Kwanini hivi jamani...

Kwanini hivi jamani...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kibibi me bonge ndio mambo haya mwisho wa siku mkionana kukimbiana tu na mtu anakimbilia mmu kukuanzishia thread
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] tena anakutaja mpk jina kwa hasira majitu ya humu hayajielewi mengine hata kidogo!!
nawaza siku nikiumbuka mie jamani looh!

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sipati picha ujue au shunie mimi woiiii jf itasimama
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bora wewee..mhenga mimi ndo nasubiriwa kwa hamuuu!!!maana wambea wenzangu karibu wotee washaumbuka tayari...!!!wale wahenga enzi za kina@warumi,bado mimi i can see my downfall...mpaka naogopaa@shunie loohh!!maana yanaweza yasiwe ya kweli ila ndo ushaumbuka na mimi bingwa wa kushadadia michambo humu..

Eeehh!!Bwana "Nihurumie mimi"nakuhitaji sana tu
 
Ahahhah Bwana atakusaidia sana haiwezi tokea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom