Wanajua kweli kutulalamikia na wanasahau namna tulivyo ni hao wenyewe wametupika kuwa hivyo.Na kasema mwenyewe alimtongoza!
Ifike mahali hawa wanaume wawe na utu!
Huyu dawa apate mwanamke kiboko yake halafu ndo jamaa afe aoze!
Kwa anachomfanyia hajui huyo ni mke wa mtu mtarajiwa, unadhani atakuwa na moyo wa kupenda tena?! Halafu kazi yao kulalamika wanawake wana roho mbaya, kumbe roho mbaya wanatusababishia wao!
Huyo Dada hatakuja kupenda sana na anaweza akawa kama sisi.


