Walianza kuzitafuta pasa kwa bidii mnoo toka kitambo ww ukiwa shuleni unakomaa ña makaratasi baada ya kumaliz unaajiriwa unapewa mshahara laki saba ña makato lukuki kwa system hii ukiendelea labda mbuzi apige mswaki, ukijiajiri ukawa serious kufanya mambo yako utafanikiwa tuu mkuuKwanini watu hawa wana pesa nyingi sana wakati hata shule hawajaenda pesa hizi wanazitoa wapi?
Kwa mfano mabas yote ya mwanza bukoba ni yao ukitoa machache ya warabu
Mabasi yote ya mwanza mbeya ni yao na hawajaenda hata shule wanatoa wapi pesa hizo
Wanapata wapi hela za kujenga maghorofa na kumiliki mitaa iliyojaa maghorofa mfano mzuri kwa mkoa wa mwanza kuna mzee shinyanga anamiliki mtaa wa uhuru uliojaa maghorofa yake pekee
Wanatoa wapi ujanja wa kumiliki hospitali zao binafisi mfano makoye hospital wakati hata shule hajaenda
Wako wengi sana ngoja nikutajie wachache uweze kunambia wanatoa wapi pesa hizo,
John bina, ncheye, king msukuma, midimu, luhuye, batco, super samy, super shemu, katagi expres, masaba, njiwa pori,ndege sera bila kumusahau bwana mdogo frester naye siku hizi ni hatari ni moto mwingine ule hata kuna yule dogo anayemiliki kumbi za harusi pale sinza kwa remy kalibu na mori ndo hawo hawo kumbi hizo zinaitwa kwalalumpa hao nimekujia wachache tena ambao hawajasoma bado kariako nako wamejaa
Swali wanapataje pesa hizo?
Nimekuelewa kwa mbali1. Wavuvu. Samaki wana pesa ile mbya. Wengi utajir wamepata ziwani.
2.migodi ya madini. Gold na diamond ni madini yanayoongoza katika soko la dunia ila yanapatkana mikoa waliopo wasukuma hapa tanzania ukitoa kule Arusha
3. Biashara. Wasukuma wanawafatia wachaga kwa kufanya biashara hasa za maduka ya jumla na nafaka.
4. Kilimo. Hasa pamba, mchele na mahind ndyo yamewatajirisha weng wasukuma.
Kuna tajir mmoja msukuma anaexploit wasukuma wenzie. Yeye hununua nafaka kipindi cha mavuno kwa bei ya chini na kutunza kwenye godown zake. Huuza pale bei zinapopanda. Kwa mfano mwaka jana mwezi wa nne alinunua zaidi ya gunia 8000 za mahnd kwa bei chin ya 40000. Sasa anauza gunia kwa 100000. Yani 60% profit.
5. Ufugaji wa ngombe. Wasukuma wanajitahid kufuga ngombe kibiashara. Sio kama wamasai anamiliki ngombe elf 10 ila analia njaa na anaishi kwenye nyumba iliyoezekwa kwa nyasi.
6. Utapeli na ujanjaujanja i.e Bashite.
Ivyo vyote apo juu. Mtu anayejidai amesoma hawezi kufanya. Wenyewe walisoma wakae ofisini kwenye kiti kinachozunguka huku akisubiri mafao ya uzeeni.
Sababu hajatembea sehem nyingine zaid ya akizotajaOky sawa lakin kwanini wwnakuwa ni watu wa sehemu moja kwanini wote ni sukuma
Imekaa vyema mkuu.Kuna Article Moja hivi yenye maneno almost 1500, Yenye Title Ni kwa nini Watu waliofanya Vizuri Darasani hawafanikiwi katika maisha? >>>>Bofya hapa<<< kuisoma utapata jibu la swali lako Mkuu
Sasa ni mbunge Kahama mjiniBila kumsahau kishimba japo siku hizi simsikii sikiii, ila ndio hivyo mungu hawezi kukupa vyote na hawezi kukunyima vyote.
Maisha yalivyo ya ajabu huyo mwenye pesa anaitaji wasomi ili mambo yake yaende. Na ndo anawaajiri.Kwa kiasi fulani, suala la kwenda shule ni upotezaji wa muda.
uwa sio wachoyo wanapeanaga michongo akiona sehem inalipa anashilikisha wenzakeOky sawa lakin kwanini wwnakuwa ni watu wa sehemu moja kwanini wote ni sukuma