Kwanini haya yanatokea kwenye mapenzi?

Kwanini haya yanatokea kwenye mapenzi?

Unatumia Halotel mkuu... Newbie on this privacy industry... Sikujibu ila try to hide ur partner a$$.
 
Huyu jamaa limbukeni sana!
 

Attachments

  • 5D1E6DF1-F31C-476D-894E-FB35E9BEB49E.jpeg
    5D1E6DF1-F31C-476D-894E-FB35E9BEB49E.jpeg
    24.2 KB · Views: 22
umejua kunichekesha.. Eti ni wewe unaiaibisha familia yako kiasi hicho.

Inatia hasira kweli unajiuliza unakasoro gani hadi kupenda mahali ambapo kama vile unajipendekeza. Mbaya zaidi uone yupo online.
ndo hapo sasa yaani huwa nachoka nafsi na mwili.
 
Kama humpendi mwambie ukweli ili usimpotezee muda wake, ukipendwa penda utaja penda pasipo kupendwa.
 
Huyo Dada anaonekana anampenda hasa
Ila sijui tulikosea wapi wanawake,mara nyingi huwa tunapenda tusikopendwa alafu hata ukiambiwa ondoka uwezi unakuwa Kama umelogwa
Mungu tunusuru
Yani kajitoa kabisa atumiwe atakavyo huyo jamaa,hadi nimemuonea huruma huyo mdada........
 
Ananipenda sana, ila sina hisia nae hata kidogo...

Hana kasoro yoyote, ana sifa zote kuitwa mke, lakini mimi simpendi...

Hajawai nikosea, kila siku mimi ndio namkosea lakini haniachi..

Ananipenda sana, muda mwingi anazungumza kuhusu ndoa, anawapenda na wazazi wangu pia

Sijui kwanini mimi simpendi, yani namtamani tu pale napokuwa N.y,ege..

Kwa mambo makubwa alionifanyia naogopa kumwambia simpendi.. Nahis anaweza ata kuniua

DAH,
View attachment 1135849View attachment 1135850View attachment 1135851
Unajisikiaje Kutiririsha conversation zake humu kwa mfano labda.kosa Ni ushajua tu anakupenda na kishakuwa mnyonge kwako.
 
Hutakiwi k
Ananipenda sana, ila sina hisia nae hata kidogo...

Hana kasoro yoyote, ana sifa zote kuitwa mke, lakini mimi simpendi...

Hajawai nikosea, kila siku mimi ndio namkosea lakini haniachi..

Ananipenda sana, muda mwingi anazungumza kuhusu ndoa, anawapenda na wazazi wangu pia

Sijui kwanini mimi simpendi, yani namtamani tu pale napokuwa N.y,ege..

Kwa mambo makubwa alionifanyia naogopa kumwambia simpendi.. Nahis anaweza ata kuniua

DAH,
View attachment 1135849View attachment 1135850View attachment 1135851
hutakiwi kumfanyia ulivyofanya kwasababu siku akijakufahamu kuwa humpend na ulikuwa una mu_enjoy tu hakika ataumia sana na kwann umuuze? Cha kufanya mwambie ukweli ili atambue na ajue nn cha kufanya either kumpenda mwngne au kuamua kukaa peke yake...Hivyo tu bro
 
Ila mimi jamani niwe tu mkweli nikimtumia mwanaume wangu text moja tu hasa whatsapp akaiona na ikaweka kabisa blue ticks halafu hajanijibu huwa naanza kuwaza tu hivi kweli mimi ndo ninaiaibisha familia yangu kiasi hiki kwa kujipedekeza namna hii?

Why me Lord? Lord why me? Yaani huwa ninahisi kama vile mbingu na dunia vyote vinanicheka huwa ninaona kama vile nimevuliwa nguo zote nimeaibishwa nimedhalilishwa yaani huwa nawaza mambo mengi sana daah sijui shida ni nini
Huwa inauma Sana
 
Naomba Mungu nisije kuwa na moyo kama wa huyo Dada. Hadi nimemuonea huruma.

Mimi haijalishi nakupenda sana, au laah.(kwanza siku hizi huwa sipendi zaidi ya kupretend).

Nikikutumia msg nasubiri ujibu ndiyo nitume nyingine, usipojibu ndiyo kwisha habari mpaka siku utakapoamua kujibu.
Moyo umeniuma sana, masikin dada wa watu, ukute anafanya kila jema kwa huyu mburukenge lkn ndo hyo anamuoa mavi!

Please God, give that woman the strength to move on
 
Tena Mimi hata nikikukosea ukijidai kuniziria na hautaki tuyaongee nakulima Kibuti hata kama kosa ni langu.

Siri ya huu mchezo ni kuwahiana. Maana mtu wa kununa nuna asiyetaka kuweka mambo wazi , ukimlea atakuwahi wewe akupe maumivu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom