Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,988
- 9,213
That's what we do!
Habari za kubembeleza mwanaume ifike muda iwe history
Hahahahahahah
That's what we do!
Habari za kubembeleza mwanaume ifike muda iwe history
cjawahi kabisa kufanya hivyo mimi huwa nina huruma sana kumfanyia kiumbe yeyote ubayaKama uliwahi kufanya hivo yatamrudia tu
cjawahi kabisa kufanya hivyo mimi huwa nina huruma sana kumfanyia kiumbe yeyote ubaya
Unataka akuiteje? Au wewe mchaga nini?Nikishaona demu anaita "My" najua huyu ni mshamba au mgeni kwenye mapenzi
Mimi Mangi haswaa!!Unataka akuiteje? Au wewe mchaga nini?
Sasa wakibosho na mapenzi wapi na wap?Mimi Mangi haswaa!!
Sawa mkuuAcha uongo...kama kweli humpendi nipe namba zake pm..seriously
Mapenzi tunaenzi enzi na enzi...Sasa wakibosho na mapenzi wapi na wap?
This is not fair... sasa fanya kitu kimoja, wewe si haumpendi huyo mwanamke? nitumie namba ake PM.Ananipenda sana, ila sina hisia nae hata kidogo...
Hana kasoro yoyote, ana sifa zote kuitwa mke, lakini mimi simpendi...
Hajawai nikosea, kila siku mimi ndio namkosea lakini haniachi..
Ananipenda sana, muda mwingi anazungumza kuhusu ndoa, anawapenda na wazazi wangu pia
Sijui kwanini mimi simpendi, yani namtamani tu pale napokuwa N.y,ege..
Kwa mambo makubwa alionifanyia naogopa kumwambia simpendi.. Nahis anaweza ata kuniua
DAH,
View attachment 1135849View attachment 1135850View attachment 1135851
Hapo kitaalam tunaita Tayar ushakuwa paka au Concord hvyo huna sifa ya kuwa wife material na design kama yako huishia kudanga tuNaomba Mungu nisije kuwa na moyo kama wa huyo Dada. Hadi nimemuonea huruma.
Mimi haijalishi nakupenda sana, au laah.(kwanza siku hizi huwa sipendi zaidi ya kupretend).
Nikikutumia msg nasubiri ujibu ndiyo nitume nyingine, usipojibu ndiyo kwisha habari mpaka siku utakapoamua kujibu.
Kwani unaumia.?Hapo kitaalam tunaita Tayar ushakuwa paka au Concord hvyo huna sifa ya kuwa wife material na design kama yako huishia kudanga tu
Dah msinilaani jamani, sio kupenda kwanguYou only know you love her when you let her go
Maji utaita mmaaa
Kuna couple moja 10 yrs kaka anasumbua na umalaya mjini dada anavumilia kaka anajua dada si yupo tu
Dada kasema enough is enough kapata mpya in 8 months kawa engaged kaolewa na sasa kajaliwa watoto
Jamaa dada alivoku engaged ndo akili ilimkaa sawa hakutegemea angempoteza
Hadi leo ni majuto mana anakaribia 40 na anakutana na vimeo tu
We endelea tu


Ulimtongoza wa nini.?Dah msinilaani jamani, sio kupenda kwangu![]()
AhUlimtongoza wa nini.?
nilikuwa ninashida ya kulala nae tu basiBas sawa mkuu..Ahnilikuwa ninashida ya kulala nae tu basi
Naomba tuition B'..!!Kwenye maisha yangu niliwahi kupenda Mara moja tuu, na nahisi sitokuja kupenda kiukweli tena.
Kilichobaki kwangu ni kucheza na akili za wanaume tuu, maana naamini hao pia wanacheza na zetu