Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Nafikiri tumefanana! Nilishapenda imetosha sasa!Naomba Mungu nisije kuwa na moyo kama wa huyo Dada. Hadi nimemuonea huruma.
Mimi haijalishi nakupenda sana, au laah.(kwanza siku hizi huwa sipendi zaidi ya kupretend).
Nikikutumia msg nasubiri ujibu ndiyo nitume nyingine, usipojibu ndiyo kwisha habari mpaka siku utakapoamua kujibu.
Mtu sms kumi hajibu! Ni dharau za aina gani eti




