Kwanini haya yanatokea kwenye mapenzi?

Kwanini haya yanatokea kwenye mapenzi?

Hahahaa mimi sizungumzii mtoa mada na mwenzie bwana. Kifupi mimi pia siwezi kujitumisha meseji zaidi ya mbili mfululizo, nikiona SMS hujibu nitapiga lakini pia kutakuwa na interval walau kuanzia masaa 24. Ninachotaka kusema mtu asipopokea simu yangu sasa hivi hainizuii mimi kumtafuta kesho au keshokutwa.
Ooooh!! Hapo sawa.
 
Kwani wewe hujawai kuwa na mwanaume lakini humpendi?.... Mbona mnaniongelea utazani mimi ndio wa kwanza mwenye haya mambo
Kwa mwanamke inawezekana kwa sababu anatongozwa na mtu unamkataa lakini bado anakuganda.

Tatizo ulilo nalo wewe ni kwamba ULIMPENDA MWENYEWE, UKAMTONGOZA MWENYEWE akakubali sasa UNAMWONA FALA.
 
Hahaha hahaha
Hata nikimvuruga mimi anijulishe tuu tuyajenge upya!

Hebu shangaa, kazini na mie wapi na wapi eti!
Tena Mimi hata nikikukosea ukijidai kuniziria na hautaki tuyaongee nakulima Kibuti hata kama kosa ni langu.

Siri ya huu mchezo ni kuwahiana. Maana mtu wa kununa nuna asiyetaka kuweka mambo wazi , ukimlea atakuwahi wewe akupe maumivu.
 
Watu mnaoutumia Tecno hamna privacy kabisa afu nilichogundua watu wenye simu za kipuuzi sio wakuwatumia meseji za vitu confidential wanachowaza ni kuscreenshot watume.

Sasa kama huyo dada wa watu anakutumia meseji anajua ni wewe na yeye afu unakuja leta huku kama sio ukichaa ni nini??

Ukute pesa huna bado unapendwa unakuja mweka mtoto wa watu huku kuwa mwanaume acha ufala.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Tecno Wereva Pro
 
Tena Mimi hata nikikukosea ukijidai kuniziria na hautaki tuyaongee nakulima Kibuti hata kama kosa ni langu.

Siri ya huu mchezo ni kuwahiana. Maana mtu wa kununa nuna asiyetaka kuweka mambo wazi , ukimlea atakuwahi wewe akupe maumivu.
Hahaha hahaha hahaha
Wewe ni mjanja zaidi. Ila Mungu aniepushe na wanunaji aisee
 
Uza Tecno yako uingie darasani ujifunze nini maana ya privacy Kati ya watu wawili au wapenzi!
Mkuu ni kweli natumia tecno.. Nahisi uelewi maana ya privacy... Hapo uliona jina au namba za mtu? Mimi unanijua.. Hayo maongez yamekupa ata mwanga uka muhisi uyo dem ni fulani?

Wewe ni mpumbavu wa kiwango cha SGR
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Tecno Wereva Pro
[emoji25][emoji25] tecno yangu hii inanipa raha sana
Screenshot_20190624-133456.jpeg
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Tecno Wereva Pro
Kuna watu wanafanya tuonekane wanaume wote ni wapuuzi kisa upuuzi wao sasa vitu kama ivyo ni vya kuja weka sehemu kama hii bahati mbaya dada wa watu apite aone sijui atajisikia vipi.
 
Kuna watu wanafanya tuonekane wanaume wote ni wapuuzi kisa upuuzi wao sasa vitu kama ivyo ni vya kuja weka sehemu kama hii bahati mbaya dada wa watu apite aone sijui atajisikia vipi.
Naona unajitengenezea mazingira uonekane mtu mwerevu..
 
Attachments

  • A6AF2A84-3510-48B8-BA0C-D4D9DFE969E9.jpeg
    A6AF2A84-3510-48B8-BA0C-D4D9DFE969E9.jpeg
    23.6 KB · Views: 21
  • DF8AC5FE-B010-4E46-9CA0-5FE1C2C67B47.png
    DF8AC5FE-B010-4E46-9CA0-5FE1C2C67B47.png
    77.8 KB · Views: 24
  • F31A0E1E-CC87-41AC-870C-23138AFE2763.png
    F31A0E1E-CC87-41AC-870C-23138AFE2763.png
    54.8 KB · Views: 20
Tena Mimi hata nikikukosea ukijidai kuniziria na hautaki tuyaongee nakulima Kibuti hata kama kosa ni langu.

Siri ya huu mchezo ni kuwahiana. Maana mtu wa kununa nuna asiyetaka kuweka mambo wazi , ukimlea atakuwahi wewe akupe maumivu.
Ila mimi jamani niwe tu mkweli nikimtumia mwanaume wangu text moja tu hasa whatsapp akaiona na ikaweka kabisa blue ticks halafu hajanijibu huwa naanza kuwaza tu hivi kweli mimi ndo ninaiaibisha familia yangu kiasi hiki kwa kujipedekeza namna hii?

Why me Lord? Lord why me? Yaani huwa ninahisi kama vile mbingu na dunia vyote vinanicheka huwa ninaona kama vile nimevuliwa nguo zote nimeaibishwa nimedhalilishwa yaani huwa nawaza mambo mengi sana daah sijui shida ni nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom