Honest true-Wasomi wengi waoga,wao wanaamini Mivyeti na PHD ndio maisha,wanaishia kujenga nyumba na kumiliki gari na milioni 5 bank tu basi.
-Oneni BASHITE ndani ya mda mfupi anajenga ghorofa 5 Mwanza.
-Wengi wanapata pesa kwa ujanja ujanja aka ushanta mfano King Msukuma utajri wake ulitokana na Utapeli wa Madini.
-Top 5 ya matajiri wa bongo utajiri wao umetokana na kuidhulumu serikali na wizi eg Wengi wamedhulumu viwanda vya serikali,Mashamba ya Mkonge,Kuiba Nyara za serikali meno ya tembo,Kupewa tenda za kuprint nyaraka za serikali kiujanja ujanja,Kuyafirisi Ma-Bank na mashirika ya umma.....
Ni kweli unataka fahamu kuhusu wapi wanapata pesa.....pesa ni kanuni zipo nafasi nyingi za kupata pesa lakini zinakanuni zake,fedha hazina mpango na akili ya darasani wal dgreen zenu pesa zinataka hesabu na kanuni zake tu.Kwanini watu hawa wana pesa nyingi sana wakati hata shule hawajaenda pesa hizi wanazitoa wapi? Kwa mfano mabasi yote ya Mwanza Bukoba ni yao ukitoa machache ya waarabu. Mabasi yote ya mwanza Mbeya ni yao na hawajaenda hata shule wanatoa wapi pesa hizo. Wanapata wapi hela za kujenga maghorofa na kumiliki mitaa iliyojaa maghorofa mfano mzuri kwa mkoa wa Mwanza kuna mzee Shinyanga anamiliki mtaa wa uhuru uliojaa maghorofa yake pekee.
Wanatoa wapi ujanja wa kumiliki hospitali zao binafisi mfano Makoye hospitali wakati hata shule hajaenda. Wako wengi sana ngoja nikutajie wachache uweze kunambia wanatoa wapi pesa hizo, John Bina, Ncheye, King msukuma, Midimu, Luhuye, Batco, Super samy, Super shemu, Katagi expres, Masaba, Njiwa pori, Ndege sera bila kumusahau bwana mdogo Frester naye siku hizi ni hatari ni moto mwingine ule hata kuna yule dogo anayemiliki kumbi za harusi pale Sinza kwa Remy karibu na Mori ndo hao hao kumbi hizo zinaitwa Kwalalumpa hao nimekujia wachache tena ambao hawajasoma bado Kariakoo nako wamejaa.
Swali wanapataje pesa hizo?
Musaidieni jamanihalafu mtoa post umeuliza swali la ajabu, eti wanapataje pesa, kwani wengine wanapataje pesa tena hawajasoma, nenda ngende
Tafadhali msaidieni mwenye swali wenda anadhani wanaroga1. Wavuvu. Samaki wana pesa ile mbya. Wengi utajir wamepata ziwani.
2.migodi ya madini. Gold na diamond ni madini yanayoongoza katika soko la dunia ila yanapatkana mikoa waliopo wasukuma hapa tanzania ukitoa kule Arusha
3. Biashara. Wasukuma wanawafatia wachaga kwa kufanya biashara hasa za maduka ya jumla na nafaka.
4. Kilimo. Hasa pamba, mchele na mahind ndyo yamewatajirisha weng wasukuma.
Kuna tajir mmoja msukuma anaexploit wasukuma wenzie. Yeye hununua nafaka kipindi cha mavuno kwa bei ya chini na kutunza kwenye godown zake. Huuza pale bei zinapopanda. Kwa mfano mwaka jana mwezi wa nne alinunua zaidi ya gunia 8000 za mahnd kwa bei chin ya 40000. Sasa anauza gunia kwa 100000. Yani 60% profit.
5. Ufugaji wa ngombe. Wasukuma wanajitahid kufuga ngombe kibiashara. Sio kama wamasai anamiliki ngombe elf 10 ila analia njaa na anaishi kwenye nyumba iliyoezekwa kwa nyasi.
6. Utapeli na ujanjaujanja i.e Bashite.
Ivyo vyote apo juu. Mtu anayejidai amesoma hawezi kufanya. Wenyewe walisoma wakae ofisini kwenye kiti kinachozunguka huku akisubiri mafao ya uzeeni.
Ukweli mtupu huu kiongozi.Ni kweli unataka fahamu kuhusu wapi wanapata pesa.....pesa ni kanuni zipo nafasi nyingi za kupata pesa lakini zinakanuni zake,fedha hazina mpango na akili ya darasani wal dgreen zenu pesa zinataka hesabu na kanuni zake tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ukisoma tu unakuwa na Pesa? Mbona Lipumba Hana Pesa kazidiwa na msukuma darasa la Saba.Kwanini watu hawa wana pesa nyingi sana wakati hata shule hawajaenda pesa hizi wanazitoa wapi? Kwa mfano mabasi yote ya Mwanza Bukoba ni yao ukitoa machache ya waarabu. Mabasi yote ya mwanza Mbeya ni yao na hawajaenda hata shule wanatoa wapi pesa hizo. Wanapata wapi hela za kujenga maghorofa na kumiliki mitaa iliyojaa maghorofa mfano mzuri kwa mkoa wa Mwanza kuna mzee Shinyanga anamiliki mtaa wa uhuru uliojaa maghorofa yake pekee.
Wanatoa wapi ujanja wa kumiliki hospitali zao binafisi mfano Makoye hospitali wakati hata shule hajaenda. Wako wengi sana ngoja nikutajie wachache uweze kunambia wanatoa wapi pesa hizo, John Bina, Ncheye, King msukuma, Midimu, Luhuye, Batco, Super samy, Super shemu, Katagi expres, Masaba, Njiwa pori, Ndege sera bila kumusahau bwana mdogo Frester naye siku hizi ni hatari ni moto mwingine ule hata kuna yule dogo anayemiliki kumbi za harusi pale Sinza kwa Remy karibu na Mori ndo hao hao kumbi hizo zinaitwa Kwalalumpa hao nimekujia wachache tena ambao hawajasoma bado Kariakoo nako wamejaa.
Swali wanapataje pesa hizo?
Aisee lazima uchanganyikiwe utajili kama frester si wa mchezo mchezo
I can see....Kuna rafiki yangu hajui A, wala, E, lkn nitajiri balaa hayo maghorofa anayo mwanza mengi sana, magari ya kutembelea 12 lkn yeye kilichomtoa ni Almasi, saiv Ana umri wa miaka24 hauwezi amini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nan huyo mkuu hiyo ndagu kaipiga wapKuna rafiki yangu hajui A, wala, E, lkn nitajiri balaa hayo maghorofa anayo mwanza mengi sana, magari ya kutembelea 12 lkn yeye kilichomtoa ni Almasi, saiv Ana umri wa miaka24 hauwezi amini
Sent using Jamii Forums mobile app
Cyo ndagu, madini kama vile almasi mtu kulala maskini na kuamka tajiri ni jambo la kawaida sana jombaa, unamjua au unamsikia Baraka wa uko mwanza? Uyo ni mfano wa vijana wadogo waliotajirika kupitia madini
Nimekuuliza huyo jamaa ni naniCyo ndagu, madini kama vile almasi mtu kulala maskini na kuamka tajiri ni jambo la kawaida sana jombaa, unamjua au unamsikia Baraka wa uko mwanza? Uyo ni mfano wa vijana wadogo waliotajirika kupitia madini
Sent using Jamii Forums mobile app