Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,774
- 40,447
Nirudishe ile kigori?
Sawa handsome!
Hiyo avatar hainibariki kabisaaa
Sawa handsome!
Hiyo avatar hainibariki kabisaaa
Sasa tunaongea lugha mojaHuo mtindo wa wifi yetu hapo juu hata mimi siupendi. Unaacha simu for 3 hours unakuta missed call au message e 5 za mtu mmoja...ni upuuzi





Ndiwooo handsome...Nirudishe ile kigori?
Kuna wanaume na wavulana mdogo wangu hata usiwaze sana na uanaume au uvulana hauangalii umri wala mwiliKuna watu wanafanya tuonekane wanaume wote ni wapuuzi kisa upuuzi wao sasa vitu kama ivyo ni vya kuja weka sehemu kama hii bahati mbaya dada wa watu apite aone sijui atajisikia vipi.
Sawa mkuu mimi bado maskini... Japokuwa natumia simu toleo la mwaka huuTo
Toka mwanzo najua unatumia Tecno
Wanaume tunaojua tafuta pesa na hatuweki chat zetu na wanawake tunatumia simu hizi
Ona mawazo yako?? Nashindwa kwenda pm hadi nije hapa kwenye huu uzi unamdhalilisha mtoto wa watu ndio nionekane mwelevu?? Na una bahati hatujuani mbona usingepost hizo chati za huyo dada yani sasa ivi angekuwa anatabasamu kwa raha zake huku namuuliza ‘unataka nini mtoto mzuri’ Jifunze kuwa na privacy kama humtaki mwambie.Naona unajitengenezea mazingira uonekane mtu mwerevu..
Ndiwooo handsome...
Yaani namtafakari namkosea majibu masikiniHuo mtindo wa wifi yetu hapo juu hata mimi siupendi. Unaacha simu for 3 hours unakuta missed call au message e 5 za mtu mmoja...ni upuuzi



Ndio akili zako sikushangai...Ona mawazo yako?? Nashindwa kwenda pm hadi nije hapa kwenye huu uzi unamdhalilisha mtoto wa watu ndio nionekane mwelevu?? Na una bahati hatujuani mbona usingepost hizo chati za huyo dada yani sasa ivi angekuwa anatabasamu kwa raha zake huku namuuliza ‘unataka nini mtoto mzuri’ Jifunze kuwa na privacy kama humtaki mwambie.
Hahah na kwelii...alafu hayajawahi kuelewekaMapenzi ni kama ukichaa iv yaani hapo anakupenda humpendi ila siku zinakuja utampenda na yeye anakua hakupendi yaaan ni full uchizi chizi tu!
Ananipenda sana, ila sina hisia nae hata kidogo...
Hana kasoro yoyote, ana sifa zote kuitwa mke, lakini mimi simpendi...
Hajawai nikosea, kila siku mimi ndio namkosea lakini haniachi..
Ananipenda sana, muda mwingi anazungumza kuhusu ndoa, anawapenda na wazazi wangu pia
Sijui kwanini mimi simpendi, yani namtamani tu pale napokuwa N.y,ege..
Kwa mambo makubwa alionifanyia naogopa kumwambia simpendi.. Nahis anaweza ata kuniua
DAH,
View attachment 1135849View attachment 1135850View attachment 1135851
Tupendane ivo ivo!Kwa ajili yako kigori nairudisha.
Ila mimi jamani niwe tu mkweli nikimtumia mwanaume wangu text moja tu hasa whatsapp akaiona na ikaweka kabisa blue ticks halafu hajanijibu huwa naanza kuwaza tu hivi kweli mimi ndo ninaiaibisha familia yangu kiasi hiki kwa kujipedekeza namna hii?
Why me Lord? Lord why me? Yaani huwa ninahisi kama vile mbingu na dunia vyote vinanicheka huwa ninaona kama vile nimevuliwa nguo zote nimeaibishwa nimedhalilishwa yaani huwa nawaza mambo mengi sana daah sijui shida ni nini




umejua kunichekesha.. Eti ni wewe unaiaibisha familia yako kiasi hicho

.
Tupendane ivo ivo!
Ila siku ukiacha kujibu sms zangu jua ndo nishakuleft
You’re a chickenNdio akili zako sikushangai...
Naachaje kujibu text zako Kigori wangu. Fanya nitumie voice note kigori ili lunch yangu ishuke fresh. Ujue maneno yako huwa yananibarki sana, naanza hata kunenepa siku hizi![]()






Whatever u cal me..You’re a chicken
Chicken
VN nishatuma handsome, hebu twende wozap kule!
Not in all instances hasa missed calls...Suala sio kususa, suala ni kuwa msumbufu. Msg moja au msd call moja inatosha, akiziona atakutafuta na hayo mazungumzo mtayafanya tu.