Kwanini hivi jamani...

Ngoja nichaji simu nadhani nitakuwa humu kwa muda sana


W/end muwe mnaleta mambo haya jamani nasikia rahaaaa
daaahh....!!!umefurahiii

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Duh!

Sisteri naona una hasira naye kweli jamaa.
Mkuu huyu ni zaidi ya muuaji.
Utatoaje siri za watu za pm kama siyo ushankupeee?
Basi toa usisema nani amesema .
Eti cute b alinifuata pm akaniambia hivi na hivi ......shwain.
Na kujidai anajiondoa jf ...
Hata kama Nyani Ngabu nikaja kukuambia unasukiwa njama za kuuwawa.. Wewe kwa nini unitaje mimi nimesema?
Halafu mnafiki wa kutupwa kwa nini aliyoyasema yeye hakuyaandika.?
Daby wewe ni mnafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ya leo kali mhenga wewee...ni wa kwenye matukio tuu!!!mhimu tuu

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Ww ni kabila gani?
 
Hao hao wanaopiga Vita ni wa kuchunguzwa.
Mfano Daby wa pili kukomenti kumbe chenga kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asalalaleeeeeeeeee!!!!

Kumbe n kubaya hiv

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Huyu kaka ni mnafiki.
kwa uwezo wako wa un'gamuzi eeh... then you're right.



Ukisoma ule Uzi wake ndiyo malumbano ya Jana kati ya cute b na mhenga mwenzetu rubii kupamba moto.
Daby aanzishe uzi walumbane wengine... hii kali ya mwaka
Alitoa siri pm na kwenye kuwasilisha akawasilisha kana kwamba cute na Raimundo ni wapenzi. ( baadae akasema siyo wapenzi) rubii bila kujua akamwita cute wifi.
Kama haujui kitu uliza hata kwenye groups zenu za whatsap. Mwenzako alihusishwa na Raimundo uzi wa kwanza kabisa labda hapa unapaka rangi tu.

vita ikaanza.
Sasa hapo ni wazi licha ya unafiki pia ni mchochezi.
Cc maserati.
Shost huku umeme umekatika movie na watch hapaaaa
Kweli nitakuwa mchochezi wa kumbukumbu za Dunia mimi kuanzisha uzi halafu watu nisiajuana nao angalau pm wagombane kwa uzi wangu.
 
Nimeshindwa hadi kunyonyesha mtoto kwa umbeya, kuna mambo humu ntarudi kusoma taratibu na karanga za dimondo pembeni geniveros waambie ndugu zako wasiufunge huu uzi.
my angelita kwani honeymoon tayari usharudii...?!!!

mpe mwanangu haki yake tafadhali..ombi lako litafanyiwa kazii

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Aiseeeee!!! Kweli hii ndyo jf
Ukibug step mti unaoukata
Unakuangukia mwenywe

Jf imekua Facebook skuhiz

[Color= yellow]Triple A[/color]
changamsha bwegeee

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…