Kuumbuka hilo halina ubishi ujue lakini uzi tutaufungaunanchekaaa tena looohh!!naona kabisa ntaumbuka hata kwa uongo
Pembeni?mimi nyuma flaat..mbele nimetunaaaa kama Batistaaaa...
Ila una paja zuripembeni rulaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakina Nokia kama namuona[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji85] [emoji85] [emoji20] daahh!ila mods wana kusudiii
hawaufungi mapema huoo ng'odoo...mpk watu waridhike na nafsi zao!!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] watashangalia balaa yaani acha tuu!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakina Nokia kama namuona
[emoji3][emoji3][emoji3] haiwezi tokea bana[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] watashangalia balaa yaani acha tuu!!
mpaka naogopa shuniiii maana sio kwa kunisubiria kwa hamu hukooo!!!
sent from motorola bapa and nokia jeneza
mhenga hapa nimebana hivi vidole
Ameeen haiwezi tokea jaman[emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Mungu asimame katikati ya uso wangu mimiii...
Anistiriii...!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ameena ameena ameeenaa!!!
Bwana anihurumie
Kama sio wewe atakua Kaboom tu huyo coz ananifanyiaga huo mchezoKesi gani mama....
Halafu nani anakucumisha? kama sio mimi jiandae kufuta hapo chini.... Gademuu