back to topic:KITU MUHIMU KATIKA VYOTE MAISHANI NI FURAHA,SASA KAMA WEWE FURAHA YAKO HAITAPOTEA MUMEO ATAKAPOKUWA NA WENGINE THEN NI SAWA NA WALA SITAKUSHANGAA.
ILA MIM FURAHA YANGU ITAPOTEA NIKIJUA NIMPENDEA ANA WENGINE HIVYO KWANGU MM SIO SAWA.KWANGU MM SHARING A HUSBAND IS NOT ACCEPTED ILA KAMA KWAKO NI CARING THEN SIO MBAYA
NA CHA MUHIMU MAISHA NI KUISHI UNAVYOJISIKIA.
USHUZI HUU,..
pauline sijui unafikiria nini hata,..
juzi ukaja na tiGO,leo infi duh
ubaya wa kutenda ndio upi cheusi mwenzako sina upako lol,kama mke uko happy unatimiziwa kila kitu mie sioni ubaya wa kukuchukulia mumeo....afteral sharing is caring lol😛ound::A S-rose:
...i think fidelity is harmless untill the other person (wife) knows it...............................embu angalia arnold shwazneger ndoa yake imedumu,mpaka mkewe alivyojua....tunajifunza kuwa kama unatembea na mume/mke wa mtu keep low profile and everybody will be happy in the end,:biggrin1::biggrin1:

hapo nipobold pekundu ndio kiini cha mada hii,usipojua theres no harm,mbaya ni pale unapojua tu...:mod:
kweli hata identical twins ukiwachunguza vizuri wana tofauti.
mm na ww na wanawake lkn tuna tofauti kubwa ktk kuwaza.
mm nikijua ananicheat nitamfukuza.
dah, kweli duniani kuna watu na viatu!!!!!!!!!!!!!!
...i think fidelity is harmless untill the other person (wife) knows it...............................embu angalia arnold shwazneger ndoa yake imedumu,mpaka mkewe alivyojua....tunajifunza kuwa kama unatembea na mume/mke wa mtu keep low profile and everybody will be happy in the end,:biggrin1::biggrin1:
Hahahah lolyote ni mawazo, tena yakiwa mchanganyiko ndio safi zaidi! Afrodezi hadi sanamu wana vibamia? Aah haaa haaa!
Pau haishiwi vituko huyu...
Hapo ndipo shida inapoanzia, hebu Pauline wekea umepata shefa la sifa zako kwa maana ya kukupa kila kitu unachohitaji na kunako sita kwa sita huko ndiyo upo hoi bin taabani, yaani amekumaliza na kuona hapo ndipo mwisho wa reli. Siku unagundua kumbe jamaa ana vicheche vingine tena zaidi ya wewe, mbaya zaidi wewe baada ya kumuona ana vigezo vyako ukajitoa mhanga kwa kila kitu, yaani kwenye penzi mpaka ..... umeshampa, tehe tehe kama alitaka. Swali utakalojiuliza huyu jamaa anatafuta nini huko nje? Hapo ndipo inf. inapouma, kwa sababu hakuna inf. ambayo itadumu milele bila kufahamika na ndipo roho inapouma na uovu wa hiyo infr. inapoikuwa. Upo?ubaya wa kutenda ndio upi cheusi mwenzako sina upako lol,kama mke uko happy unatimiziwa kila kitu mie sioni ubaya wa kukuchukulia mumeo....afteral sharing is caring lol😛ound::A S-rose:
Hii ndiyo shida kubwa sana, acha wafu kwa wafu tukazikane.kosa litabaki kwa mungu lakini kwa binadamu kosa lisipogunduliwa si kosa, simple and plain truth
ubaya wa kutenda ndio upi cheusi mwenzako sina upako lol,kama mke uko happy unatimiziwa kila kitu mie sioni ubaya wa kukuchukulia mumeo....afteral sharing is caring lol😛ound::A S-rose:
Ni kweli dada yangu yani Pauline ni mpekee. Kila kukicha na visa visa vya kimtaa mtaa.
Hapo ndipo shida inapoanzia, hebu Pauline wekea umepata shefa la sifa zako kwa maana ya kukupa kila kitu unachohitaji na kunako sita kwa sita huko ndiyo upo hoi bin taabani, yaani amekumaliza na kuona hapo ndipo mwisho wa reli. Siku unagundua kumbe jamaa ana vicheche vingine tena zaidi ya wewe, mbaya zaidi wewe baada ya kumuona ana vigezo vyako ukajitoa mhanga kwa kila kitu, yaani kwenye penzi mpaka ..... umeshampa, tehe tehe kama alitaka. Swali utakalojiuliza huyu jamaa anatafuta nini huko nje? Hapo ndipo inf. inapouma, kwa sababu hakuna inf. ambayo itadumu milele bila kufahamika na ndipo roho inapouma na uovu wa hiyo infr. inapoikuwa. Upo?
Hii ndiyo shida kubwa sana, acha wafu kwa wafu tukazikane.
...i think fidelity is harmless untill the other person (wife) knows it...............................embu angalia arnold shwazneger ndoa yake imedumu,mpaka mkewe alivyojua....tunajifunza kuwa kama unatembea na mume/mke wa mtu keep low profile and everybody will be happy in the end,:biggrin1::biggrin1:
<br />wamekua sasa, washaacha! saa hizi tu hadi gari liwake inabidi wasukume posta hadi mbagala. waliosema aliye juu mngoje chini unadhani walikuwa wapuuzi? lol,ngoja warudi,hehehe. hongera kwa wake zao.