Kwanini hawa wana pesa sana lakini hawajasoma?

Kwanini hawa wana pesa sana lakini hawajasoma?

Narudia vyeti vizuri kafutie choo.

Akili nzuri kabunie biashara upate pesa

Pesa ni tunu ya majasili tu
Usiibe
Usidhurumu
Usikole wala
Usikopeshe

Usile faida
Bali kula Faida ya faida ya faida.

Weka hazina ya watu sio vitu
Ukiwa na hazina ya watu hata ukiuza mavi ya kuku utapata wateja na utatajirika.

Kuwa mtoaji kwa kiasi.

Epuka kujiingiza kwenye marumbano na serikali yoyote duniani.

Kuwa na marafiki wenye Faida tu na sio wanakutafuna pesa bar.

Ulipata pesa wekeza kwenye majengo.

Punguza matumizi na malaya mpaka utajirike.

Usiazime magari ya mashemeji.

Usiishi kwa Dada

Kuwa mwaminifu na Muwazi kwa mali familia na yako.

Usipende kutaja elimu yako mbele za watu.

Uliza sana watu waliokaribu na wewe.

Anza na kitu kidogo kinachodharauliwa na wasomi mavi wasio na akili wanqosahau walisomeshwa na pesa za mchicha.

Simamia faida ipatikane

Kwa leo naishia hapa.

Nimeajiri wasomi kujiita saba na videgree vyao uchwara...

Wakati mie darasa la 4A na

Mimi ni mlinzi mfu.
 
Kweli mkuu, endelea kuuza mchicha
 
Wasomi wanaogopa sana Pesa, hawana ujasiri wakutumia Pesa. Wanapiga mahesabu na kufikiria hasara. Ambao si wasomi ni majasiri sana na wanasema kama ni hasara tutajua mbele ya safar, na ndo mafanikio yao, ujasiri huo ndo huwawezesha kupata utajir
 
Kwanini watu hawa wana pesa nyingi sana wakati hata shule hawajaenda pesa hizi wanazitoa wapi? Kwa mfano mabasi yote ya Mwanza Bukoba ni yao ukitoa machache ya waarabu. Mabasi yote ya mwanza Mbeya ni yao na hawajaenda hata shule wanatoa wapi pesa hizo. Wanapata wapi hela za kujenga maghorofa na kumiliki mitaa iliyojaa maghorofa mfano mzuri kwa mkoa wa Mwanza kuna mzee Shinyanga anamiliki mtaa wa uhuru uliojaa maghorofa yake pekee.

Wanatoa wapi ujanja wa kumiliki hospitali zao binafisi mfano Makoye hospitali wakati hata shule hajaenda. Wako wengi sana ngoja nikutajie wachache uweze kunambia wanatoa wapi pesa hizo, John Bina, Ncheye, King msukuma, Midimu, Luhuye, Batco, Super samy, Super shemu, Katagi expres, Masaba, Njiwa pori, Ndege sera bila kumusahau bwana mdogo Frester naye siku hizi ni hatari ni moto mwingine ule hata kuna yule dogo anayemiliki kumbi za harusi pale Sinza kwa Remy karibu na Mori ndo hao hao kumbi hizo zinaitwa Kwalalumpa hao nimekujia wachache tena ambao hawajasoma bado Kariakoo nako wamejaa.

Swali wanapataje pesa hizo?
Hayo mabasi ya Frester ajali nyingi sana. Ndo maana nikauliza wanaomfahamu huyo mmiliki, usikute ni makafara!

Wiki iliyopita, limeuwa vijana wawili eneo la Katongo kata ya Rulanda wilaya ya Muleba mkoa wa Kagera. Naskia kuna ajali nyingine tena ya mabasi hayo imeuwa watu!
 
Shule haileti pesa,

Anaetoa RIZKI Ni Allaah pekee, sawa sawa ukatumia njia ya halali au ya haramu yeye ndie mtoaji, lakini anamadhambi mwenye kutumia njia za haramu kujipatia RIZKI yake.

RIZKI zilishaandikwa kitabuni, usiwe na papara, utajikuta wazama dhambini...

Elewa hili.

Shukran
 
Nadhani sababu ni Kujituma pamoja na bahati ya mtu aliyo nayo! Mfano uliowataja wote ukifuatilia utakuta pesa wameipata kwenye Madini na Uvuvi. Swali ni je kuna wangapi wako Migodini na Visiwani miaka nenda rudi lkn hawana kitu?
Lazima utambue kuwa ili upata pesa nyingi kiasi icho lazima umafia fulani ufanyike iwe kuiba, kukwepa kodi, kutapeli au kuzulumu, kafara na mengine mengi lazima uyafanye. Kwahiyo kama una roho nyepesi kufika level izo ni ndoto labda itokee ukute mazingira yalishawekwa sawa na wazazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo mabasi ya Frester ajali nyingi sana. Ndo maana nikauliza wanaomfahamu huyo mmiliki, usikute ni makafara!

Wiki iliyopita, limeuwa vijana wawili eneo la Katongo kata ya Rulanda wilaya ya Muleba mkoa wa Kagera. Naskia kuna ajali nyingine tena ya mabasi hayo imeuwa watu!
Mmiliki ni kijana mdogo wa makamo, Meku/ Mangi mwenzio kwa jina la mwanzo la Fred na mkewe Ester likapatikana jina Frester.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee Batco....kaanza mbali sana. Aliwahi kuniambia alikua anapeleka dagaa Congo enzi hizo.

Sent using my Nokia Torch
 
Back
Top Bottom