Kwanini hawa wana pesa sana lakini hawajasoma?

Kwanini hawa wana pesa sana lakini hawajasoma?

Cyo ndagu, madini kama vile almasi mtu kulala maskini na kuamka tajiri ni jambo la kawaida sana jombaa, unamjua au unamsikia Baraka wa uko mwanza? Uyo ni mfano wa vijana wadogo waliotajirika kupitia madini

Sent using Jamii Forums mobile app
Baraka tunamjua sana lkn huo sio umri wake,atleast ungetupa hints za huyo bwn mdogo tungemjua mkuu.
 
wote hawa wametafuta kwa muda mrefu,ni zaidi ya miaka 20 ndo unaanza kuona matunda yao,mtu kama batco ameanza kumiliki mabasi ya madebe huko magu,halafu hawa huwa wanatumiwa na mafisadi ya nchi hii ili yaweze kusafishia pesa zao za kifisadi,,,kwaiyo kuna mambo mengi nyuma ya pazia.
 
ncheye namfahamu ni rafik yangu sana, mara kadhaa nilipandaa V8 yake kaiandika NCHEYE
Samahani Mkuu, umecomment ili tujue ya kuwa ni rafiki yako ama?

Thread imekuja kwa mfumo wa swali, nadhani wengi tungependa umwelezee kwa kifupi huyo rafiki yako na sio kuishia njiani Mkuu.
 
wote hao wataviacha duniani akhera ndio sehemu ya kuishi milele kama ulichuma duniani mambo mema nakumuabudu mungu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hawa watu pamoja na kwamba ni wachapa kazi Sana ila Wana kitu ambacho wengi hatukifahamu.

Mm Nina Agemate wangu tumesoma wote yeye aliishia std7 na mpaka Leo ana vitega uchumi vya billions of money na makazi yake now ni morogoro hakuna anaejua utajiri kaupata zaidi ya yeye mwenyew
 
Back
Top Bottom