Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,466
- 13,031
Id ni fake but people are real.
Word dear!, na kuna wengine wanaficha haiba nyuma ya ID fake. Kumbe wanajulikana vizuri reality yao.
Id ni fake but people are real.
Upi huo tena cuzoo mbona uhenga wako unatuzidi jamaan [emoji134]Huo wa JLW nimeuona naulizia huo mwingine
Am good dear.Nimeamka dear mzima weye?!
We upo kwenye kundi lipi la utahira?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jichekee tu dada ake benpol jaman tufanyaje sasa watu na utahira wao
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Word dear!, na kuna wengine wanaficha haiba nyuma ya ID fake. Kumbe wanajulikana vizuri reality yao.
Auntie kwani we unaona nipo kundi lipiWe upo kwenye kundi lipi la utahira?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jichekee tu dada ake benpol jaman tufanyaje sasa watu na utahira wao
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1275364/Nipe title pleaseeee
La wahenga.Auntie kwani we unaona nipo kundi lipi
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Haha!, sina hamu na wewe. Kuna ukweli kwenye maneno yako lakini. [emoji28]
Ewaaaaaa auntieLa wahenga.
Thanks nilishausaka huko nikauona
Huo ulioleta ushambenga[emoji38]Upi huo tena cuzoo mbona uhenga wako unatuzidi jamaan [emoji134]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] upiiiiiiHuo ulioleta ushambenga[emoji38]
Si huo wa kusutana cuzoo[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] upiiiiii
Nakuona ulivyokaa kwenye charge hapo[emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwahiyo jamani dude ndio limeisha?!...ila wadada wa humu washari sana
Sijui kama haya maneno mngekuwa mnarushiana huku mmeshika mic ingekuwaje.
Dira limechomekwa kwny chu.pi yani ubaya ubaya tu hapo jibaba unapigwa hadi masingi bila kutumia ubavu unahadhirika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cuzoo umenishinda aisee sijui uzi gani huo geni na maseratiii ebu mkuje mumjibu cuzoo na dark angelSi huo wa kusutana cuzoo
Huo aliokuwa anauzungumzia dark angel cuzoo[emoji30] [emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cuzoo umenishinda aisee sijui uzi gani huo geni na maseratiii ebu mkuje mumjibu cuzoo na dark angel