Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani chako kimetuna chini shunie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani chako kimetuna chini shunie
We unajua miaka yangu mie kibibi gagula shauri yako age imeenda hapaNakuzidi miaka 4
Mzima usser unaendeleajeSalama humj ndan
Naona,mnalisongesha tu
[Color= yellow]Triple A[/color]
We ukiwa kibibi gagula mi si nitakuwa lemutuzWe unajua miaka yangu mie kibibi gagula shauri yako age imeenda hapa
We ukiwa kibibi gagula mi si nitakuwa lemutuzWe unajua miaka yangu mie kibibi gagula shauri yako age imeenda hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] me nina 40 na kitu jamanWe ukiwa kibibi gagula mi si nitakuwa lemutuz
Salaam jf members
Hivi inakuaje watu wazima wenye familia zao,wanakua wanashindwa kua na busara,hekima na uvumilivu?
Hivi jf hapa ni kama nyumbani kwetu sisi ni wanafamilia moja au majirani tunaoishi pamoja kama ndugu.
Sasa nashangaaa na kupatwa na bumbuazi haswaa nikiona wanajamii moja tunashindwa kustiriana kama ndugu au marafiki wa dhati kwa kweli inaumiza sana na kustaajabisha.
Yaani humu sisi sote ni watu wazima,wasomi na wasio wasomi,lakini leo hii watu wa humu wengine tuna mambo ya ajabu ajabu mpaka yanatia aibu
Kutongozana ni jambo la kawaida sana katika jamii kama hii,lakini sasa humu mwingine akimla 'nyama'msichana basi ndo anajutaa atamtangaza mpaka ajutee..unabaki kua topic tena miaka mia
Mdada nae akitongozwa basi anakuja kumlipua mwanaume wa watu loohh...!!!
Wengine mnawateta watu PM siku mkilipuana mnaumbuana yoootee..
Wengine mnakutana PM,mnapena contacts mnakutana hukoo baadae mnaanza kuwacompare na kuwacontrast kama bidhaa vile
Na wengine msiojijua na kujielewa sasa yaani nyie ndo shida tupu!!ninyi ndo vichaa nashindwa hata kuwaweka kundi lipi...
Unapewa picha ya mtu 'either PM or whasaap'then unaexpose kwa wengine wasiomjua yule mtu..na kuwaambia yule ni nani...!!
Wengine tena wakiwa na mahaba tunajua jf nziima siku wakiachana wanatoleana ya moyoniii yooote looo[emoji134] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]...
Kuna wengine ni waongo balaaa yaani kusambaza umbea tu usiomhusu na unaomuhusu...
Jamani tuweni na hekima na busara binadamu ni kiumbe mwenye mapungufu lakini sasa yakizidi ni shidaa...
Tuheshimiane sana tukilana,kukimbiana gesti,kukopana tuuchune tu jamani kibingwa kwani shilingi ngapi...hata tukikataliwa pia tujifunze kupiga kimyaa tu...!!
Hata kama ninyi ni wapenzi msijipambanue saana vile maana dah!mkiachana mwingine akapata"goma"lingine humu mnatupa shida sana kunnua bando la kusoma umbea[emoji9] [emoji3] [emoji3] .
Ni hayo tu kwa leo!!!Mengine mtaongezea
sent from motorola bapa and nokia jeneza
Nambie basi kama kitu nacho ni bonge[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nimuulize mume kipoje au ngoja nijichungulie Antonio nitakujibuNambie basi kama kitu nacho ni bonge
Sa lemutuz si ana 50 na kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] me nina 40 na kitu jaman
Si nije nikichungulie mimi shunieNgoja nimuulize mume kipoje au ngoja nijichungulie Antonio nitakujibu
We Antonio mbona unaoneka wa 25 lemutuz ana 60Sa lemutuz si ana 50 na kitu
Wewe [emoji15] Ngoja nimuulize mume jaman ye ndio huwa ananichunguliagaSi nije nikichungulie mimi shunie
Nachungulia kidogo tu na kukigusa kidogoWewe [emoji15] Ngoja nimuulize mume jaman ye ndio huwa ananichunguliaga
25[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] acha utani shunieWe Antonio mbona unaoneka wa 25 lemutuz ana 60
Shunie kibonge [emoji4] [emoji4]Kumbeeee aiseee [emoji122]
Nikochonjo kabsa bibie shunieMzima usser unaendeleaje
Mwenye ruhusa ya kukichungulia na kukigusa ni my mume pekee Antonio halaf siku hizi umekuwaje jaman mbona unaongea maneno makali hivi [emoji134] mbona ulikua haupo hivi Antonio nini kimekusibuNachungulia kidogo tu na kukigusa kidogo
Kweli najua hivi hata 30 sijui kama umefika25[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] acha utani shunie
Kibonge oyeeeeeShunie kibonge [emoji4] [emoji4]