Kwanini infidelity imeongezeka sana kwa jamii yetu?

Yote mtaandika end of the day, mfanyaji anakuwa PUMBAVU ukisema mjinga anaweza elimika. Who cares being infidelity? Vitu vingine ni kuangalia kwa makini usijesifia kitu ambacho ukikumbana nacho utakesha unalia machozi kede kede.
 
kwa hiyo mbaya ni kukamatwa tu lkn kutenda sio mbaya.
mmmmh kama mawaidha ndo haya bora kutoolewa.

ubaya wa kutenda ndio upi cheusi mwenzako sina upako lol,kama mke uko happy unatimiziwa kila kitu mie sioni ubaya wa kukuchukulia mumeo....afteral sharing is caring lol:pound::A S-rose:
 
...i think fidelity is harmless untill the other person (wife) knows it...............................embu angalia arnold shwazneger ndoa yake imedumu,mpaka mkewe alivyojua....tunajifunza kuwa kama unatembea na mume/mke wa mtu keep low profile and everybody will be happy in the end,:biggrin1::biggrin1:

Dada P...sasa ndio unafagilia na kuwaeleza watu ruksa? Put yourself in the shoes of aliyeibiwa mume au mke........ama wewe unaefurahia kuiba vya mwenzie kesho na kesho kutwa ukute kumbe na wewe pia unaibiwa na mwingine.
Kutembea na mume/mke wa mwenzio ni wizi mbaya sana tena sana. Kumbuka aliyehalalisha na kuwaunganisha hao wawili ni Mungu. Kwa hiyo unachezea alichokiunganisha? Kwa nini usitafute wako badala ya kuibiaibia?
 
Yote mtaandika end of the day, mfanyaji anakuwa PUMBAVU ukisema mjinga anaweza elimika. Who cares being infidelity? Vitu vingine ni kuangalia kwa makini usijesifia kitu ambacho ukikumbana nacho utakesha unalia machozi kede kede.

punguza hasira,anakuwaje Pumbavu?
 
Huishi vituko weye mtoto,aiii birthday yako lini nikutengeneze keki basi.:biggrin1:
 
heheeh haya ma mbege umemletea cheusimangala au?
hahaha...afrodenzi anajua kama ningekua sijaokoka class yangu sio ya kitochi wala album(kama hujui kitoch na album ni nin nenda dukan kwa mangi kamuulize) lkn kwa vile nimeokoka hata moet situmii mm kiu yangu ilishakatwa golgota.
ww umeletewa hizo mbege sbb watu wanajua damu yako ishazizoea sasa sikuelewi kunisukumizia.lol
usihuzunike kuletewa mbege ni kwa faida yako tu mana watu wanaogopa kukupiga ofa za mavinywaji usiyoyazoea halafu iwe tabu.
 
ubaya wa kutenda ndio upi cheusi mwenzako sina upako lol,kama mke uko happy unatimiziwa kila kitu mie sioni ubaya wa kukuchukulia mumeo....afteral sharing is caring lol:pound::A S-rose:

usijali upako uko bure ni wewe tu siku ukiamua ujichotee kadiri upendavyo,
kama uko tayar naweza kukusaidia upate huo upako.
back to topic:KITU MUHIMU KATIKA VYOTE MAISHANI NI FURAHA,SASA KAMA WEWE FURAHA YAKO HAITAPOTEA MUMEO ATAKAPOKUWA NA WENGINE THEN NI SAWA NA WALA SITAKUSHANGAA.
ILA MIM FURAHA YANGU ITAPOTEA NIKIJUA NIMPENDEA ANA WENGINE HIVYO KWANGU MM SIO SAWA.KWANGU MM SHARING A HUSBAND IS NOT ACCEPTED ILA KAMA KWAKO NI CARING THEN SIO MBAYA.
NA CHA MUHIMU MAISHA NI KUISHI UNAVYOJISIKIA.
 
USHUZI HUU,..
pauline sijui unafikiria nini hata,..
juzi ukaja na tiGO,leo infi duh
 
yote ni mawazo, tena yakiwa mchanganyiko ndio safi zaidi! Afrodezi hadi sanamu wana vibamia? Aah haaa haaa!
 
Ukiwa bado unamtaka usimwambie; ukimchoka basi mwambie ili asuse na kuondoka.
Hiyo formula ya Shwazniga mi nimeipenda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom